Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
kumbe kuitwa sister ni
tusi. [emoji23][emoji23] kwa hiyo tuende jino kwa jino !!?.[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] . nakukumbusha usije kulalamika huko mbeleni [emoji125][emoji125][emoji125]
Mwisho wa Siku tukitukanana tutapata nn?. Hebu tujikite kudiscuss the issues.🙏🙏🙏🙏Mwenyew kichaaa mbona sasa wewe likoroge tu
Mwisho wa Siku tukitukanana tutapata nn?. Hebu tujikite kudiscuss the issues.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mbona unachanganya mambo . umesema nishati kutoka 🇷🇺🇷🇺 kuletwa Africa ukikokotoa gharama yake ni kubwa . paragraph yako ya mwisho umesema Putin anakuja kutafuta masoko Africa . hebu fafanua hapo . je tatizo ni masoko au gharama .?🙏🙏🙏Kijana kwanza naomba nikusahishe US sio mnunuzi mkubwa wa Russian energy usirudie tena kusema huu ujinga. US ananunua 3% tu ya oil from Russia EU ni sawa ni wanunuzi wakubwa sababu usambazaji wa gas na oil kutoka Russia ni rahisi kuzifikia nchi za ulaya hivo inapunguza transport cost.
Kumbuka Russia anatumia bomba kusambaza energy zake hvo inakua ni cheap sana. Opec+ wanamikaba yao ya kuuza mafuta sio kila mzalishaji anauza anakotaka nchi za Asia soko lao kubwa ni Asia na Africa ulaya ni kidogo sana wanauza coz Russia ndo amecover kule, Russia hawezi vunja mikataba kizembe ndomana wamegoma ongeza uzalishaji wa mafuta.
Nchi za Africa sio kwamba haziwezi nunua nishati ya Russia hapana shida ni usafirshaji embu fikirisha ubongo uagize mafuta kutoka Russia kuja Tanzania umecalculate distance?? Huwezi compare na tukichukua Asia hapo lazma kutakua na gharama kubwa za usafirishaji bado utarud kulekule.
Kama ulimsikia Putin alisema near future watatafuta masoko Africa na maeneo mengine.
Mkuu kuna kitu nadhani bado hujakijuaUtegemezi kwa nishati ya 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 hilo halina ubishi kuwa jamaa wanategemea sana nishati yake. Ninachokisema Mimi ni kuwa lazma watatafuta njia mbadala ya kuepukana na nishati yake . japokuwa itachukua miaka mingi lakini inawezekana huko mbeleni .
Hata Putin juzi kwenye hotuba yake amesema pengo la nishati ya 🇷🇺🇷🇺 kwa sasa halizibiki ladda HAPO BAADAE .
Labda nikuulize kitu . hiyo nishati inayochimbwa iko siku miaka ya mbeleni itakuja kuisha. Unataka kusema na ulaya yote shughuli zao zitasimama kwa kuwa 🇷🇺🇷🇺 kamaliza malighafi yake ?.
Ni kweli mkuu jamaa wanapigwa Kwa akili Sana, hii itasababisha mataji wajihisi wapo salama kama tu utawekeza RussiaNaomba niongezee hapa, mwambie pia Russia amesema hawezi ku nationalize assets za mataifa yalimpa sanctions sababu kufanya hivo ni ujambazi na udhulumaji. Hivo hawezi fanya uwizi kama huo hii itampa heshima sana Russia . Hao manyang’anyi walitegemea Russia afanye kama wao kumbe tofauti na mategemeo yao.
View attachment 2191460
Kitendo walichofanya West ya kufreeze assets za Russia pamoja na Raia wake ni udhulumaji na wizi. Wenyew wanaona wamemkomesha Russia kumbe wanajiharibia mataifa mengi yataogopa kufanya uwekezaji kwenye hizi nchi.
[emoji635]sio [emoji1147]
Sasa anataka nini??Russian sio afrika mzee ile ni levo ingine ....marekani wenyewe na ubabe wao lakini hawathubutu kutia mguu kwa urusi....
