ππππ huu mwaka wenu proπ·πΊπ·πΊπ·πΊ.Hilo neno vichaa linakera kidogo halina tafsida chunga kinywa chako sisi wenyewe tunamaneno na kukarahisha roho
Ukweli mchungu ni meli imezama π€£ π€£ π€£Ndio hata kama imezama ......lakini ukweli unabaki kuwa ukweli .tu ....meli iliungua moto after launch missiles ....wacheni kupotosha hapa ....
haya basi tuseme haijalipuliwa na πΊπ¦πΊπ¦πΊπ¦πΊπ¦,Hiyo meli imeungua wakati wa kulaunch missile,msiwe mnadakia tu vijihabari na kuleta hapa!Video ipo kabisa imeachiwa na Russia ikionesha namna meli hiyo ilivyoshika moto!
Weka video mkiitungua acha lepelepe.... Ukishindwa usiniquote.
ππππ hamna meli hapo mkuu . huo ni mtumbwi uliochangamka πππPro Russia niwakumbushe Hii meli iliyozama ni moja ya meli muhimu sana kwenye hii vita
Ukweli nikwamba UKRAINE inaenda kumegwa vibaya sanaaNyie mpo bize kusambaza propaganda.sisi tunaenda kuchukua mji wa Kharkiv
πππ umeiona ngalawa yenu huko ? Wanasema imepiga kombola ikazama πππNaona upo busy na cocobaby mpe hypersonic uyo mtoto
πππ mtumbwi wa π·πΊπ·πΊπ·πΊ umegeuka TitanicππππUkweli mchungu ni meli imezama π€£ π€£ π€£
Wanakwambie Meli ilizama Yenyewe π€£ π€£ π€£ Nimecheka sanaπππ mtumbwi wa π·πΊπ·πΊπ·πΊ umegeuka Titanicππππ
ππππ kamtumbwi kamezama ππππMoskova ndio chombo muhimu/flagship ya jeshi la Urusi. Hili ni pigo kubwa ambalo linazidi kuyumbisha misguided "adventure" ya mchizi Putin Ukraine.