Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndio hata kama imezama ......lakini ukweli unabaki kuwa ukweli .tu ....meli iliungua moto after launch missiles ....wacheni kupotosha hapa ....
[EMOJI23] [EMOJI23] [EMOJI23] wacha kulia basi.
 
Hawana chakula? Hawana risasi wala silaha? Wametoka Urusi bila basic needs za kivita?
Tufanyeje sasa sisi warusi wa Holoholo.... Ni mwendo wa manati , fimbo, kombeo, ngumi ,VICHWA,mawashi sana sometime silaha yetu mbio tunakimbia sa aaa .... Lakini nashangaaa majengo yanalipuka tu sasa sielewi wanaopiga ni kina nani ... Silaha Ukraine wanaletewa na machakula juu ... Daaah Mungu anatupigania warusi wa Tandahimba.
 
[emoji3][emoji3]unashangaa shangaa nini si ndo kauli zenu nyie akina pro nato au unajisahaulisha et bwa Tsh
Sijashangaa nimejibu hivi ili nijibiwe hili ulilonijibu halafu niulize huwa mnataka kubishana tu na yoyote asiyesapoti OP ya Urusi kwa kuwaonganisha wote pamoja au huwa mnabishana kwa maoni aliyotoa mtu mmoja mmoja asiyesapoti OP ya Urusi?

Tuambizane maana humu tunaingia nyakati tofauti na sijui ambaye hakubaliani na OP ya Urusi kama mm amepost nini na alichopost ni sahihi au si sahihi.

Sasa nataka kufahamu iwapo ukitukanwa na asiyesapoti OP ya Urusi basi hitimisho lako ni kuwa wote wasiosapoti OP ya Urusi wamekutukana.
 
Naona wewe umekimbia swali langu ila kuna mwenzako kanijibuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa watu HATUNA chakula, HATUNA silaha, tumeishiwa risasi, HATUNA madawa ... Tufanyeje !!? mtupige tu Wayukraine ..tupigeni .... Lakini shinda mnatupiga mnalia ninyi mna matatizo Gani ndugu .....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sisi tunalia wapi !!!!?
Sisi hatuna stress zozote πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Šjiangalie kwenye avatar yako . na hiyo sura yako sasa!!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ProπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί unalilia nini????πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Bora wewe....
 
Reactions: Tsh
Kwa hiyo wewe ndio huyo Neema kwenye avatar yako SI ndio.... Hongera chezaji la Brazil chezaji la dunia la thamani linaloshinda jf .... Ndio ujione ulivyo na akili ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…