Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wazee wengi na maprofesa wa bongo ni vilaza wakubwa wanazidiwa maarifa kwa mbali na vijana wengi wa kisasa wanaojishughulisha kupata taarifa viganjani.
Huhitaji kushuhudia vita kuielewa ndio maana ulifundishwa vita vya majimaji, Iddi Amin, WWI na WWII darasani.
 
Kwa hiyo we unaamini ukraine kasimama peke yake hana msaada wowote ndo maana anamsumbua russia ......huoni kuwa NATO anapigana na RUSSIA kupitia mgongo wa ukraine ....
 
Kwa hiyo we unaamini ukraine kasimama peke yake hana msaada wowote ndo maana anamsumbua russia ......huoni kuwa NATO anapigana na RUSSIA kupitia mgongo wa ukraine ....
Urusi alishatoa onyo OP isiingiliwe, sasa kama imeingiliwa aachane na Ukraine, akae na giant wenzake wayajenge. Akiendelea kimya kimya Ukraine atastahili sifa katika usumbufu anaompa.
 
Hoja yako ni dhaifu kuwa Russia alitaka kudistruct attention ya Wanajeshi wa Ukraine kwa kupeleka msafara Kiev.

Kama hii hoja ingekuwa ina mashiko basi Russia angekuwa ameichukua Donbass yote pamoja na Mariopol
 
US hana ushawishi sahvi watu wameshashtuka toka usingizini wanasubiri kukuche. Tukiwaambia unipolar world inakwenda kufa kuna watu humu ndani wanapiga kelele,
Na kufa huo mfumo ushakufa hata tukisema Vita ikome leo. Haitakuwa kama awali.

Tukiweka mahaba kando.

All the financial aid zinazotolewa kwa wa-Ukraine kutoka west is in the form of loans. Kiev is never going to be able to pay those back. So post war the west will likely seek to asset strip Ukraine. Na tatizo kuu being most of the assets reside in the South and East of the country. Na ni kwenye hizi sehem ndipo Russia alipokaa.

Ukiangalia kwa umakini, unaona kama sio West tu wanaorefusha hii vita iwe ndefu bali na Russia wenyewe. Kwasabab uwezo wa kuharibu njia za kuingizia hizo Weapons ndani ya Ukraine wanao kwanini wanaendelea kuuacha wazi?

Utaona ni nchi za west zinazidi kuingizwa mkenge huku nao wakihisi wanazidi kumdhoofisha Russia. West wanaingizwa mkenge gharama za ku-sponsor vita kiasi unasikia uko nje kua kuna nchi zinadai kufikia ukomo wa kupelekka silaha zao Ukraine.

Wakati hali ndani ya Russia wakiendelea kujiimarisha taratib uko Europe na US hali inazidi kua mbaya kwa Raia wa kawaida...nakumbuka ka sikosei 2017 wakati wa Trump kuna taarifa niliisoma kutoka kwao ikisema kua more than 45Millions people wanaishi kwa Food Stamp. Hii ni takriban 14% of US Citizens.

US na Western allies naweza kusema wameover react kiassi cha kuonesha makucha yao. Kitendo cha ku-weaponize currencies zao kunaondoa Trust kutoka kwenye mataifa mengine yaliyohifadh pesa assets zao kuanza kuz'exchange kiasi ambacho itapelekea Hyper Inflation kwenye nchi hizo. Ukizangatia kila taarifa inayokua hivi sasa tunaambiwa Inflations zilizopo ni kubwa kuwah kutokea ndani ya miaka mingi nyuma.

Wakati wao wana'over react, uku Russia anajifanya mjinga, anapigwa sanctions na hayo hayo mataifa ila ha-fight back in rush mfano labda kwa kuzima Gas n.k, kwa wenye akili ndogo wataona ni udhaifu ila wenye macho mapana wanaona namna gan Russia anavojarib kuwin Trust kutoka kwa Rafiki zake, kua no matter how we can argue politically siwezi kufight back kuuharib uchumi wako makusudi.

Hii inamwonesha na kumpamba as reliable partner, that's why tunaeza ona rafiki zake wakubwa wameendelea kushikana nae, Irani nae aliyekuw akifatwa nyuma na US huyo hapo na Russia, Gulf regions hao vibaraka wa US nao wamegomea kushiriki kumlaani na kumwekea vikwazo Russia

Dah issue za kuongea ni nyingi sema mahaba yametamalaki kwenye huu uzi.. So twendeleeni na mapambio ya kubishana kila mtu na upande wake [emoji847][emoji847][emoji847]
 
Mrusi hataki kuua wananchi, anashambulia wanajeshi haswa.
Ukitumia ndege ku strike basi possibility ya kuua innocent people ni kubwa
 
Huitaji kuwa na miaka 800 kujua lengo la Russia kwenda Ukraine lilikuwa kubadili utawala, na lengo la Russia ilikuwa kuuteka mji wa Kiev ambao ni seat of power ya Serikali ya Ukraine.

Pia kupitia aina ya Mashambulizi ambayo Russia ilifanya 24-Feb.. Russia siku ya kwanza ilifanya mashambulizi Kutokea Angani, Majini, na nchi Kavu, Russia iliivamia Ukraine kutokea Russia, Beralus na Krimea, that was a full scale invasion na zaidi Putin alitoa wito kwa Askari wa Ukraine Wasipigane badala yake Wamtoe Rais wao madarakani, hili tu linatosha kuona kuwa Putin alishindwa kuwashawishi Waukraine
 
ahaa ok nmekupata
 
Vita sio sanaa, vita ni uharibifu na mauaji. Hakuna kingine cha zaidi ya hayo.
 
kujua km kashndwa au hajashindwa ni lazima tujue kwnz malengo yak ni yapi, as long as hatujui malengo haswa ya putin ni yapi ni ngumu kusema kachemka au vp, sema kila mtu anajaribu kuanalyze kadri ya upeo wake malengo ya urusi ni yapi then kulngana na current situation ameshindwa au lah, so ni mtazamo tu
 
Afloat maana ake ni kuzama si ndio?? [emoji1787]
Russia’s defence ministry has said the Moskva missile cruiser, its flagship in the Black Sea, has sunk, dealing a significant blow to Moscow’s offensive in southern Ukraine.

Ukrainian officials said on Thursday that the Russian vessel had been hit by one of their anti-ship missiles, causing an explosion on board.

The Pentagon assessed that the ship had “experienced significant damage” and was battling a fire, a senior US defence official said. “We can’t say definitively what caused this explosion and the subsequent fire,” the person added. “It could have been the result of a missile strike and it could have been something else. We just don’t know.”

Mkuu unabishana mpaka na wizara ya Ulinzi ya Urusi ambayo wamethitisha kwamba hiyo Meli hatunayo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…