Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa Kama wanayo hiyo silaha isiyozuirika si wakaitumie kuwatoa hao nguchiro waliokwama kwenye mahandaki.
 
Kauli nyingine ambayo niliisahau ya huyu mzee aliposikia kuhusu tuhuma za Russia kutaka kuzishambulia satellite za StarLink kutoka SpaceX ya Musk Boy [emoji3577]Nanukuu... "Fakes create an alternative universe. It is especially pleasant that for a portion of fake news about "PR" they pay directly from the State Department.

Regarding the destruction of Starlink satellites - a fresh idea, thanks. It is too early to fulfill, but if there is such a request, we will consider it [emoji23]"

Untranslated Version ya hayo maelezo ni hii hiyo emoji mwisho sijaweka mie kaandika mwenyewe [emoji847]

"Фейки создают альтернативную Вселенную. Особенно приятно, что за порцию fake news про «ЕР» платят прямо из Госдепа.

По поводу уничтожения спутников Starlink – идея свежая, спасибо. Исполнять пока рано, но если есть такая просьба – рассмотрим[emoji23]."

Ikumbukwe hizi StarLink ndizo zinazotumika Ukraine kwa ajil ya free internet lengo ikiwa Jeshi hilo (Ukraine) lipate kuwasiliana kwa uwepesi.
 
The main thing from the statement of the Ministry of Defense of the Russian Federation on the humanitarian situation in Ukraine:

- Russian troops opened a gum corridor for the evacuation of civilians who are allegedly located there, and members of the National Battalion, from the territory of the Azovstal plant in Mariupol, but no one took advantage of it;

- The Ministry of Defense of the Russian Federation informed the Azov command, which asked for help for the evacuation from the world community: “You have come to the wrong address. RF has done everything to save your lives”;

- in Nikolaev, against the backdrop of a difficult humanitarian situation, social payments to the population were stopped, and humanitarian aid was stolen. The city is on the verge of an epidemiological catastrophe;

- Militants massively distribute weapons and drug-containing medications to the population. Residents are shown signs of pro-Russian views, after which they are taken away in an unknown direction;

- Western countries are aware of Kyiv's violations of the provisions of the Geneva Conventions and fakes are trying to help him hide it;

- The Russian military continues to open the gum corridors daily from 10:00 Moscow time. During the day, without the participation of the Ukrainian authorities, 14,982 people were evacuated to Russia, of which 2,940 were children;

- Nationalists continue to hold hostage 6126 foreign citizens and 76 foreign ships in seven ports of the country.
 
hii vita muri atapoteza resources nyingi sana,ila ulaya nao watahangaika sana na maisha yatakuwa magumu kwao
 
Germany is evicting Afghans who fled the Taliban * to make room for Ukrainians.

Social workers began to come to people and ask to move so that new tenants could move into their apartments, writes Foreign Policy.

“Evictions were deliberately not advertised. Some people lived in their homes for years and were uprooted from social life, including children who were relocated far away from their schools," the board member of the Berlin Refugee Council said in a statement.

* "Taliban" - the organization is under UN sanctions for terrorist activities.
 
Kusema wako 6000 sija maanisha ya kwamba wanapigana kwenye kundi moja na wao wamegawana kwa makundi.

Ukiiondoa Kiev sidhani sidhani kama kuna eneo lingine lenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi kwa Ukraine kama ukanda wa Azov hauwezi kulindwa kwa wanajeshi 5000 tu hapa tutabishana mwaka mzima.

Mkuu siku hizi ulisha kuwa mpiga porojo badala ya fact na ndio maana unasema Urusi akizidiwa chini ana haribu miji sasa nimekuuliza nitajie ni vita gani ambavyo huwa haviaribu miji mpaka sasa ujanijibu.
 
Wewe unalilia psychology torture kwa wavamizi wakati raia Ukraine wanauwawa, wanabakwa na kuhamishiwa ukimbizini Russia kwa nguvu kama kuku na mchinjaji Putin.
Kuna vitu ukivifanya vinakutambilisha wewe. Utambilisho wako unapenda picha za watu waliokufa unaamini ndio namna ya kutoa habari. Vita ina kanuni zake. Huwezi ukawa unarusha picha za askari waliokufa na tukakuamini utimamu wako.
 
