kuna muda sikuw naziona comenti zako kiongozi ulipotelea wapiKwa hiyo na wewe ndio umechambua vita hapa..
Sio kweli,hiyo misaada ya kiraia iliwaponza wakazi wa bucha
Shehena na Takataka kibao za javelin zimetelekezwa na azov kule mariupol kwenye kiwanda Cha chuma.Pro NATO Mnakumbuka JAVELINI blaah blaah blaah ....??????hovyo kabisa akili zenu
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2192910 asa hivi hamzigiii debe kabisaa mmekaa kimya kama kuku wa mdondo .....[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Kuna Wale kimbele kimbele akina Coco reborn ,Nyamizi , sasa hivi wako kimyaaaa,wanachungulia vile Shoga wa Kiev anavyopigwa "miti" na Putin.Pro NATO Mnakumbuka JAVELINI blaah blaah blaah ....??????hovyo kabisa akili zenu
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2192910 asa hivi hamzigiii debe kabisaa mmekaa kimya kama kuku wa mdondo .....[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
sina muda wa kuandika magazeti habari za mauaji ya bucha unazijuaSio kweli,
Kivipi iliwaponza, fafanua
Pakistan uko Israeli nae anajipigia TU,Pakistan nao huko Wana jambo lao Afghanistan.... Dunia imechangamka sanaa Yani
Afu wanajeshi wake sijui anawatrain na Nini,Huyu Ramzan sijui kafunga swaumu!? Ana hasira balaa!
Uyu
Hizi nazo ni siraha kwa super power kujigamba kazibeba [emoji81][emoji81]chek mfano wa hii ngoma ni sawa na hizo na sarafu za dollar zina bakiPro NATO Mnakumbuka JAVELINI blaah blaah blaah ....??????hovyo kabisa akili zenu
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2192910 asa hivi hamzigiii debe kabisaa mmekaa kimya kama kuku wa mdondo .....[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
AiseeRussia Raha Sana yaani [emoji39]
View attachment 2192725View attachment 2192726View attachment 2192729View attachment 2192731
na walikuwa wanaiba mikate ya chapati kwenye supermarket zilizopo mitaa ya kharkivHuu ni uongo, Russia ni Taifa maskini mnooooo hata wanajeshi wake waliishiwa chakula vitani sasa huo uwezo wa kupiga mabomu watautoa wapi?
Mnawasingizia tu Russia.
Hehe he ...habari kama hizi huwa wanachungulia na kuondoka hawataki kuzisikia wale mbuzi ....NYAMIZI NA MWENZIE COCO REBORNKuna Wale kimbele kimbele akina Coco reborn ,Nyamizi , sasa hivi wako kimyaaaa,wanachungulia vile Shoga wa Kiev anavyopigwa "miti" na Putin.
Atajua hajui.Boris kuja Kiev sio by coincidence,alikuja kuona wanajeshi wa wingereza wanaendeleaje na kuwatia moyo
Nilijipa likizo baada ya watoto wadogo wa lumumba kujaza mada nyepesi humu.kuna muda sikuw naziona comenti zako kiongozi ulipotelea wapi
[emoji16][emoji16][emoji16] Sawa kabisa mkuuna walikuwa wanaiba mikate ya chapati kwenye supermarket zilizopo mitaa ya kharkiv
VI MWANA [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Russia Raha Sana yaani [emoji39]
View attachment 2192725View attachment 2192726View attachment 2192729View attachment 2192731