Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo Putin akisema wewe ni shoga ndio itabaki hivyo hivyo? Mbona unakuwa na kichwa kigumu
 
Acha kujichekesha hapa,video inaonesha kabisa kombora likiruka kutoka kwenye meli na hapo hapo mlipuko ukatokea!Video haioneshi missile yoyote ikiipiga hiyo meli!
Nimetaka tu kukurekebisha Ili usipotoshe!
Kwa akili zako mgando ulitaka Russia itoe video inayoonyesha meli yake ikipigwa Neptune Missile?
 
Ache maneno ya khanga,ashambulie halafu aone kitakachompata.
 
Teh teh teh isiungue miaka yote kuanzia Vita ya Chechen mpaka Syria ije kuungua Ukraine? Chezea Neptune Missile weweee
Hizi akili za wapi?Nenda kaangalie video ya ipo,kila kitu kinaonekana wazi!Yaani hakuna missile iliyopiga hiyo meli!Kinachoonekana ni kombora kuruka na hapo hapo moto ukawaka!Video Iko very clear,usiwe mshabiki wa fuata upepo tu!
 
India sijui
Kwa hiyo Waziri wa Mambo ya Nje wa India ndio msemaji wa E.U na Marekani?
Kwani hapo hao EU wamekataa? Ukitaka kusikiliza hiyo press unaweza ukaisiliza yote........ipo youtube.

India ameamua kuongeza kiwango cha kununua mafuta kwa 35$ kutoka Russia.
US kafanya kikao na Waziri mkuu, kafanya waziri wa mambo ya nje India msimamo ule ule hawato chagua upande na jana India kaalikwa kwenye mkutano wa G7 ambao agenda ni ile ile kuhusu vikwazo kwa Russia ila msimamo wa India utakuwa ni uleule.
 
Ni kwanini Ruble imekuwa stable
 
Hiyo meli ya Russia iliyozama Ukubwa wake ni karibu viwanya viwili vya mpira 186m (610 foot) bado Pro Russia wanaamini Russia anaweza kupigana na NATO.

Nimejua why Putin alitishia Nyau kuwa anaweza kutumia Nyuklia
Anasikika raia mmoja anaekaa Bunju ambae hata Posta hapajui vizuri!!
akichambua vita ya Urusi na Ukraine???
 
Kwa hiyo Putin akisema wewe ni shoga ndio itabaki hivyo hivyo? Mbona unakuwa na kichwa kigumu
Asifiaye mvua imemnyeshea, kwanza shoga manake nini kwako au may wewe ni mmoja wapo.

Mbona unashindwa kujenga hoja, brother hii platform mimi naiheshimu husizani kwamba labda uhuni si huwezi, jenga hoja hoja ndizo zimeifanya jamii forum iwe moja ya resources za maarifa.

Putin ali declare kwa resources za nchi yake, nchi ambazo ni maadui zake watanunua mafuta hela yake.
 
Kuna hii kitu

[emoji631][emoji1109][emoji1255] A US-born volunteer of Georgian origin named Alexo calls on American compatriots to turn to local authorities with a request to help Ukraine with weapons. According to him, there are enough people in Ukraine, but not enough weapons to repulse Russia.

Na kuna sehem nyingine wanasema kua Ukraine is supplied with weapons 6 to 8 times a day toka day 1 ya mashambulizi yalipoanza... Hizo silaha zinaenda wapi [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…