Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kamanda wa kikosi cha Ukrane kilichosalia Mauripol amesema wamebakiwa na siku chache kama sio saa chache za kuendelea kuwa hai.

Kamanda amesema wamezidiwa askari mmoja kwa askari kumi wa Kirusi..

Urussi sio Zimbabwe
Ha ha ha.....
Hii mbinu ya encycling Ni balaa.

Unazungukwa unatiwa mtu Kati, njaa inakuua unasalimu amri[emoji4]
 
Kadyrov ndio kiongoz wa operation uko mariupol.

Hawez kukubaliana huu upuuzi,
Yeye Ni Kichapo mwanZo mwisho[emoji4]
 
Your browser is not able to display this video.


The Ministry of Defense of the Russian Federation published a video of the launch of 4 high-precision cruise missiles by the Bal complex at the facilities of the Armed Forces of Ukraine

The blow was delivered from the Black Sea coast.
 
Kamanda wa majeshi ya Ukraine yaliyojichimbia kwenye mahandaki ya kiwanda cha chuma amemuomba papa Francis wa Vaticana asaidie kuokoa maisha yao.

Amesikika kwenye vidio akilalamika kuwa wamebakiwa na masaa machache tu huku akitilia maanani nyongeza ya muda wa kujisalimisha uliotolewa na Urusi huku na wao wakiwa wameishiwa na chakula na silaha na vile vile kuzingirwa kwenye njia zote za kutokea.

Huyo kamanda zaidi ya kuomba msaada kwa papa ili waokolewe amewaomba viongozi wote duniani kusaidia kuondoka salama eneo hilo hata ikiwa watapelekwa nchi nyengine ya mbali.

ttps://www.bbc.com/news/live/world-europe-61157670
 
Si vile. Ujerumani walitangaza kwamba wanataka kubadilisha sheria ya kodi, hawakufanya bado. Tangu kupungua kwa bei serikali imeanza kujuta tayari kwamba walianzisha mchakato wa kubadilisha sheria.

Bei zimeshuka kwa sababu kupanda hakukuwa tokeo la uhaba bali ya ulanguzi. Bei za petroli ya gari zinaendana na bei ya mafuta ghafi. Ona chini bei ya mafuta, mwisho 13 Aprili.

 
Labda wanataka Papa aende akawaombee misa takatifu ya maziko kabla ya kifo Chao[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…