Wacha kulia lia umesha kunywa uji ...??cjui dunia gan unayomimaanisha maana mataifa ya magharibi yalipiga sn kelele kuwa urusi imerundka wanajeshi zaidi ya 100,000 mpkn ikijiandaa kuivamia ukraine lavrov akawa busy kukanusha kwe media kila siku kuwa hawana mpango wa uvamizi, hivi ni kweli ww makelele ya kuituhumu urusi kuwa inatk vamia ukraine ulikuwa huyasikii au tu ndio umelewa ushabiki,
uji tayari ila jamaa hapo kadanganya,
Bwana Tsh ...ebu jaribu kufuatilia source zingine source yako isiwe JF tu humu kuna ushabiki mwingi mno o angalia kwungine huenda ukapata kile unachotaka kukihakiki maana hii ishu sijaitafiti ..........alafu sizani eti ni kwa sababu ya meli ndo maana katangaza hivo ........Kuna habari humu katangaza vita ya tatu sababu ya meli, sasa sijajua kama ni habari sahihi au la.
Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa
The strikes come as President Volodymyr Zelensky warned Putin is running out of time to sit at the negotiating table, as analysts now suggest Ukraine may well win the war in the coming weeks. Russia is believed to have hoped for a blitzkrieg lasting mere days before securing overall control of...www.jamiiforums.com
Sasa kama kadanganya na wewe si ushushe nondo zako za ukweli hapa tupitie badala ya kuanza kulia lia ...humuuji tayari ila jamaa hapo kadanganya,
Sijaona kwenye vyombo vingine vya habari zaidi ya Express news. Kuna uwezekano si taarifa rasmi.Bwana Tsh ...ebu jaribu kufuatilia source zingine huenda ukapata kile unachotaka kukihakiki maana hii ishu sijaitafiti ..................
Ila russia hata kama kasema hivo vita ya tatu ana haki yakusema hivo alishaona hii batle hapigani na ukraine bali anapigana na ulaya yote na marekani australia japani ...
Na wanapigana nae INDIRECT WAR .inshort ..anapambana na dunia yenye uchumi mkubwa na wenye fedha kwa faida yao ......kwa upande wa russia sasa yeye anasema washa moto mimi nimwagilizie petrol ili wote tuanze upya na hapo tutaheshimiana tu...
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
nlishamjibu tayar,Sasa kama kadanganya na wewe si ushushe nondo zako za ukweli hapa tupitie badala ya kuanza kulia lia ...humu
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
We jitekenye tu...Muulize Biden kwa nini serikali ya Marekani ilikuwa ikimuomba Erdogan/Turkey apeleke S-400 Ukraine ikailinde Ukraine badala ya yeye Biden kupeleka yale mavyuma chakavu yake ya Patriot PAC-3 na THAADHayo machuma yaliyoshindwa kuilinda meli yao wenyewe ndio itaweza kuilinda India?
si pro russia hatukubalian naww tushasema russia ni taifa tajiri lenye rasilimali bwelele...usiturudishe nyumaNa wanapigana nae INDIRECT WAR .inshort ..anapambana na dunia yenye uchumi mkubwa na wenye fedha kwa faida yao ......kwa upande wa russia sasa yeye anasema washa moto mimi nimwagilizie petrol ili wote tuanze upya na hapo tutaheshimiana tu........
.ishu iliopo hapa ni hao westen kumwaga silaha ukraine ...
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Ngojeni niwaandikie Gazeti la weekend[
Huyu mwamba Tsh nilianza kumuelewa lakini naye amehama kwenye facts ekuwa hoyahoya .... Hii lugha nairudia tena " HATUNA MAAMUZI YEYOTE KWA KINACHOENDELEA UKRAINE, HAKUNA ANAYEJUA "blueprint" ya OP YA 1 WALA YA 2... HAKUNA AJUAYE UKRAINE KAKAAA KAAAJE".. SISI TUPIGE SOGA ..tukumbushane matukio yanayotokea ama yaliyotokea ...lakini huuu U-KEYBOARD WARRIOR... acheni... Letaaaa kashata sinia mbili na kahawa thomo mbili...Bwana Tsh ...ebu jaribu kufuatilia source zingine source yako isiwe JF tu humu kuna ushabiki mwingi mno o angalia kwungine huenda ukapata kile unachotaka kukihakiki maana hii ishu sijaitafiti ..........alafu sizani eti ni kwa sababu ya meli ndo maana katangaza hivo ........
Ila russia hata kama kasema hivo vita ya tatu ana haki yakusema hivo alishaona hii batle hapigani na ukraine bali anapigana na ulaya yote na marekani australia japani ...
