wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Wana dump old stocks.Norway ametuma vifaa 100 vya kudungulia ndege nchini ukraine,
Akizungumza waziri wa ulinzi wa Sweden, Bjon gram amesema nchi Yake imejitolea msaada wa short range missile sysytem zilizotengenezwa Ufaransa kwa ajili ya Ukraine ambazo kwa Sasa hazitumiki Tena na Jeshi la Norway, ila bado ni za kisasa na zinaweza kuwafaa Ukraine kwa sasaView attachment 2194776
Uwa wanapiga mahesabu ili likangukie baharini.kwa faida yako na wengine hili sio kombola la nuclear bali hili ni kombola lenye uwezo wa kubeba vichwa vya nuclear.kwa iyo lazima ujue kuna vitu 2 tofauti,jazia nyama mkuu umenijibu kiwepesi sana ......Kwa hiyo wanavotesti linaenda kuangukia wapi ....baharini au wapi....
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Slava ukraine, Slava ukraine, hatimae Ukraine iko inashinda Vita kwa kishindo.BravoooooooooTatizo mnafanya propaganda za Kitoto. Ndo maana huwa nawaangalia tu mnavyojiliwaza. Hatuwaambii Silaha mpya tulizo nazo tukiwafyatua ndo mtajua.
Mnataka tuwaambie silaha mpya tunazopokea ili mjihami. Kama hatuna silaha mpya, nini kimewakimbiza katikati ya Nchi na kukimbilia Mashariki Mpakani Mwa Urusi kwenye Mikoa ya Donbas na Mariupol?
Au ngoja nikudokeze. Marekani katoa Silaha ambazo hata Urusi haijawahi kuona wala hawajui waizue vipi. Inaitwa Switchblades drone.
[emoji16][emoji16][emoji16] lijamaa linawaza vitu vya mizaha mizaha Kama Mpira,linadhani Ni kipaumbele Cha kila nchi.Kwa mpira gani uliopo Russia mpaka waangaike? Ni sawa na Tanzania kufungiwa kushiriki kombe la dunia
[emoji16][emoji16][emoji16] lijamaa linawaza vitu vya mizaha mizaha Kama Mpira,linadhani Ni kipaumbele Cha kila nchi.
Slava ukraine Slava ukraine.Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Mimi nipo sana tu. Nakwepa kuandika mambo marefu ambayo mara nyingi sio direct na hii vita. Mfano kuna muda nimekaa nikafatilia na kujiridhisha kwa sasa Chinese navy inaizidi Russian navy kwenye technology, capabilities, quantity na quality ya surface combatants. Nacholenga ni different...www.jamiiforums.com
Hii vita ya mwaka huu Kuna watu watapata uchizi
Sijui kwa nini sina imani na hii game ya leo. Naona kbs tunaenda kuudhiwa hapo Lupaso. Yaani hata sina mzuka wa kuangalia maana staki presha.
Zelensky afanye maamuzi sahihi muda bado upo. Akubali tu ikiwa urusi bado ipo basi Ukraine haitakuja kwenda kinyume na matakwa ya kremlin. Akubali fate kama alivyokubali kuwa ukr haitakuja kujiunga nato. Pengine siku moja Ukr itakuja kuwa na nguvu za kutosha kwa sasa bado.
Wezi wakiingia ndani kwako utawaacha wachukue wanachokitaka waende maana ukiwazingua watakuua na watachukua. Kwa nn unamshauri zelensky tofauti!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
We mbona upo unapinga uvamizi wa Russia wakati huo ukihalalisha uvamizi wa Marekani kwenye mafaifa mengine?Mawazo ya kitumwa na kitwana ya mtu mweusi yanasikitisha sana.
Hapo mnaimbia hivi Ukraine halafu mkigeuka upande wa pili mnapiga yowe kwamba US anaingilia nchi nyingine na mnasema ndio sababu za kuichukia West!