Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

In the summer, the UK economy is facing a recession amid a decrease in purchasing power due to inflation and increased electricity costs.

British economists have warned that the rise in the cost of living after the start of a special operation in Ukraine and the imposition of anti-Russian sanctions could lead to a fall in gross domestic product for two consecutive quarters, reports The Guardian.

Neil Shearing, chief economist at consulting firm Capital Economics, said household income will fall by about 1.9% this year, the biggest drop since the 1950s.

β€œFor comparison: in 2011, after the global financial crisis, real incomes fell by only 1.5%,” he said.
 
Kwani wee Nani kuruhusu kuquote comment yangu?
Kujibu sio tatizo ila kujibu kwa mitazamo yako ndio shida, JF nilio izoeza watu wana jibu kwa attachments labda article, picha au news update
 
Unajaribu kuepukana na swali langu. Mwoga!
1. Nilitaja mifano jinsi gani Marekani
-ambayo si mwanachama wa ICC- angalau ilipeleka wanajeshi kadhaa mahakamani walioshiriki kuwatesa au kuwaua watu raia huko Iraki na Afghanistan
2. Nilikuuliza kama una mfano kwamba Urusi iliwahi kupeleka wanajeshi mahakamani walioshiriki katika jinai za vita (kn huko Afghanistan, Chechnya au Syria)? Sijasikia halafu nimepata picha kwamba Urusi inadharau sheria hizo za kimataifa (isipokuwa kiweza kuzitumia kwa propaganda yake,...) - mbele ya mahakama yao wenyewe?
 
Kaka kama unashindwa kusoma yale yaliyoandikwa heri upumzike kidogo.
Matendo ya jinai ya vita ya mabaya sana. Kwa karne nyingi askari waliweza kufany ajinsi walivyotaka tu. Sehemu zote penye vita, hata Afrika, unyama wa wanajeshi ni balaa kubwa.
Mimi ninafruhai kwamba dhana kwamba kuna sheria hata vitani linanaza kuenea. Naona ni muhmu sana.
Kwa hiyo nakubali kabisa ICC (ambayo mataifa makubwa yanajaribu kuepukana nayo). Na huko ambako nchi zinafanya hatua angalau kiasi kufuatilia jinai za askari wao nakubali kabisa.
 
Hili Jeshi la chenchens natamani nilione pale TAIFA siku ya Uhuru,

Watuondolee wale wavunja tofali[emoji3]
Tareh 9 May kutakuwa na bonge la show Off pale Russia, Usikose kutazama so Hifadhi tarehe tu jomba ✌️ Washaanza kufanya rehearsal kwa ajili ya shughuli hiyo...

Hapa nahisi Russia ataonesha mengi zaidi kwenye hii show baada ya kumtia adab yule dementia anayepigana na Russia kwa kuwatoa kafara wasio na hatia hawa Ukrainians.
 

Unaongea nini wewe? Chechen ndio waliofanya mpk wajeda wa Ukraine kusalim amri mariopol,walikua wanapita nyumba baada ya nyumba kutembeza kichapo[emoji1787][emoji23]afu mtu anaropoka tu hawafanyi kitu
 
The official representative of the Russian Foreign Ministry Maria Zakharova spoke about the Ukrainian conflict, the main thing:

▫️ Russian-Ukrainian negotiations continue
▫️ the Kyiv regime should start looking for realistic options for agreements with the Russian Federation
▫️ while Kyiv refuses to promptly respond to Moscow's proposals
▫️ The West is increasing the supply of military equipment, weapons, ammunition to Ukraine, pushing the Kyiv regime to continue aggression
▫️ US-supplied combat helicopters to Ukraine can be used to strike on Russian territory
▫️ Since the beginning of the special operation, the Kyiv regime has attracted about 7,000 foreign mercenaries from 63 countries to Ukraine
 
Mkuu mpaka sasa Urusi ishashindwa vita hii,wao walikuwa na kila kitu na wameshindwa kuiangusha serikali. Je Ukraine kupata msaada wa ndege na vifaru kidogo lazma watoboe tu.
Unajua kua Ukraine imeshaumia silaha zake zote ikamaliza na Sasa inasaidiwa silaha na NATO?
Unajua Urusi imetumia asilimia ndogo sana ya silaha zake na haisaidiwi na nchi yoyote?
 
Alipigwa kwa kushtukiza akapoteza vifaa vyake vyote,walibak na bunduki tu,hawana kifaru wa ndege hata moja. Lakini misaada kiduchu imewafanya kumrudisha adui nyuma sana ambae ana kila takataka ya kuuwa na kuangamiza lakini bado kapigwa
Aiseee!
 
63 countries+Ukr vs Russia.
Then USA +NATO vs 1. Libyaa 2. Iraq...
Hii inaonyesha kwamba Russia is a military Super power

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Haya yanaipata Marekani sana kwa vile mwenyewe hataki kujitokeza.Anapenda kutuma.Watu wameshamjua ndio maana wanajichukulia chao pembeni.Malalamiko ni hayo hayo Iraq na Afghanistan.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kweli kabisa USA wajanjawajanja sana.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Piga makima hawa badala ya kujisalimisha wanaanza danadana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…