Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine wanatumikishwa TU,
maelekezo yote yanatoka Washington dc
 
Azov wameuwawa kwa kiburi Chao Cha kijinga, kutokusurrender.

Huu Ni ujumbe kwa wanajeshi wengine wa Ukraine kusurrender pale wanapoambiwa waweke silaha chini.
No retreat , no surrender. 👊👊👊
Better to die hard lethal to live dead .
Your names will be written in golden ink .
Since now you are the heroes of 🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦. Be blessed a lot .
Mungu humpenda askari shujaa .
 
👏👏👏 sawa mmewateketeza hongereni kwa kazi nzuri 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 👏👏👏
Tehe tehe tehe,inasemekana sababu ya kukataa kujisalimisha ni kuwa huko shimoni kulikua kumejaa special forces wa USA,UK,France,Poland,Canada na mamluki wengine kutoka nchi mbalimbali.
Inasemekana Special forces wa USA,UK na France walikua ni waalimu na washauri wa kivita wa wanajeshi wa Ukraine.
Inasemekana miongoni mwao kulikua Kuna makamanda Wazito kutoka USA,UK na Fr.
Inasemekana walitaka wajisalimishe lakini sauti kutoka Washington,London na fr wakiwataka wasijisalimishe.
Insemmekana katazo hilo lilikua ni kujadili kama Kuna namna ya kuwaokoa ilibwasiangukie kwenye mikono ya Moscow bear 🐻🐨.
Maana Ingekua ni aibu kubwa sana.
Inasemekana hakukua na nafasi kabisa ya kuwaokoa baada ya Moscow bear kunusa mipango hiyo,hivyo kusubiri atakae sogeza pua itakua chakula ya Moscow 🐻🐨.
Helkopta mbili kwa nyakati tofauti zilijaribu kufanya uokoaji lakini masikini yalikua ni mavuno ya Moscow 🐻🐨.
 
🇷🇺🇺🇦 footage of the Nadvoryansky refinery in Ivano-Frankivsk.
 

Attachments

  • VID_20220418_215709_386.mp4
    737.5 KB
History will not remember any soldier who died there but will remember a stup id zeleensky.
 
Kufa kijinga jinga Ni upumbavu,
Hata kuretreat Ni Njia sahii ya kujipanga upya kuliko kufa kizembe
 
Hivi huwamnaamka tu na kukomenti au Huwa mnapitia coments kwanza?
 
Jamaa zenu walishaishiwa silaha mda sana kilichobaki hawakua na jinsi ilibidi wapigwe tu, silaha zilizokua zinaingia ziliishia kuharibiwa na nyingine kukamatwa View attachment 2192280
Najua inachosha kukaza akili, hata hivyo jaribu tena:
kama wameishia risasi, kwa nini wanapaswa kupigwa kwa silaha kali?? Kama hawana risasi wala chakula, kwa nini Warusi wasiingie tu na kuwachukua?

Mantiki inaweza kuumiza. . . .
 
Russia purchases roughly 70% of its chip supplies from China, which will likely ignore Biden’s embargo. But China can produce only relatively low-end chipsets, which are good for automobiles and home appliances but won’t be smart enough to guide Russian missiles
 
sawa tumekusikia . Chinja mbuzi ufurahie .
 
Halafu huko ulaya wananchi wa kawaida kabisa wamemtaja kama "Dakatari bingwa" duniani aliemaliza corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…