T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Umeamua kukubaliana na Russia waliosema meli imezama kwa dhoruba, sasa unabishana na mimi nini. Wewe meli yenu imeungua moto na kuzama kwa dhoruba. Mimi nasema meli ya Russia imepigwa na makombora ya Ukraine, wakafanya evacuation, ikawa tugged, ikazama. Hakuna haja ya kubishana vitu waziwaziUshahidi wa Hilo uko wapi?Russia anasema ni ajali ya moto na akatoa na video inayoonesha hakuna missile strike yoyote kabla ya meli kulipuka!
Ukraine anasema yeye ndiye kaishambulia,Sasa wewe umeamua kuchagua kuamini kinachosemwa na Ukraine!
Mpaka Sasa vyombo vyote,BBC,Aljazeera,France 24 vinareport habari bila kusema kuwa meli imelipuliwa au ilipata ajali ya moto na kulipuka!
Sasa wewe ni nani mpaka uwe na uhakika na unachokisema?Umeverify habari Yako kupitia wapi?Tupe na sisi link ya Ili nasi tuwe na uthibitisho wa Hilo usemalo!
Hongera kwa Ukraine kushinda hii vita😂😂😂..Mrusi wa Mchambawima huyo
Ile ilianzishwa na majasusi kutoka west, kataa?Mapinduzi ya MAidan walifanya wananchi. Baadaye walikuwa na uchaguzi huru mara mbili.
Unajua matokeo?? Hapana hujui. Nikusaidie: Chama cha Svoboda (penye wafuasi wa itikadi wa Bandera) ilishuka nchini na chini hadi kufikia 2% pekee na mbunge 1 (mmoja). Wapi neonazi nje ya propaganda ya Urusi - na labda kati ya hizi asilimia 2??)
Onyesha mfano jinsi gani chama chenye asilimia 2 inakamata serikali??? Imekataliwa.
Tukijadili sehemu ya 2%: kwenye msingi gani unadai ni wengi au muhimu???
Eleza Bwana!
Hii Meli warusi imewauma Sana inaonekana hawakutegemea Kama ingezamishwa. Na hii itakua fundisho kwao maana kuanzia sasa wataanza kuogopa pwani ya Ukraine.Calls Inside Russia for "Formal Declaration of War"
The destruction of Russia's Guided Missile Cruiser "Moskva" is prompting calls in Russia for the "special military operation" to be upgraded into a formal declaration of war with Ukraine.
Developing, check back.
Duhh okDa aisee hata Mimi najiuliza hizo dumu kubwa ni za Nini?
Tuombe Mungu,huko mbele titasikia makubwa na ya kutishia.
Maana Urusi kwa siku ya Jana kaionya USA iache kupeleka silaha Ukraine,kufanya hivyo ni kumwaga mafuta kwenye moto.
Russian Long-Range Bombers Strike Ukraine For 1st Time In War
For the first time since the Feb.24 invasion, it's being widely reported that the Russian military has struck Ukrainian targets using long-range bombers. Ukrainian defense ministry spokesman Oleksandr Motuzyanyk said Friday that bombs were dropped by Tu-22M3 aircraft over positions in the port city of Mariupol.
"On April 14, two Russian strategic heavy bombers Tu-95/-160 have launched cruise missiles hitting the territory of Ukraine from Krasnodar Krai of Russian Federation airspace," he said. "Also for the first time from the start of the armed aggression bombs were dropped by a long-range bombers Tu-22M3. This airstrike took place, hitting Mariupol."
Tupolev Tu-22M Strategic Bomber Aircraft, file image
It's believed Russian forces are attempting to secure a corridor that stretches from Mariupol to the Crimean Peninsula as the war for the Donbas region heats up. Motuzyanyk described that there are still major street battles happening in and near Mariupol, which before the war had nearly 500,000 people.
The use of long-range bombers could signal the start of a new Russian strategy. The Kremlin has recently admitted it's suffered bigger than expected casualties, with many analysts pointing out that so far Russia has been restrained when it comes to major bombing raids on Ukrainian cities.
It also became evident early on that Russia's military appeared to be restraining its use of airpower, resulting in many instances of unprotected tank convoys being ambushed with often foreign-supplied anti-tank missiles, such as the Javelin.
