Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Despite large-scale sanctions from the West, Russia's energy sales have not decreased, but, on the contrary, have increased. Analysts of Business Insider came to this opinion.

Such data runs counter to the massive sanctions imposed last month by the West - Russia still has enough buyers to support its energy sector, the newspaper writes.

According to Bloomberg forecasts, this year Russia will earn about $321 billion from energy exports, more than a third more than in 2021.
 
๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜… Pro Russia
 
hii vita ikiisha na undugu umekwisha, hawezekan uuwe watu na kuharibu nch yao vile halafu kesho unaibuka na kusema eti sisi ni wamoja, ushawishi wa urusi ukraine utaishia kulekule east kwingine huku umekufa rasmi
 
How much of $321 billion earnings will finance Putins crazy war in Ukraine?
 
hii vita ikiisha na undugu umekwisha, hawezekan uuwe watu na kuharibu nch yao vile halafu kesho unaibuka na kusema eti sisi ni wamoja, ushawishi wa urusi ukraine utaishia kulekule east kwingine huku umekufa rasmi
Mbona US alipiga mabomu ya Nuclear Japan, na bado marafiki Hadi leo..

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Ilaaaa ... Sawa tu ... Wakatoliki tunasema "Woteeee ni WA Munguuuuu " ....
 
Russia atazidi kuimega Ukraine kwa sababu ameimaliza nguvu, Ukraine wamebaki na nguvu ya kuilinda Kyiv.

Alianza na Crimea akaikamata, hii vita ya sasa alitamani kuchukua yale majimbo ya East, akaona akiingia kwa style ya kuyachukua kama Crimea itakuwa ngumu na ataonekana muonevu.

Walichofanya nI kufanya mind game kama wanaelekea Kyiv, hapo NATO na US wakawekeza nguvu zao zote kuhakiki Kyiv haikamatwi, halafu baada ya kuhakikisha jamaa wamerudi nyuma, Russia inaelekea mashariki kukomboa majimbo.

Ukraine haina uwezo wa kuweka nguvu zake zote kwenye kulinda yale majimbo yasichukuliwe, Kwa kufanya hivyo lazima wachague wanailinda Kyiv ama majimbo ya East.

Russia walivyo washenzi wanakuambia wanakomboa wananchi ambao walikua kwenye uonevu na uongozi wa Ukraine.

Russia anaimega Ukraine kila siku na kwa akili sana, kumbuka Ukraine hana nguvu tena, hata akipata misaada ataweka nguvu zake zote Kyiv, atapigana mpaka tone la mwisho la jasho na damu kabla hajasurrender.

Russia kumbuka walisema hawatoivamia Ukraine lakini ghafla dunia ikashangaa vita imeanza.

Russia anaichezea akili dunia nzima na vyenga walivyopigwa hawana hamu.

Tazama mwanzoni waliposema wanafanya mazoezi mpakani, dunia ikaona kweli hawawezi kuvamia ,thubutuuu jamaa wakaingia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, hio ni michezo ya akili tu.

Kwa picha aliyoitengeneza Russia ni Ukraine kuona bora wamelinda Kyiv, lakini Kyiv was not the main target trust me.

Hii vita itasimama na yale majimbo yatakua chini ya Russia, vita itaisha.

Vita ikiisha Ukraine itaona uchungu sana, watajiona wamefeli, watajiona wajinga waliochezewa akili kijinga, wataona wameingia hasara ya kuharibiwa miundo mbinu n.k, kwa sababu majimbo yapo chini ya Russia, watatamani tena kwenda kuyakomboa but its too late.

Wakijaribu kutumia nguvu ndio hapo utaona Kyiv inapigwa na kuwa chini yao, Russia ndipo itapata sababu ya kile ilichokuwa ina kitamani kuweka mtu wao, and at the end of the day, utashangaa Ukraine inasema ndio mzee kwenye kila jambo.


Kwa sababu katika kipindi hiki Russia atakua kwenye ardhi ya Ukraine ambapo anadai ni kwake, itakua threat kwa Ukraine.

Washamba wanashangilia meli moja ya Russia kupigwa, huo ni upuuzi tu, Russia anapigana vita ya akili, Ukraine anapigana vita ya Propaganda.

Propaganda maana yake ni uongo, na propaganda imefeli.

Mfano mmoja, Russia kwa kuweka vikwazo vya gas kwa nchi za Ulaya inasaidia kupunguza kasi ya kujihusisha kwa nchi za ulaya kwenye huu mgogoro, ili waendelee na utatuzi wa matatizo yao ya ndani haswa ya kiuchumi au kuleta mtafaruku wa moja kwa moja na wananchi, baadae utasikia wameruhusiwa kununua gas๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, hili limefanya kazi kwa asilimia zote, sikia ujerumani wananchi wameambiwa waanze kubana matumizi, sambamba na kunywa maji ya bomba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, mgao wa gas.

Ukiangalia kwa upana utagundua Russia anaicheza karata yake vyema sana.

Amewa outsmart EU, USA na Nato.

Wajinga wanazidi kushangilia kifaru cha Russia na meli iliyozamishwa pasipo kujua kwamba Ukraine wanapoteza mchezo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, sasa kifaru kupigwa kwa nchi ambayo inauza silaha za kivita ni nini? Kile si chuma tu, tofautisha jimbo kuchukuliwa na meli, hapo ndipo unagundua kuna watu akili hamnazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