LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Vita mbaya.
Sijui kama nikweli
IMG_20220227_133510.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa ni Bayraktar TB2 hii. Silaha za Urusi zilikutana nazo Libya zikasumbuliwa, Syria zikasumbuliwa, Azerbaijan pia ila makampuni ya Urusi yalikuwa busy kutafuta counter drones.
Mkuu ni ile ya kituruki?
Kwangu hii ni kati ya Drone ya mashambulizi bora kabisa kuwahi kutengenezwa duniani.


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Russia ikifungiwa SWIFT watafanyaje. Watalipua ofisi za IMF au mabenki makubwa duniani?

Aeroflot shirika la ndege kubwa la serikali la Urusi limepigwa air blockade na nchi 9 mpaka jana usiku, sijui leo zimefika ngapi. Watafanyaje au kwamba Russian Airforce itaenda kulipua airports za hizo nchi?

Makampuni yamezuiwa kuuza baadhi ya teknolojia muhimu isipokuwa za afya na za kuongozea ndege. Russia watavamia makampuni? Sasa ngoja uone kama viwanda vyao vitafanya kazi, mpaka leo hawana gas turbine engines za uhakika kutengeneza warships tangu wavamie Ukraine. Wanaishia kutengeneza corvettes tu.

Huyo China unayemsema ni yule aliyekimbia kikao cha UNSC juzi ili asipige kura ya hapana kwa Russian invasion. Siku yoyote ukisikia superpower hakuwepo kwenye kamati yoyote ya UN ujue anasikilizia upepo na mara nyingi utakuta anajua kura yake haitobadilisha chochote ila ana hasara kwa kila chaguo atalofanya. Ili kukwepa lawama anakuwa absent, ile sio ndoa kwamba Bwana Harusi kafiwa kwahiyo tuhaihirishe, ile ni uwakilishi wa nchi huwezi sema wawakilishi wote walikuwa na dharula
Unaongea kama kaka VP unamjua vizuri sana, ila nikutoe wasi wasi baada ya kumtwanga kisawasawa huyu fala na kinchi chake uchwara hiki tutakaa meza moja na tutafunguliwa toka vikwazoni. Mda huu mtuache kwanza kwani hatuna mda wa kusikiliza upuuzi wenu,mwacheni kaka aonyeshe njia iliyonyooka kwa makengeza
 
Unaongea kama kaka VP unamjua vizuri sana, ila nikutoe wasi wasi baada ya kumtwanga kisawasawa huyu fala na kinchi chake uchwara hiki tutakaa meza moja na tutafunguliwa toka vikwazoni. Mda huu mtuache kwanza kwani hatuna mda wa kusikiliza upuuzi wenu,mwacheni kaka aonyeshe njia iliyonyooka kwa makengeza
Ukraine sio nchi ndogo kijeshi duniani inawaza kuwa upo 10 bora
 
Wizara ya Mambo ya Nje inataka mazungumzo yafanyike mjini Baku, Azerbaijan au Istanbul, Uturuki au Warsaw, Poland. Wamegoma kufanyia mazungumzo mjini Minsk ambako Belarus inatumika na Urusi kuvamia. Wakubaliane waache vita, maisha yaendelee ila Ukraine isikubaliwe kuingia NATO. Claims za Russia in military view zina mashiko, ila kiraia hazina. Hata US ingefanya hivihivi ila isingewekewa vikwazo.

Wizara ya ulinzi imetangaza kupokea air defence missiles sijui ni MANPADS, ground to air au ni air to air. Inashangaza kuona Urusi ilifeli kuangamiza kabisa jeshi la anga, hilo ndio suala la kwanza Marekani hufanya. Yani bora aachane na boots on ground kama hamiliki anga lako
 
Haya maneno si yashasemwa?? Wao waingilia hiyo vita afu waone Urusi anaamua nini
Yamesemwa tena leo. Anayevamia nchi nyingine wakati huu ni Russia sio NATO. Sasa nchi member wa NATO inawapa uhakika wanachama wake. Haina mpango wa kuvamia ina nia ya kujilinda ikivamiwa.
 
China is now fully open to Russian wheat deliveries, as all import restrictions have been lifted, the South China Morning Post has reported, citing the country’s General Administration of Customs.

The announcement was made public on Thursday, hours after Russia began its military operation in Ukraine, the paper says, adding that the deal could provide a lifeline to the Russian economy as it faces tough economic sanctions from the EU and the US, and at the same time addresses China’s need to enhance food security.

China previously restricted imports from Russia due to phytosanitary concerns, as a measure to control the spread of plant diseases. Earlier this month, during Russian President Vladimir Putin’s visit to Beijing, China agreed to allow imports from Russia.



 
Unaongea kama kaka VP unamjua vizuri sana, ila nikutoe wasi wasi baada ya kumtwanga kisawasawa huyu fala na kinchi chake uchwara hiki tutakaa meza moja na tutafunguliwa toka vikwazoni. Mda huu mtuache kwanza kwani hatuna mda wa kusikiliza upuuzi wenu,mwacheni kaka aonyeshe njia iliyonyooka kwa makengeza
Nawachukia sana Ukraine kwa kitu wanachotufanyia waafrika ( black) kuwazuia w
Mpakani wasitoke na kuruhusu wazungu tuu daa ..
I hope putin awamalize wote mbwa wale
20220227_133610.jpg
 
Ukraine wamepelekwa wanamgambo waliojitenga ,jeshi kamili LA urusi lipo linasubiri risasi hata moja kutoka NATO wataanza na huyo mpolanda
Urusi imepeleka conscripts ambao wanatoka familia maskini zisizo na hela ya kuhonga maofisa wa jeshi watoto wao wasiende jeshini. Ni kama hapa bongo watoto wa vigogo hawaendi JKT ila ajira kipaumbele kwao. Hao conscripts hawana uzoefu na wanalazimishwa wengine waliambiwa wanaenda kwenye mazoezi, wenye uzoefu wengi makamanda wao na watumia zana. Ni kama Marekani sometimes inavyopeleka wanajeshi wa mkataba Afghanistan na kupeleka makomandoo wachache na snipers.

Hao wanamgambo wa Donbass ni battle hardened wako vizuri ila sijui kama wanapigana. Chechens nao vita wanajua
 
⚡️Czech Rep joins Poland and Sweden in refusing to play Russia in soccer World Cup play-off for the 2022 tournament in Qatar - reports

RT
Wajijga tuu hao wanatakiwa wakamsaidie front line....hiyo haina msaada wowote kwa Ukraine
 
Back
Top Bottom