Na wanapigana nae INDIRECT WAR .inshort ..anapambana na dunia yenye uchumi mkubwa na wenye fedha kwa faida yao ......kwa upande wa russia sasa yeye anasema washa moto mimi nimwagilizie petrol ili wote tuanze upya na hapo tutaheshimiana tu........
.ishu iliopo hapa ni hao westen kumwaga silaha ukraine ...
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
duh! lkn urusi ilishasema kuwa meli haikushambuliwa, sasa watatumiaje kuzama kwa meli km sababu ya kutangaza vita??.
There are Unconfirmed reports coming out of Russia today that the Russian Federation is preparing to Formally Declare War on Ukraine in response to the sinking of the Russian Black Sea’s Flag-Ship “Moskva.” (Story HERE) This would allow the Russian Government to begin Mass Conscription as well as Economic War Actions.
Ahsante MKUUNgojeni niwaandikie Gazeti la weekend [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi majuzi kati hapo zilipigwa kura ndani ya baraza la UN Human Right Council ambazo baada ya kura kupigwa zilihitimishwa kwa Russia kua suspended UN General Assembly votes to suspend Russia from the Human Rights Council kwenye hilo baraza letter nae akaamua kuterminate kabisa it's membership kwenye baraza hilo. https://news.cgtn.com/news/2022-04-...of-membership-of-UNHRC-193rV7qKb3a/index.html
Kutoka kwenye idadi ya kura zilizopigwa nahisi tunaeza kujifunza jambo. Idadi ya waliovote in Favour walikuwa 93, against walikuwa 24, ambao hawakupiga kura 58 na ambao hawakuepo ni 17.
Kwe hii table yaonesha Regions ya jumla yote ya washiriki waliopiga kura In favour na Against. View attachment 2189445 Kwa hapo tunaona kua Western Europe, North America wakishiriki kwa 100% in favor, Eastern Europe wakishiriki kwa 94%... Haya ndio maeneo yaliyoshiriki kwa kiasi kubwa in favor katika kura zilizopigwa.
Then ukigeuka upande wa pili unaona Africa, Central Asia, Far East, MENA region na south Asia wakiwa against hii.
Hii inaleta picha gani? Turejee nyuma kidogo... Ukija in term of population ya hizo kura zilizopigwa kuna kitu cha ajab tunaeza kukiona...
In favour Zipo nchi 93 lakini ni 23.98% ya World Population.
Ambao wapo against ni Nchi 24 lakini ni 27.58% ya World Population.
Walio Abstain ni nchi 58 but ni 45.91% ya World Population.
Na wale ambao hawakuepo ni nchi ka 17 hivi ambao ni just 2.53% ya World Population.
So tukiamua tokeo hilo kwa idadi ya watu kupitia wawakilishi wake ni kama vile over 75% hawako in favor ya kile kilichotokea.
Anyway hapa sipo kuzungumzia uhalalali wa hizo kura ila kuna jambo nataka tulione ambalo binafs na wengineo twaliona kama ni ujio wa jambo ambalo inaonekana wahusika kutoka western ndicho wanachoambiwa wame"Miscalculate...
Jambo lenyewe ni huu mgawanyiko wa North West na South East. Tuzitumie data za siku hiyo kuona wapi ama upande upi wako na Unipolar na pande ipi wana embrace ujio wa Multipolarity...
Western experts wanaonesha wameshindwa ku-grasp kua the Global South is around 87% of the world's population, is in its ascendency and has a myriad of vertical growth markets now in play and is embracing the multipolar world.
If you create your own financial system and trade zones with 87% of global population you can default on your western centric obligations because you don't intend ever utilising it again.
Na hii nadhan ndio 7b ya Russia kuonekana kutoshtuka na assets zinazochukuliwa na [emoji241] wa magharibi...
Na nahisi vile vile ni 7b inayowaumiza kichwa Western kwa India na China...
Tukumbuke haya mataifa mawili INDIA NA CHIN pekee wamekusanya zaidi ya 36% of world Population. Yani katika watu 100 duniani kati yao 36 ni wachina na wahindi.
Tena bila hiyo lend lease, Stalin asingemuweza Hitler kabisa, ilifika kipindi askari wa Urusi walikuwa wanapewa bunduki moja watumie askari wawili, yaani walizidiwa mno.Urusi yenyewe ilichangiwa kushinda WW2 kwa Lend Lease program ambayo ilipitishwa na Marekani. Silaha, ammunition na spares ilipewa nyingine kwa msaada wa Marekani.
