Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

mkuu hawataki ndio maana nkaandka wanachotaka kusikia
 
hii meli ilizama yenyew baada ya ajali ya moto kutokea, lkn ukraine ndo kakasirikiwa, wakulima wana tabu huko leo
Wape wanachotaka kusikia .... Unajua hakuna ujinga na hakuna kitu kigumu kama KUDANGANYA NAFSI YAKO....ukweli wanaujua wanakaza fuvu tu... wakasome Logic and Reasoning hasa kuhusu Consciousness. Nawachekiiiii naona ni dead-end minds.
 
Lakini wananchi wake wako pamoja naye na wana mkubali sana!!na anaonekana ni shujaa, ndio raha ya kuwa kiongozi uliyechaguliwa na wananchi, sio lile pandikikiz la Putin!!
Wananchi baadhi wapo pia ambao hawampendi, ukraine imegawanyika hata kabla Urusi hawajaingia. Huyo raisi ana damu nyingi sana mikononi mwake.
 
Kuna watu tunawaambia hapa kila siku hiyo ni just operation tu hawasikii. Vita kamili bado, ikitangazwa vita kamili itabidi kuzimu tukupe jina jipya.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
shida iko wapi mkuu watu kupigana kulinda nchi yao? upimbi uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…