Maneno gani hayo ya kishoga na dharau.Watu wameishiwa unawapelekea uoza.
 
Kurusha picha sio jambo baya kama mauaji baridi yaliyotokea Bucha.
Kwenye kanuni za kimataifa za vita kurusha picha sio jambo linalokatazwa.
This is petty issue
Kuna vitu ukivifanya vinakutambilisha wewe. Utambilisho wako unapenda picha za watu waliokufa unaamini ndio namna ya kutoa habari. Vita ina kanuni zake. Huwezi ukawa unarusha picha za askari waliokufa na tukakuamini utimamu wako.
 
Kuna vitu ukivifanya vinakutambilisha wewe. Utambilisho wako unapenda picha za watu waliokufa unaamini ndio namna ya kutoa habari. Vita ina kanuni zake. Huwezi ukawa unarusha picha za askari waliokufa na tukakuamini utimamu wako.
Sahihi, mfano tangu nianze kuwafatilia Russia MoD, sijawahi ona mahala popote pale wakipost maiti ya jeshi la Ukraine. Tofauti na kutaja Idadi.

Na kwa Channel zingine kwa wadau wengine kutoka Russia wakitaka post picha zenye maudhui yasiyo faa wanatanguliza warning ya [emoji725]... Au utaona neno "explicit contents" ili kabla ya kuishusha ujue una deal na kitu kipi...

Ila upande wa zile "pedophiles" wanaeza rudia post picha ya marehem m1 week mfululizo... Ila sio makosa yao ndio ushindi wao huo so yabidi kuwazoea tu.
 
Russia ingevamia Korea Kaskazini kumuondoa Dikteta Kiduku nisingepinga, Napinga Russia kuivamia nchi yenye Rais aliyechaguliwa kidemokrasia kutaka kumuondoa na kuifanya hiyo nchi koloni lake.
We mbona upo unapinga uvamizi wa Russia wakati huo ukihalalisha uvamizi wa Marekani kwenye mafaifa mengine?
Usipangie watu cha kuandika.
 
Mbona this time ukraine imepata wenge sana khs wale jamaa walioko kule kiwandani,Kuna jambo wanalificha ficha Ila litajulikana tu.
Hakuna Jambo la kuficha hapo....issue nzima inajulikana Kuna Askari wa nchi za magharibi humo ndani na ndiyo maana majamaa hayo yamependekeza yawe extradited kwa nchi ya tatu...halafu yameteka raia zaidi ya elfu na kuwafanya ngao yao...
 
Watapostia wapi wakati Facebook, Twitter na Instagram zimefungiwa Russia!
 
Russia ingevamia Korea Kaskazini kumuondoa Dikteta Kiduku nisingepinga, Napinga Russia kuivamia nchi yenye Rais aliyechaguliwa kidemokrasia kutaka kumuondoa na kuifanya hiyo nchi koloni lake.
Kwa nini kuna North na South Korea. Behind Vietcong war?. Why West and East Block. Issue ndogo sana Ujamaa Vs Ubepari wala si Udikteta Vs Demokrasia. Kifupi North Korea wapo kwenye panic state ambayo USA anaipenda hawapo tayari ku compromise.
 
Russia ingevamia Korea Kaskazini kumuondoa Dikteta Kiduku nisingepinga, Napinga Russia kuivamia nchi yenye Rais aliyechaguliwa kidemokrasia kutaka kumuondoa na kuifanya hiyo nchi koloni lake.
Hii Ukraine wakimaliza kumfurusha kibaraka mjinga Zelensky basi waimeze kabisa,Wasipewe nafasi kujitawala kama vile wachechen.Wamekosa heshima sana na Urusi. Halafu iwe zamu ya Sweden na Finland. Wamechoka na hali ya usalama na maisha bora waliyonayo kwa miaka mingi,Urusi itakuwa imepata ngawira nyeti sana kutokana na utajiri wa asilia wa Ukraine.Kama walitamani hapo zamani wakaogopa kelele kuhusu Ukraine sasa wamepata sababu na hoja ya kuimeza.
 
I see!!..
Kwamba USA ni mtakatifu anapovamia na kudestabilize nchi za watu..!!
Maajabu hayataisha..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…