[emoji23][emoji23][emoji23]KIMSBOY usiondoke humu sasa kuna hizi MMBU zinajiita pro NATO zina sumbua kweli kweli humu yaani kero tupu ....Wanajeshi wa ukraine waliokamatwa na majeshi ya Urusi ukraine.....Wanavyotazama sasa[emoji23][emoji23]na aliwatuma makima nyie[emoji23][emoji23] putin piga makenge haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yuko wapi biden na nato yako awasaidie!!!!!Putin anajua kuwasaga hawa makunguni balaa[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mmoja hapo haelewi hata imekuaje!!!tatizo zelensky haelewi!!Subirini mwone atakachofanywa na Kremlin tutakuja kumsomea arobain soon vita ni mkakati aisee[emoji1538][emoji1538][emoji1538]View attachment 2192243View attachment 2192244
Huelewi kinachojadiliwa hapa? Heri unyamaze kuliko kuleta hapa ushenziw ako wa kitoto.Jamaa zenu mnaona walivyogeuzwa mishkaki inatisha lakini kibri chao kimewaponzaView attachment 2192359
Jamaa wamekataa hawamtakiTwo British prisoners live on the Russian channel asked Boris Johnson to exchange them for Medvedchuk.View attachment 2192256
System za kutungua hiyo ndege ndio haziwezi kufika usawa ilipoKwamba chombo kinarusha mabomu kutokea mbali Sana angani system za mabomu haziwez kudetect[emoji848]
Na ni kweli yalikua Ni mazungumzo yakupoteza TU MDA, hamna yalichozaaIla jamaa ni mnoko sana.
Hapa juzi kati alimlaimu Putin kua aache kuendekeza mazungumzo na Zelensky,kuwa yanapoteza mda TU.
Mkuu mwenyewe wa vikosi Ni yule mchekeshaji kibaraka wa mabeberu au Kuna mwingine mkuu[emoji3]Ili kifo kiwe cha kizembe kinatakiwa kiwe na sifa zipi ili ambao tupo hai tukwepe? Unadhani kifo chako kitakuwa cha kishujaa kuliko hawa askari waliokufa wakitii maaagizo ya mkuu wao wa kikosi?
ni mimi ndugu yanguKwani umebadili I D ni wewe huyu hapo chini ama [emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2192345
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
sawa ghahwa ya moto shushia na kashataSawa tutaitoa aina shida maana imetengenezwa kwa ajili ya vita.sisi tunaendelea kuimega ukraine mdogo mdogo
[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu huko ulaya wananchi wa kawaida kabisa wamemtaja kama "Dakatari bingwa" duniani aliemaliza corona.
nalelewa na nan kiongozi?Hivi wewe unalelewa hata kilichoandikwa chini ya hiyo picha?
[emoji3][emoji3][emoji3]ni mimi ndugu yangu
nilibadili kwaajili ya hamasa ya match ya jana
Kwema lakini
umeskia kutoka kwa nan ukiwa kijiwe gani cha gahawha hapo buza? kwi kwi kwi[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwema ndugu haya tuendelee na mtanange ......leta yale mapicha picha yako ya hovyo hovyo yaliyokaa ki pro nato. na mimi nikushushie ISKANDA M ...CLASTR BOMBOS .......alafu usisahau kuleta picha za wale maa azov waliokwama kwenye kiwanda cha chuma chini ya ardhi .....naskia wamesurrender wote na wametoka wazima kabisa aaaa....[emoji3][emoji3]
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app