Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hasara nyingine Kwa Urusi baada ya meli kuzamishwa.Kifaru Cha kisasa,hatari na ghali Cha Urusi,T-72 chateketezwa na Jeshi la Ukraine, huko mashariki mwa nchi🤔
 
Unataka EU na NATON wafanye appeasement kama Neville Chamberlain alivyofanya kwa Adolf Hitler?
Madikteta huwa yanaelewa lugha ya force na strength tu na ndicho Putin anachotakiwa aonyeshwe.
 
Upunguani unao wewe. Russian warship go f*ck yourself hatimaye ilikuwa ndoto ya kweli. Kama meli imeungua yenyewe Russia wamefanya retaliation ya nini?

Wapi uliwahi sikia meli imepata ajari ya moto kisha wamiliki wa meli wameenda shambulia kiwanda cha kukarabati makombora ya kuzamisha meli? Mnajifanya hamna akili sio. Russia imeshambulia kiwanda cha kurekebisha hayo makombora ya Neptune mjini Kyiv kama retaliation. Makombora ndiyo yametuma dhoruba?
 
Russia si wanaficha idadi ya Vigo na majeruhi
 
Teh teh unafananisha kuanguka kwa ndege zidi ya kuzama kwa meli kubwa ya kijeshi. By the way hayo maswali yako hayataondoa ukweli mchungu kuwa hiyo meli ilipigwa na kitu kizito ikazama.
 
Kumbe, kama wangeteka mji tayari, kwa nini Warusi wanabaki bado na idadi kubwa ya jeshi? Wanahitaji Mariupol kwa mawasiliano na sehemu za pwani upande wa magharibi na Krimea. Wakati vikosi vya Ukraine bado yako ndani ya mji, mawasiliano ni hatarini.
SImwoni mtu aliye na mashaka kwamba Warusi watashinda Mariupol, isiopokuwa miujiza inatokea. Hata hivyo simfahamu mmoja aliyetegemea kwamba Waukraine wangedumu hadi sasa katika mji ule.
Kwa hiyo: kama umeshatangaza ushindi katika Mariupol, ulionyesha tu kiwango chako cha ufahamu wa habari za kijeshi. Sijui, ulitangaza mara ngapi???
 
Urusi yenyewe ilichangiwa kushinda WW2 kwa Lend Lease program ambayo ilipitishwa na Marekani. Silaha, ammunition na spares ilipewa nyingine kwa msaada wa Marekani.

Bado Russia alijua Ukraine watapewa silaha na alisema atashambulia watakaompa silaha. Ashambulie Poland na UK wafanye kutumia Article 5 ya NATO
 
❗️The situation around the situation in Ukraine. What is known by the morning:

✔️ About 3,000 soldiers of the Armed Forces of Ukraine have died and 10,000 have been injured since the beginning of the escalation of the conflict in Ukraine - Zelensky.

✔️Prime Minister of Ukraine and a number of other Ukrainian officials will visit Washington next week - Reuters.

✔️US authorities expect Russia's special operation in Ukraine to last until the end of 2022 - Blinken.

The words of US President Joe Biden that the events in Ukraine seem to him a genocide caused bewilderment among American intelligence - NBC.

✔️British special forces returned to Ukraine for the first time since February and resumed training of Ukrainian troops in Kyiv and its environs - Times.

The United States is trying to force Latin American countries to join anti-Russian sanctions through threats - Russian Ambassador to the United States Antonov.
 
 
Mimi ninachojiuliza, mbona taarifa maalumu haipo?

1-Imepigwa muda gani?
2-Imepigwa na kombora aina ipi?
3-Imepigwa na kombora ngapi?
4-Imepigwa na kombora kutoka ardhini, baharini au angani?
5-Baada ya kupigwa ilichukua muda gani mpaka meli kuzama?

6-Je hilo kombora lililotumika lilisshawahi kutumika wapi?
8-Hio meli ilipigwa ubavuni, chini au juu.

Hayo maelezo kama hakuna, hizo ni ngonjera tu.
 

Russian Air Force Tu-22M3 Heavy Long range Bomber


Russia's Most Deadly Tu-160 Bomber That Can Destroy Entire Countries
Sasa hivi mmehama kwenye ubora wa vifaru mmeona vinavyopondwa mkahamia kwenye supersonic missile mkaona haina jipya madhara kiduchu mkaja kwenye meli ishazamishwa mmeamua muamie kwenye ndege sasa,
 
Mpendwa, ukijibu, kwanza: SOMA!! (hizi alama ndogo nyeusi ni herufi!) Sijataja Mariupol kwa neno 1 katika majadiliano yetu. (nashukuru pia kwa wasiwasi zako kuhusu fuvu yangu ila utangulie kukumbuka fuvu yako hujapewa ili kinyozi asikoe kazi!)
Pili: ukigoogle, usigoogle haraka mno. Sevastopol lugha ya Kigiriki haina umuhimu wowote, ni kidogo mno, hakika kuna watu wengi zaidi wanaoongea Kiromania. Mariupol ilikuwa na historia ya kigiriki, ingawa hata kule si lugha ya maana tena.

Tatu nashukuru kwamba umejifunza Odessa haiko kwenye mashariki mwa Ukraine. Sishangai huwezi kukubali kosa lakini naridhiki ukinyamaza kuhusu hilo tu.
 
Mpaka sasa kuna majibu mawili kwamba Neptune ndio ilitumika kupiga meli, na wamepiga mawili, haya tuelezeeni Neptune zinafanya vipi kazi?

Je zilishawahi kutumika kwenye OP yeyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…