The timing of this latest development is interesting also given the Thursday sinking of the Moskva cruiser off Odessa's coast, which was considered the Russian Navy's flagship in the Black Sea. It was reportedly hit by a pair of Neptune anti-ship missiles, and Ukraine is celebrating it as a major victory. This as Russia claimed the ship was destroyed by accidental fire which ignited munitions.
The warship's sinking is likely to mark a significant shift for the Kremlin. After suffering such major losses, Russia has more incentive to practice less restraint - which is perhaps why long-rage bombers are apparently now in use.
This week CIA Director William Burns testified that he sees that a lengthy conflict will play out. And it goes without saying that none of this will be good for global food and energy security.
Additionally, Moscow has freshly warned Washington this week to stop supplying arms to Kiev, warning of "unpredictable consequences" to come by continuing down this path. Indeed given Russia is now losing entire warships, and with a crew of over 500 having to be evacuated, the war has just entered a new unpredictable phase.
Hakuna Meli ya Marekani iliyowahi kupigwa Makombora na magaidi wa Yemen ikaharibiwa vibaya,kuna incident ilitokea hao magaidi walirusha Makombora yakaishia kudondoka majini kabla ya kuifikia Meli ya USN haikueleweka kama Marekani walijam hayo Makombora au la.Mkuu kuna meli ya Marekani ilisha wahi kupingwa kombora na magaidi ikiwa pwani ya Yemen sema wao haikuwazama waliwahi kuzima moto ila iliharibiwa vibaya sana unazungumziaje hilo?
Haya mameli ya Marekani unayo yasifu kila siku drone za Iran huwa zinapaa juu ya hayo mameli na hayaoni chochote wana shutuka video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiyaonesha hayo mameli yananyo fanya kazi mpaka Marekani ilirazimika kuipiga mkwara Iran ili iache hiyo tabia.
Na bila Meli za Uturuki kuwaokea wote wangeenda na maji. Ila Vita mbaya Sana,kifo cha maji kibaya Sana unakufa huku unajiona[emoji779]️Only 14 members of the Moskva crew returned to Sevastopol. The fate of almost 500 sailors is unknown, media reported.
Meanwhile, Forbes considered that "Moscow" is the most expensive trophy in the history of the Armed Forces of Ukraine. Approximate cost - 750 million dollars.
Equally important, the Moskva is the largest military ship that has been sunk in the world since 1982. Then, during the Falklands War, the Argentine cruiser General Belgrano was torpedoed by the British submarine HMS Conqueror.
Russia lost a cruiser for the first time since German planes sank the Chervona Ukraine cruiser in Sevastopol in 1941.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Historia fupi ya marehemu. Marehemu alizaliwa Mwaka 1983 na kufariki 13April2022,kilichomuua marehemu ni kiherehere chake cha kujifanya yeye ni supapawa wa mchongo.View attachment 2188929
Kwa hiyo ant ship za magaidi huwa hazionekani kwenye rada sio?Kwahiyo video ya meli kuonekana kwenye mitandao ndio meli inaweza kupigwa. Ungejaribu kuhusisha rules of engagement usingeandika hiki. Mara kibao meli zinakuwa illuminated na hakuna issue inatokea. Kurekodi picha mbona Marekani wanafanya kwa satellites zao wanaonesha hata gari lako lililopaki sembuse meli, tena hapo wanatumia civilian satellites hizo za military hatuna access nazo.