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Daaah 😄😄😄😄😄 wewe mbona kuna mambo mengi huyajui????Na nakukumbusha hapa mnunuzi mkubwa wa nishati ya 🇷🇺🇷🇺 ni 🇺🇸🇺🇸 na Europe. Hiyo maana yake nini China akimpita US kiuchumi yaani marekani akafirisika tafsiri yake 🇷🇺🇷🇺 ndo ataporomoka zaidi . 🇷🇺🇷🇺 haombei hata siku moja 🇺🇸🇺🇸 asitishe ununuzi wa nishati yake .
Utegemezi kwa nishati ya [emoji635][emoji635][emoji635] hilo halina ubishi kuwa jamaa wanategemea sana nishati yake. Ninachokisema Mimi ni kuwa lazma watatafuta njia mbadala ya kuepukana na nishati yake . japokuwa itachukua miaka mingi lakini inawezekana huko mbeleni .
Hata Putin juzi kwenye hotuba yake amesema pengo la nishati ya [emoji635][emoji635] kwa sasa halizibiki ladda HAPO BAADAE .
Labda nikuulize kitu . hiyo nishati inayochimbwa iko siku miaka ya mbeleni itakuja kuisha. Unataka kusema na ulaya yote shughuli zao zitasimama kwa kuwa [emoji635][emoji635] kamaliza malighafi yake ?.
Kaka rudi tena darasani usome vizuri, mambo ya sera za uchumi na siasa Kati ya mabeberu na nchi za asia, pia pitia kitabu '' why nations fail'' kushindana na mabeberu sio jambo jepesi hawa jamaa ni compitetive haswaa, kuna wajuvi wengi humu ndani wameonesha jinsi beberu mkuu alivyotake over china na mataifa mengi ya Asia. Kujua mwenendo wa geopolitics unapaswa kusoma kwelikweli vinginevyo hapa tutalishana matango PoliMkuu kuna kitu nadhani bado hujakijua
Ukraine imesema inataka kujiunga na NATO lakini kumbuka kuna nchi zikishajiunga NATO siku nyuma ambazo Russia alisema zinatakiwa ziwe neutral, hivi umeshajiuliza kwanini Russia hakuanzisha Vita kipindi hicho????
Kinachoonekana urusi ikishindwa kuingia kipindi kila kuzuia zile nchi za zamani zilizokuwa USSR zisijiunge na NATO ni Kwa kuwa urusi ilikuwa bado hajafikia malengo yake ya kuangusha uchumi wa west na marekani,
Kiufupi ni kuwa Vita iliyopo sasa ni Kati ya west country+ USA dhidi ya Asian,
Asians wanataka kuiondoa west na USA kwenye dominance ya uchumi, kijeshi na technology,
Ndiyo maana nakuambia hii Vita ni mwanzo tu Ila kuna mengi yanakuja
Urusi = silaha/ technology
China = viwanda/technology
India = medicine/technology
Asia = gas,Oli/ technology
Asia wakifanikiwa hapo ulaya na America hawana Chao, watazidiwa sokoni Kwa kuwa nchi za Asia zinatumia resources zao kutengeneza vitu, wakati ulaya itabidi inunue resources ili watengeneze vitu
Kwa hiyo moja Kwa moja bidhaa za ulaya zitakosa soko Kwa kuwa na bei kubwa kulinganisha na bidhaa za Asian, ingawa zinalingana ubora
Jomba katika ukurasa ulioanza nao hivi leo ase ni mgumu mno [emoji2958].Daaah [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wewe mbona kuna mambo mengi huyajui????
Kweli marekani akifilisika urusi itaporomoka?????
Hebu niambie nje ya marekani kununua hiyo gas kipi kingine ambacho urusi inaitegemea marekani????
Haitokaa mafuta ya urusi yakakosa soko Kwa sababu ni hutaji la dunia nzima,
Mbona unachanganya mambo . umesema nishati kutoka [emoji635][emoji635] kuletwa Africa ukikokotoa gharama yake ni kubwa . paragraph yako ya mwisho umesema Putin anakuja kutafuta masoko Africa . hebu fafanua hapo . je tatizo ni masoko au gharama .?[emoji120][emoji120][emoji120]