Uongo!!!Denazification ni porojo tu. Azov battalion ambayo ndio ina neo-Nazis inakuwaa na members zaidi ya 2000 kwa wastani na wakati huo neo-Nazis hawazidi 20% ya wapiganaji wake. Sasa casualties zote za nini kupigana na ideology ya wahuni wasiozidi 200. Pale Mariupol Russia ana zaidi ya wapiganaji 14,000 wanasumbuana na Ukrainians wasiofika 5000 muda wote huu
Si mchezo aiseeeee. Watu wanapoteza maisha huko, vipi hauna na data za Russia vifaa alivyopoteza?Russia aendelea kuipa kichapo Ukraine, yaua wanajeshi 40 wa Ukraine na kuangamiza aseti 1,053 za majeshi ya Ukraine
Majeshi ya Russia yamewapeleka wanajeshi 40 wa Ukraine kwenye ufalme wa Bwana, wakahukumiwe...pia majeshi hayo ya Russia yameshambulia nakuangamiza asseti 1,053 za majeshi ya Ukraine...miongoni mwa vilivyoharibiwa ni vifaru 6, magarivita 9, na howitzer 1, drone 6, maghala 6 ya mafuta, na miundombinu 106 ya kurusha mizinga.
Toka operesheni hiyo ya kijeshi kuanza, jumla ya ndegevita za Ukraine 140, drones 496, mifumo ya ulinzi wa anga 253 na vifaru/magarivita 2,388 vimeshateketezwa na majeshi ya Russia.
View attachment 2194383View attachment 2194384View attachment 2194386
Limezinduliwa muda muafaka wa testView attachment 2194381
Russia has successfully launched the Sarmat ICBM.
All calculated characteristics are confirmed. Training warheads arrived in a given area in Kamchatka, according to the Ministry of Defense.
The agency recalls that the Sarmat is the most powerful missile in the world with the longest range of targets. It will greatly enhance the military power of the country.
Acha dharau basi.Ukanda huu wabongo hatuaga showoff..tuko kama underdog flan ila msituchukulie poa kiiiiiivyo yan.Ulizaa wenzioSisi hata hao Wakenya tu watatuhemyesha haswaa
CIA!?Sasa kama ni Aljazeera ulitegemea waseme nini??!! Hicho ni chombo cha kipropaganda cha nchi za magharibi...Na kama hufahamu Aljazeera ni chombo kilichoanzishwa na CIA..umesikia Ndugu?
Mkuu kama wewe unazo weka...hata zile za kupika za Zelensky weka tu, hili jukwaa ni huruSi mchezo aiseeeee. Watu wanapoteza maisha huko, vipi hauna na data za Russia vifaa alivyopoteza?
Alfu Kuna kikojozi mmoja anakwambia ni tiktok worior wat f**k jamaa wanapiga hivi je wakimaliza mfungo itakuwajeThe city of Rubizhnoye in the LPR came under the complete control of Russian troops.
This was announced by Ramzan Kadyrov in his Telegram channel.
The leader of Chechnya published a video showing how the military hoisted the flags of Russia and Chechnya at the entrance to Rubezhnoye.
Mh! mB19 Mbona Ndogo mm nakutana na Video Telegram 75MB mpaka 105MB Ajabu ni 2.5mnMB nyingi zinazingua kuupload.... Lakini Azov's wanawashoot wenzao wanaotaka kusurrender
View attachment 2194455
Mkuu nauliza tu hivi wanapotesti hilo satarn 11 linaenda kuangukia sehemu au linazunguka huko na huko alafu linarudishwa store naombeni hii elimu mkuuPutin katest kombora la nyuklia lenye uwezo wa kurusha vichwa 12 vya silaha za nyuklia kwa wakati mmoja.
Kombora linatwanga popote pale duniani...laenda kwa jina la 'Satan II'
View attachment 2194573
Arctic OceanMkuu nauliza tu hivi wanapotesti hilo satarn 11 linaenda kuangukia sehemu au linazunguka huko na huko alafu linarudishwa store naombeni hii elimu mkuu
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Mkuu nauliza tu hivi wanapotesti hilo satarn 11 linaenda kuangukia sehemu au linazunguka huko na huko alafu linarudishwa store naombeni hii elimu mkuu
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana nasema una elements za fanaticism....Mtu mzima unaamua kutuma au kusambaza picha za watu waliokufa...watu wa psychology wanaweza kuelezea vizuri ni Mtu wa Aina gani anayeonekana kufurahia kusambaza picha za waliokufa kwa kurudia na kurudia...yaani it appears ni hobby..siyo Jambo la kawaida kwa tabia ya Aina hiyo...rubbish 🚮🚮