Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwako Puli ni sawa na kufirimbwa ...duuuh pole sana utakuwa na uzoefu sana wa kuzamishiwa nyama ...mpaka ulinganishe Puli na kuzamishiwa dyudyu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ asante Dada .
una mama mtamu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Bloody Cowards. Baada ya kushidwa kuteka ngome, Urusi wameamua kurusha mabomu kama hawana akili.

Warusi hawakuwa na alternative mkuu,AZOV Brigade Nazis
Millitia walikuwa wamejichimbia kwenye bunkers chini ya the

Avostal Steel Plant, wamepewa ultimatum watoke,hawataki kutoka,Urusi wangefanya nini?Ilibidi watumie mbinu zozote kumaliza tatizo.​

 
We jamaa ni ndezi kweli. Kwahiyo watu wamejificha na askari unaopambana nao kwenye vita. Ulitaka wawapelekee ugali huko mahandaki. Russia walikuwa waungwana wakawataka wajisalimishe, wao wamegoma ulitakaje yaani.
Wamepewa kinachowastahili.
Ndio maana tunasema Urusi wadhaifu, mara watishie kulipua nuklia. Hatimaye tunashuhudia mbinu ya hovyo kabisa ,kuteketeza nyumba ili kumshinda adui.
 
R.I.P Azov fighter

well done πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦ soldiers. No retreat no surrender.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ that's what the soldier should do for his mother land . We appliciate your highest level of patriot . You are so Native Be blessed for that πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
BRAVO FIGHTERS πŸ™πŸ™πŸ™.
Aluta continua. πŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Huko juu nakuunga mkono
Ila uzazi wa mpango niupuuzi tu wahawa wajinga
Leo hii mama zetu dada zetu (wanawake kiujumla) wapo hatarini nakupata makansa kwahuo ujinga wao wauzazi wampango kupitia hayo majira cjui ma p2 namengineyo
Wazungu wauaji sana hawa UMBWA
 
Warusi hawakuwa na alternative mkuu,AZOV Brigade Nazis
Millitia walikuwa wamejichimbia kwenye bunkers chini ya the

Avostal Steel Plant wamepewa ultimatum watoke,hawataki kutoka,Urusi wangefanya nini?Ilibidi watumie mbinu zozote kumaliza tatizo.​

πŸ‘πŸ‘πŸ‘ sawa mmewateketeza hongereni kwa kazi nzuri πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 

US set to start training Ukrainians on artillery system: Defence official​

The United States military is expected to start training Ukrainian trainers on using the Howitzer artillery system in coming days, a senior US defense official said on Monday.

The official, speaking on condition of anonymity, said the training would take place outside Ukraine, Reuters news agency reported.

Hadi sasa Mariopol bado haijaanguka
 
Warusi hawakuwa na alternative mkuu,AZOV Brigade Nazis
Millitia walikuwa wamejichimbia kwenye bunkers chini ya the

Avostal Steel Plant wamepewa ultimatum watoke,hawataki kutoka,Urusi wangefanya nini?Ilibidi watumie mbinu zozote kumaliza tatizo.​

Si kweli kwamba Mariopol imeanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…