Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bado ... Enheee ongeza jingine .... Unajichekesha kishoga ...hiyo ndiyo sifa ya mwanamke .... Sasa wewe mwanaume mwenzako ndio anakusifia ulivyo mtamu ...inasikitisha sana.
Bwana una matatizo gani kuhusu mambo ya jinsia?? Mara shoga-shoga, mara mwanamke-mke, mara mwanaume-ume?? Usikate tamaa kuna tiba. Ukijitolea si lazima kukuchukua.

Menginevyo ujue askari-wanawake wa Dahomey (Afrika Magharibi) walikuwa tishio la majirani (dume kabisa!), na mabinti wa jeshi la Israeli wameshakimbiza hau wanaume wakali Waarabu mara kadhaa.
Na katika historia ya kijeshi askari wa Sparta katika Ugiriki walhofiwa. Walikuwa na vikosi maalum ambako walituma wapenzi wawili (kiume) pamoja wakijua hao wataonyesha ukali mkubwa wakiteteana au kulipiza kisasi kifo cha mpenzi...

Kama hujasikia habari hizo bado, sishangai, nakupa nafasi ya kujielimisha!! Karibu!
 
Watu wamegeuka majivu kwa upuuzi wa comedian we unasema aluta continua??
πŸ€”πŸ€”πŸ€” unaona wivu tukiwasifia marehemu ?.
Kazi ya mwanajeshi ni kupigana kufa na ushindi ni matokeo.
Wewe wasifu askari wa πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί kwa ushindi , na mm nawasifu askari wa πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦ kwa kufa kishujaa.
 
Mnaonaga upande Mmoja tu ndio shida yenu... Alivyokuwa anatukana huyo boya mlikuwa wapi ...inawachoma eeenh .... Nshasema ukija kistaarabu utajibiwa kistaarabu ukija kiboya utajibiwa kiboya vilevile. Na wewe ukitaka pia kunyooshwa karibu.
 
Vitani ukishazidiwa na adui kujisalimisha ni kuzuri zaidi kuliko kufa.
Unayajua madhara ya kushikwa mateka wa kivita?. Utalazimika kutoa mchoro na kuuza ramani kwa adui . unalijua hilo?.
 
Nakazia
 
Mnaonaga upande Mmoja tu ndio shida yenu... Alivyokuwa anatukana huyo boya mlikuwa wapi ...inawachoma eeenh .... Nshasema ukija kistaarabu utajibiwa kistaarabu ukija kiboya utajibiwa kiboya vilevile. Na wewe ukitaka pia kunyooshwa karibu.
Mambo hayo ya kitoto siwezi kuchungulia. Ila tafakari: Huyu anaingiza mkono wake katika mavi kukutupia na wewe unapaswa kushika mavi?
Basi lamba vidole vyote!
 
Hii tweet imeniacha nakuna kichwa sijipata vzr

Kwamba US angefanya nini kama anachokifanya kwa wenzie ndio angekuwa afanyiwa yeye...

[emoji298]Kaskazini kwake kwenye border kati yake na Canada akae hapo Russia...

[emoji298]Kusini kwake kwenye border kati yake na Mexico akae China kaelekeza mizigo kwake.

[emoji298]Upande wa Atlantic ziwepo Manowari ya Russia yanazunguka...

[emoji298]Upande wa Pacific ziwepo Manowari za China zinazunguka...

Ndio akamaliza kwa kusema nadhan kila mtu ajua...
 
Kwamba chombo kinarusha mabomu kutokea mbali Sana angani system za mabomu haziwez kudetect[emoji848]
 
Azov wameuwawa kwa kiburi Chao Cha kijinga, kutokusurrender.

Huu Ni ujumbe kwa wanajeshi wengine wa Ukraine kusurrender pale wanapoambiwa waweke silaha chini.
 
Bwana una matatizo gani kuhusu mambo ya jinsia?? Mara shoga-shoga, mara mwanamke-mke, mara mwanaume-ume?? Mara Punyeto?? Usikate tamaa kuna tiba. Ukijitolea si lazima kukuchukua.
Menginevyo ujue askari-wanawake wa Dahomey (Afrika Magharibi) walikuwa tishio la majirani (dume kabisa!), na mabinti wa jeshi la Israeli wameshakimbiza hau wanaume wakali Waarabu mara kadhaa.
Na katika historia ya kijeshi askari wa Sparta katika Ugiriki walhofiwa. Walikuwa na vikosi maalum ambako walituma wapenzi wawili (kiume) pamoja wakijua hao wataonyesha ukali mkubwa wakiteteana au kulipiza kisasi kifo cha mpenzi...
Kama hujasikia habari hizo bado, sishangai, nakupa nafasi ya kujielimisha!! Karibu!
 
Mnaonaga upande Mmoja tu ndio shida yenu... Alivyokuwa anatukana huyo boya mlikuwa wapi ...inawachoma eeenh .... Nshasema ukija kistaarabu utajibiwa kistaarabu ukija kiboya utajibiwa kiboya vilevile. Na wewe ukitaka pia kunyooshwa karibu.
Na huyu amepatata yaleyale + chake cha pekee
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ asante mkuu . salute sana πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
?? Jeshi la Urusi liko mpakani mwa Marekani huko Alaska.
Nyambizi za Urusi ziko Atlantiki, Pasiki pia.
Nyambizi za China ? Bado ... (wanajitahidi kujifunza)

Roketi za kinyuklia zinalenga. Halafu?
Putin asingeleta fujo hivyo duniani, Finland bado ingebaki neutral.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…