Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ndio mana hii ishu otaisha wakubwa wakikaa mezan wakubaliane bipolar
Hapana haitakuwa bipolarity bali Multipolarity, Huezi kua na just only two power kwenye hii complex world. Kwasababu tukiwa na bi-polarity hakuta kuwa na tofauti kubwa sana katika hali iliyopo ya unipolarity.

In the future more countries will have power zaidi kiuchumi na ki'military vile vile. Kutakuwa na decisions ambazo zitakuwa zinafavour pande zote "Mutual benefits" kuliko huu wa sasa ambao Mr flan akiamua ndio imetoka hivo...

Ndani ya Multpolarity kutakuwa na balance of power, accountability and transparent. Hakuna kuoneana. Hakutakuwa na nchi inayosubiri maamuzi ya kikundi flan kujiamulia mambo yake. Na hapo ndipo tutakuwa na true sovereignity.

Ukikaa kuwasikiliza viongozi wa Russia hasa yule FM Lavrov, kupitia kauli zao unaona they aren't after Power over wengine. Bali wako na kiu ya kuleta balance duniani. Thats why unaona nchi kubwa ka China na India wako nyuma yake.

Kama angekuwa anataka kutwaa utawala hakuna nchi inayotaka kua chini ya taifa lingine hasa kubwa kama hizo wangekuwa wameshampa kisogo mda tu. Wanajua kinachokuja mbele.
 
ila siamin mpk wa leo huyule jamaa asad bdo yupo madarakn maana kwa ile vuguvug arab spring ilivoanza kwa hosni ilisambaa nikajua asad anatembea ila duh alikaza na ikaishia hapo hapo
Assad -Syria
Madulo- Venezuela
Lukashenko - Belarus
Hao jamaa wanaomba maisha yao yote Putin na πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί hii vita ashinde salama . Wamemeza mioyo muda huu . jamaa akiteleza akakung'utwa na wao automatically πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ anawachezesha mdumange .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Maana wako madarakani kwa guard ya πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί.
 
Achana nayo tu hiyo topic sababu hoja zake hazina hata uhusiano na kinachotufanya tuingie kwenye hii mada.
πŸ™πŸ™πŸ™ neno na liwe mkuu πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Reactions: Tsh
Yaani nchi kama Beralus, Russia ajiandae kuivamia tu, kama anaamini kuzimia nchi jirani ni suluhiso la usalama wake...

Yaani Pro Russia si wafatiliaji au wasomaji... Yaani Russia anaogopa sana nchi za Kidemokrasia kuwa jirani yake...

Syria ni utawala wa ukoo mmoja tu, so hili haliepukiki kuwa lazima majority watashinda tu...
 
πŸ™πŸ™πŸ™ . umenipata point yangu mkuu. Na Mimi hicho ndo nacho waeleza humu watu kuwa πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ na Europe wataja kuachana na mambo ya mafuta na gesi .
Kumbuka engine ya kwanza ya treni ilikuwa inatumia nishati ya Kuni( magogo). Wakai modify ikawa inatumia mafuta, wakai modify inakutumka gesi . mpaka Leo hii si unaona treni za umeme? . mzungu achana nae kabisa .
Kuhusu Africa hujasikia ya gari la umeme la masud kipanya ?
 
Achana nayo tu hiyo topic sababu hoja zake hazina hata uhusiano na kinachotufanya tuingie kwenye hii mada.
Pro Russia ni watu wa kuwa puuzia yaani haya mambo ya Ushoga ni kama Defensive mechanism yao, Ushoga ni tatizo Dunia nzima...
 
Reactions: Tsh
Solar bado ni kipipi kwa ulaya jua ni adim snaa kule kwa wenzetu.
mzungu anauwezo wa kuibadili barafu ikawa chanzo cha nishati . time will tell .
"Any thing which has got a mass , it posses energy" Einstein
 
mafuta yanatumika zaidi ya kuendeshea mitambo mkuu
 
Pro Russia ni watu wa kuwa puuzia yaani haya mambo ya Ushoga ni kama Defensive mechanism yao, Ushoga ni tatizo Dunia nzima...
Boss mtu akikuletea mada za ushoga ili muuzungumze mkimbie ili asipate mshirika wake wa kuzungumzia ushoga. Hata kama anaupinga we mkimbie tu apambane na hali yake. Usijiingize kwenye mambo yasiyokuhusu.
 
Hao wanajeshi 20,000 umewatoa chanzo kipi cha habari cha kuaminika ?punguza propaganda za kipuuzi hivi unadhani kuuwa wanajeshi 20000 ni mchezo sio?
 
Putin analia hadi leo (na kufoka). Halafu hakika hakuna aliyesahau tukio (isipokuwa watoto wa Ubongo wanaopenda kuchezea propaganda..). Hakika kila nahodha Mrusi atapima kila siku mara kadhaa kama umbali wake na pwani unatosha!
Binafsi siwezi kukujibu wewe chochote..toka wakati ule ulipojibu comment yangu kwa namna ya ajabu nilikuweka kwenye kundi tofauti kwenye mjadala huu ambapo lengo ni kuelimishana...wewe upo katika kundi tofauti..
 
Hao wanajeshi 20,000 umewatoa chanzo kipi cha habari cha kuaminika ?punguza propaganda za kipuuzi hivi unadhani kuuwa wanajeshi 20000 ni mchezo sio?
Lakini kumbuka ' Ndugu' yetu Zelensky anadai Ukraine imeshaua zaidi ya Askari 25000 wa Russia...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€
 
mafuta yanatumika zaidi ya kuendeshea mitambo mkuu
nani halijui hilo ? Tena kwa taarifa yako umeme ndo unatumika Ku operates mitambo mingi kuliko mafuta yenyewe . mafuta Mara nyingi yanatumika sana kwenye vyombo vya usafiri . Ndo kinachowatesa Whites. Hata hapa tu Tanzania matumizi makubwa ya mafuta ni nini?.
Kinachoipa thamani mafuta ni kuwa kupitia mafuta unaweza pata umeme .
 
Wale wa Poland, Ukraine, Lithuania, Estonia, Latvia, Romania, na kadhalika wamo madarakani kwa guard ya Nani?!?!
 
Huwezi kufanisha puli na ushoga wewe, msitake kulete upuuzi nchini kwetu. Yaani mwanao wa kiume alale na mtoto wa kiume mwenzie na kumpa matako, huku akisema "i love you baby"!! We unaona hicho ni kitu cha kawaida? Hilo kosa la kupeana matako adhabu yake inatakiwa kua kifo tu.
 
Wale wa Poland, Ukraine, Lithuania, Estonia, Latvia, Romania, na kadhalika wamo madarakani kwa guard ya Nani?!?!
Hao angalau wanayo guard kwa RAIA wao. Sasa hawa wengine wenyewe hata suala la chaguzi hawataki kulisikia . waombe Mungu Putin aendelee kuwa in office. Kinyume na hapo πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ atawachezesha mayele mayele .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Uzuri hilo swala wanalijua.
 
Mkuu sahau kuhuru Russia kukudundwa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…