President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
HeheeeeUrusi labda afute kabisa Ukraine isiwepo duniani, kinyume na hapo awamu itakayofuata ni awamu za kisasi kutoka vikundi vidogo vidogo miaka ya mbeleni maana masalia yatatengeneza vikundi adui wa Urusi, watu wa Ukraine wameonyesha msimamo na mapenzi kwa nchi yao. Ukiwaacha wanajeshi masalia kuna uwezekano kukaibuka vikundi vya kulipiza kisasi huko mbeleni. Vitakuwa vikundi vya kigaidi kwa Urusi.
Nimesema labda afute kabisa wanajeshi wanaoweza zaa vikundi vya kigaidi, wewe unasema Puttin alishajipa kazi ya kuwapeleka kwa MUNGU watu kama hao.Hayo ni maneno ya kujipa moyo. Russia sio Marekani. Inayopambana na ugaidi miaka na miaka. Ukitaka kujua Russia ni nani waulize IS. Putin alishajipa kazi ya kuwapeleka kwa Mungu watu kama hao unaowasema
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa sio mzalendo halisi wa Ukraine, lazima US wamepandikiza kitu ubongoni mwake, hata 'kolo' ambalo halijaenda shule haliwezi kua na maamuzi kama ya Zelensky. Jamaa ni mtupu kichwani kabisa for God's sakeHuyu pimbi naona kaamua kuitoa kafara Ukraine mazima...
[emoji298]Zelensky: The elimination of Ukrainian soldiers in Mariupol would put an end to negotiations with Russia.
Hapa ending negotiations means he is also prepared if necessary to indeed fight to the last Ukrainian standing... West waendelee kuzituma tu hizo silaha.
Sijaelewa.Heheeee
Mtaongea lugha zote ila muhimu lengo la RUSSIA linaenda kufikiwa nshakuna kitakachotokea wakati jojia anapelekewa faya yalisemwa zaidi ya haya ila malengo yalifikiwa namaisha yanaendelea
RUSSIA sio ZIMBABWE
Kazi ni kwake Mzigo Utue au laRussia had sent an ultimatum to the Office of the President of Ukraine that if the surrender of Azovstal was not agreed, the plant would be razed to the ground with vacume bombs. Everyone will be buried alive, and the choice of what to do is up to Zelensky.
Sawa MKUUKama ni kukubali unyonge ilitakiwa pale mwanzoni kabisa wakati wameambiwa waweke silaha chini warudi nyumbani.
Wao kama nchi waliamua hapana, huyu mtu pamoja na kuwa ametuzidi na kila kitu hatutamgeuzia mgongo tumwachie nchi, tutamwangalia na kupigana naye.
Huo si Utoto ni maamuzi ya raisi na nchi nzima ikakubaliana naye. Kama wananchi wasingekubali wangemtoa madarakani raisi wao.
Ni sahihi wakifa wote maana walijua linalokuja kuwapata na wakaona lina unafuu kuliko hili unalopendekeza wewe.
Ajabu Anatokea Kikaza mmoja Toka Namtumbo Eti Russia Anachapika!!Wanacho cha kupoteza.
Roho zao na ardhi (sehemu) ya nchi yao. Thats a lot to loose man!
Mpk sasa hv kuna wakimbizi zaidi ya milioni nne kutoka ukraine, raia waliokufa ni maelfu, wanajeshi waliokufa ni maelfu, miundombinu iliyoharibiwa ya kiraia na kijeshi ni maelfu.
Endapo wataendelea na vita watapoteza maeneo mengi sana masahariki, kz na ks kuna possibility nchi yao ikabaki land locked. Idadi ya wakimbizi itaendelea kupanda halkadhalika vifo na majeruhi na hiyo sehemu waliyobaki nayo itaharibiwa vibaya. Wakiamua kusimamisha vita na kurudi mezani na kukubaliana na matakwa ya bwana putin hayo yanaweza kuepukika. Ni suala la kupiga mahesabu tu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Okey boss.Sawa MKUU
Acha izidi kunyesha
Ukitaka kujua Russia ana nguvu ya kijeshi, kabla ya kukushambulia anakwambia kabisa sehemu atakayo shambulia na silaha atakayotumia na anajua kabisa huwez ukamzuia muda wa kukutembezea kipigo ukifika.Russia had sent an ultimatum to the Office of the President of Ukraine that if the surrender of Azovstal was not agreed, the plant would be razed to the ground with vacume bombs. Everyone will be buried alive, and the choice of what to do is up to Zelensky.
Acha Wachapike kwa Ujinga waoJapo ni dhambi kushangilia vifo, ila now nna raha sana jinsi Ukraine anavyopata taabu, askari wao wanakufa kama kuku kwa ujinga wa kumtetea kibaraka Zelensky. Hili litakua somo kwa Finland na Sweden, lakini litakua somo kwa ulaya na marekani katika kuleta balansi ya dunia. Hahahah nna rahaa sana...
Putin ananifurahisha sana hii pasaka, watoe damu hao.. maana ukicheka na nyani utavuna mabua... let's go Russia
Dah nimecheka sana aseeJapo ni dhambi kushangilia vifo, ila now nna raha sana jinsi Ukraine anavyopata taabu, askari wao wanakufa kama kuku kwa ujinga wa kumtetea kibaraka Zelensky. Hili litakua somo kwa Finland na Sweden, lakini litakua somo kwa ulaya na marekani katika kuleta balansi ya dunia. Hahahah nna rahaa sana...
Putin ananifurahisha sana hii pasaka, watoe damu hao.. maana ukicheka na nyani utavuna mabua... let's go Russia
Yaani MKUU mark haya maneno jamaa kafanya maamuzi yakijinga toka awali kwakweliSijaelewa.
Hoja yetu ilikuwa kuhusu Ukraine kumpigia magoti Urusi kuwa si sahihi kwa raisi wa Ukraine kwa hapa alipofikia, wewe ukasema ni sahihi, sasa kwnn umehama na kuingia katika malengo ya Urusi? Au unamaanisha akipiga magoti ni sahihi kwa Urusi bila kujali usahihi wake kwa raisi wa Ukraine?
Dogo anachapwa vibao ili aombe msamaha yaishe. Sasa analeta mbwembwe sababu kaona watu wa kumsaidia na kuamua ugomvi wapo, kinachofuata atapigwa ngumi ya jicho. Hapo ataona nyota atatulia, asipotulia atapigwa ngumi ya nyuma ya kichwa ubongo ucheze, ubongo ukicheza kuna mawili, kua kichaa au kufa.. chaguo ni lake.hivi kama [emoji635][emoji635] anatawala kwa Siku 5 na [emoji1255][emoji1255] Siku 1. Hebu tueleze nn kimekwamisha hii vita hadi kupelekea ichukue muda mrefu .