Story za kwenye kahawaUkraine wamepelekwa wanamgambo waliojitenga ,jeshi kamili LA urusi lipo linasubiri risasi hata moja kutoka NATO wataanza na huyo mpolanda
Mkuu ni ile ya kituruki?Itakuwa ni Bayraktar TB2 hii. Silaha za Urusi zilikutana nazo Libya zikasumbuliwa, Syria zikasumbuliwa, Azerbaijan pia ila makampuni ya Urusi yalikuwa busy kutafuta counter drones.
Unaongea kama kaka VP unamjua vizuri sana, ila nikutoe wasi wasi baada ya kumtwanga kisawasawa huyu fala na kinchi chake uchwara hiki tutakaa meza moja na tutafunguliwa toka vikwazoni. Mda huu mtuache kwanza kwani hatuna mda wa kusikiliza upuuzi wenu,mwacheni kaka aonyeshe njia iliyonyooka kwa makengezaRussia ikifungiwa SWIFT watafanyaje. Watalipua ofisi za IMF au mabenki makubwa duniani?
Aeroflot shirika la ndege kubwa la serikali la Urusi limepigwa air blockade na nchi 9 mpaka jana usiku, sijui leo zimefika ngapi. Watafanyaje au kwamba Russian Airforce itaenda kulipua airports za hizo nchi?
Makampuni yamezuiwa kuuza baadhi ya teknolojia muhimu isipokuwa za afya na za kuongozea ndege. Russia watavamia makampuni? Sasa ngoja uone kama viwanda vyao vitafanya kazi, mpaka leo hawana gas turbine engines za uhakika kutengeneza warships tangu wavamie Ukraine. Wanaishia kutengeneza corvettes tu.
Huyo China unayemsema ni yule aliyekimbia kikao cha UNSC juzi ili asipige kura ya hapana kwa Russian invasion. Siku yoyote ukisikia superpower hakuwepo kwenye kamati yoyote ya UN ujue anasikilizia upepo na mara nyingi utakuta anajua kura yake haitobadilisha chochote ila ana hasara kwa kila chaguo atalofanya. Ili kukwepa lawama anakuwa absent, ile sio ndoa kwamba Bwana Harusi kafiwa kwahiyo tuhaihirishe, ile ni uwakilishi wa nchi huwezi sema wawakilishi wote walikuwa na dharula
Haya maneno si yashasemwa?? Wao waingilia hiyo vita afu waone Urusi anaamua niniGerman chancellor.
"We will defend every squire inch of NATO territory".
mda wa kuwahesabu wameutoa wapi?
Ukraine sio nchi ndogo kijeshi duniani inawaza kuwa upo 10 boraUnaongea kama kaka VP unamjua vizuri sana, ila nikutoe wasi wasi baada ya kumtwanga kisawasawa huyu fala na kinchi chake uchwara hiki tutakaa meza moja na tutafunguliwa toka vikwazoni. Mda huu mtuache kwanza kwani hatuna mda wa kusikiliza upuuzi wenu,mwacheni kaka aonyeshe njia iliyonyooka kwa makengeza
Yamesemwa tena leo. Anayevamia nchi nyingine wakati huu ni Russia sio NATO. Sasa nchi member wa NATO inawapa uhakika wanachama wake. Haina mpango wa kuvamia ina nia ya kujilinda ikivamiwa.Haya maneno si yashasemwa?? Wao waingilia hiyo vita afu waone Urusi anaamua nini
Nawachukia sana Ukraine kwa kitu wanachotufanyia waafrika ( black) kuwazuia wUnaongea kama kaka VP unamjua vizuri sana, ila nikutoe wasi wasi baada ya kumtwanga kisawasawa huyu fala na kinchi chake uchwara hiki tutakaa meza moja na tutafunguliwa toka vikwazoni. Mda huu mtuache kwanza kwani hatuna mda wa kusikiliza upuuzi wenu,mwacheni kaka aonyeshe njia iliyonyooka kwa makengeza
Kwa data zipi boss?Ukraine sio nchi ndogo kijeshi duniani inawaza kuwa upo 10 bora
Putin must PAY..⚡️Czech Rep joins Poland and Sweden in refusing to play Russia in soccer World Cup play-off for the 2022 tournament in Qatar - reports
RT
Urusi imepeleka conscripts ambao wanatoka familia maskini zisizo na hela ya kuhonga maofisa wa jeshi watoto wao wasiende jeshini. Ni kama hapa bongo watoto wa vigogo hawaendi JKT ila ajira kipaumbele kwao. Hao conscripts hawana uzoefu na wanalazimishwa wengine waliambiwa wanaenda kwenye mazoezi, wenye uzoefu wengi makamanda wao na watumia zana. Ni kama Marekani sometimes inavyopeleka wanajeshi wa mkataba Afghanistan na kupeleka makomandoo wachache na snipers.Ukraine wamepelekwa wanamgambo waliojitenga ,jeshi kamili LA urusi lipo linasubiri risasi hata moja kutoka NATO wataanza na huyo mpolanda
Kwani Warusi hawafi pia,unaleta propaganda za kizamani mbonaAngalie jinsi URUSI walivyo hatari. Hiki kipigo ni takatifuView attachment 2132812
Ziadhibiwe na FIFA⚡️Czech Rep joins Poland and Sweden in refusing to play Russia in soccer World Cup play-off for the 2022 tournament in Qatar - reports
RT
Wajijga tuu hao wanatakiwa wakamsaidie front line....hiyo haina msaada wowote kwa Ukraine⚡️Czech Rep joins Poland and Sweden in refusing to play Russia in soccer World Cup play-off for the 2022 tournament in Qatar - reports
RT