Bado Russia alijua Ukraine watapewa silaha na alisema atashambulia watakaompa silaha. Ashambulie Poland na UK wafanye kutumia Article 5 ya NATO
Tatizo ni nchi masikini [emoji3] Dunia iko west Europe na North America tu huko kwingine ni njaaaaaNgojeni niwaandikie Gazeti la weekend [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi majuzi kati hapo zilipigwa kura ndani ya baraza la UN Human Right Council ambazo baada ya kura kupigwa zilihitimishwa kwa Russia kua suspended UN General Assembly votes to suspend Russia from the Human Rights Council kwenye hilo baraza letter nae akaamua kuterminate kabisa it's membership kwenye baraza hilo. https://news.cgtn.com/news/2022-04-...of-membership-of-UNHRC-193rV7qKb3a/index.html
Kutoka kwenye idadi ya kura zilizopigwa nahisi tunaeza kujifunza jambo. Idadi ya waliovote in Favour walikuwa 93, against walikuwa 24, ambao hawakupiga kura 58 na ambao hawakuepo ni 17.
Kwe hii table yaonesha Regions ya jumla yote ya washiriki waliopiga kura In favour na Against. View attachment 2189445 Kwa hapo tunaona kua Western Europe, North America wakishiriki kwa 100% in favor, Eastern Europe wakishiriki kwa 94%... Haya ndio maeneo yaliyoshiriki kwa kiasi kubwa in favor katika kura zilizopigwa.
Then ukigeuka upande wa pili unaona Africa, Central Asia, Far East, MENA region na south Asia wakiwa against hii.
Hii inaleta picha gani? Turejee nyuma kidogo... Ukija in term of population ya hizo kura zilizopigwa kuna kitu cha ajab tunaeza kukiona...
In favour Zipo nchi 93 lakini ni 23.98% ya World Population.
Ambao wapo against ni Nchi 24 lakini ni 27.58% ya World Population.
Walio Abstain ni nchi 58 but ni 45.91% ya World Population.
Na wale ambao hawakuepo ni nchi ka 17 hivi ambao ni just 2.53% ya World Population.
So tukiamua tokeo hilo kwa idadi ya watu kupitia wawakilishi wake ni kama vile over 75% hawako in favor ya kile kilichotokea.
Anyway hapa sipo kuzungumzia uhalalali wa hizo kura ila kuna jambo nataka tulione ambalo binafs na wengineo twaliona kama ni ujio wa jambo ambalo inaonekana wahusika kutoka western ndicho wanachoambiwa wame"Miscalculate...
Jambo lenyewe ni huu mgawanyiko wa North West na South East. Tuzitumie data za siku hiyo kuona wapi ama upande upi wako na Unipolar na pande ipi wana embrace ujio wa Multipolarity...
Western experts wanaonesha wameshindwa ku-grasp kua the Global South is around 87% of the world's population, is in its ascendency and has a myriad of vertical growth markets now in play and is embracing the multipolar world.
If you create your own financial system and trade zones with 87% of global population you can default on your western centric obligations because you don't intend ever utilising it again.
Na hii nadhan ndio 7b ya Russia kuonekana kutoshtuka na assets zinazochukuliwa na [emoji241] wa magharibi...
Na nahisi vile vile ni 7b inayowaumiza kichwa Western kwa India na China...
Tukumbuke haya mataifa mawili INDIA NA CHIN pekee wamekusanya zaidi ya 36% of world Population. Yani katika watu 100 duniani kati yao 36 ni wachina na wahindi.
Ndo maana nikakwambia humu ushabiki ni mwingi mnoo hasa kwenye huu mtifuano kati ya russia na ukraine hususani kwenye hii thread ......na kama hujaona kwa source zingine basi hiyo habari ya russian kudeclare WWIII ni za uongo ...........Sijaona kwenye vyombo vingine vya habari zaidi ya Express news. Kuna uwezekano si taarifa rasmi.
Mkuu hatujawahi kuelewana kuhusiana na hili suala. Tuna mitazamo tofauti.Huyu mwamba Tsh nilianza kumuelewa lakini naye amehama kwenye facts ekuwa hoyahoya .... Hii lugha nairudia tena " HATUNA MAAMUZI YEYOTE KWA KINACHOENDELEA UKRAINE, HAKUNA ANAYEJUA "blueprint" ya OP YA 1 WALA YA 2... HAKUNA AJUAYE UKRAINE KAKAAA KAAAJE".. SISI TUPIGE SOGA ..tukumbushane matukio yanayotokea ama yaliyotokea ...lakini huuu U-KEYBOARD WARRIOR... acheni... Letaaaa kashata sinia mbili na kahawa thomo mbili...
kweli kabisaNdo maana nikakwambia humu ushabiki ni mwingi mnoo hasa kwenye huu mtifuano kati ya russia na ukraine hususani kwenye hii thread ......na kama hujaona kwa source zingine basi hiyo habari ya russian kudeclare WWIII ni za uongo ...........
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app