Meli ya Marekani iliyopigwa na Yemens ilikuwa flagship? Hata Israel iliwahi shambuliwa meli yao na Hezbollah na haikuzama. Tofauti inakuja kwamba wale hawakujulikana kama wana anti ship missiles ila Ukraine ni taifa sio the so called magaidi. Na hizi Neptune AShM zilipozinduliwa mwaka jana Warusi walifanya analysis wakasema hamna kitu. There must be preparedness maana capabilities za adui zinajulikana fika, sasa kama preparation ndio ilikuwa hivi basi kuna tatizo
Hivi hawa jamaa wanapotoa updates za kila siku kuhusu vita hii kwa nini huwa wanatoa taarifa za kuwapiga maadui tu . mbona hawatoi taarifa kuwa katka mapigano ya Leo tumepoteza askari kadhaa na vifaa vyetu kadhaa?📌 The latest on the Ukraine operation from the Russian Defence Ministry:
▪️ Russian military, DPR forces have liberated the "Mariupol Metallurgical Plant named after Illich" from Ukrainian nationalists;
▪️ The Russian Army destroyed the Zhulyansk machine-building plant using Kalibr missiles;
▪️ Russian Forces have killed up to 30 Polish mercenaries in Izyumskoe, Kharkov Region;
▪️ Russian air defences have shot down a Ukrainian Mi-8 helicopter using an S-400 anti-aircraft missile system;
▪️ High-precision air-based missiles destroyed a Tochka-U, up to 20 Ukrainian armoured vehicles, and as many as 50 nationalists near Yasenovoe, Ukraine
Mkuu nimesha fafanua kinacho ifanya vita kuwa ngumu lakini unakwepa. Nimekwambia vita inakuwa ngumu kuimaliza kwa sababu Ukraine inapata silaha kutoka nchi za magharibi sidhani kama Ukraine ingeweza kuhimili vita kwa muda mlefu bila msaada.Urusi tunaishangaa kwa vile inapigana kutokea nyumbani inavuka mpaka wa ardhini, bado inatokea Donbass ambako ina umiliki na bado inatokea Belarus na misafara ya silaha.
Marekani ilienda Vietnam kwa kuandaa logistics kali za gharama, kuvuka majini na kupiga air drops za masafa marefu kwenye terrain wasiyo familiar nayo, weather tofauti na mazingira tofauti ambayo hata silaha zilikuwa zinafeli nyingine. Na huu uzi hatuzungumzii Marekani nyuzi zipo ambazo tulishasema udhaifu wa Marekani ilipoenda Vietnam.
Afghanistan Marekani haijatoka kwa kupigwa, imetoka kwa kukaa miaka 20 na hakuna hatma ya operation yao kwahiyo wakaona hakuna economic benefit wanapata na hakuna security threat watakuwa nayo endapo Taliban itarudi madarakani. Ukisoma objectives zao zilikuwa ni nini, ni kubadilisha regime, kuweka mpya na kuipa training. Yote wamefanya kwa miaka 20, kama walitoka ikabadilika hilo ni jambo lingine ambalo halikuwa kwenye objectives zao.
Marekani haijawahi pigana na jirani tangu karne ya 19. Russia sasa ndio analazimika kupigana nao. Russia yuko anapigana na jirani ambaye siri za jeshi karibia zote anajua, silaha nyingi anajua walitengeneza wote, ramani anazo, kambi na strategies baadhi wanajuana. Makamanda wa Russia na wa Ukraine wote kabla ya 1991 walikuwa wanatumikia jeshi moja, wengine walienda vyuo vilevile na wengine Russians waliwahi kuwa stationed Ukraine, na Ukrainians waliwahi kuwa stationed Russia. Yet, superpower hajapata gain ya maana. Hatushangai sana kutoipiga Ukraine, tunashangaa zaidi mpaka leo hakuna kilomita za mraba kadhaa za kuonyesha kwamba wameteka. Yani hata Mariupol uliopo mpakani ambao Ukraine inasuasua kupeleka reserve na supplies, wanajeshi hawajawa relieved ila bado superpower hajauteka completely
Mkuu hiyo habari ni nyingine ni tofauti na ninayo izungumzia.Hakuna Meli ya Marekani iliyowahi kupigwa Makombora na magaidi wa Yemen ikaharibiwa vibaya,kuna incident ilitokea hao magaidi walirusha Makombora yakaishia kudondoka majini kabla ya kuifikia Meli ya USN haikueleweka kama Marekani walijam hayo Makombora au la.
Hiyo habari hii hapa Yemen conflict: Missiles fired at US warship in Red Sea
Nachukua fursa hii kutoa pole kwa Warusi wa kitanganyika popote walipo...Poleni na msiba mzitoHistoria fupi ya marehemu. Marehemu alizaliwa Mwaka 1983 na kufariki 13April2022,kilichomuua marehemu ni kiherehere chake cha kujifanya yeye ni supapawa wa mchongo.View attachment 2188929