Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Duuh mkuu samahani kwani umevuta bangi ya wapi boss wanguHizo kauli za uingereza zisikutishe hao ni waoga kama nini, tena uingereza ya Churchill ilisha ondoka tena haiwezi kurudi tena hi ya Johnson haina lolote hata haiwezi kuanzisha vita peke yake bila US, uwezo wake au size yake ni nchi kama Zimbabwe, Russia is in other world in military arsenal.
Tena na Zimbabwe yenyewe ikiwa imejipanga iwezi kuipiga kumbuka nwaka 1982 vita ya n Rhodes, UK hana military supremancy kwasasa alisha decline kitambo anabebwa kwa mkumbo wa Nato, huyu cha muhimu alicha bakia nacho ni premier league, tena nayenyewe wanao zimiliki timu sio raia wa uingereza.........
Basi hata hao madikteta wana haki ya kuwashughulikia wale wanao jiita wana demokrasia wanao waona ni hatari kwao kwa hiyo tuliza makalio yako.
Broo wameshaskia wa Chechens wanatembea na mafuta mgando kwenye sikio hawawezi toka haoNinachokiona kuhusu wanajeshi waliozingirwa huko kwenye kiwanda Moriupoh. Tujiulize ni kwanini hawataki kujisalimisha.
Kama wanavyowaza wengine hata Mimi ninafikiria huenda kuna wanajeshi wengi wa NATO/USA ndio maana kumekuwa na ukakasi huo. Pili kwavyovyote wamepewa maelekezo kuwa wasijisalimishe.
Cha kujiuliza sasa ni je ni kwanini wakomae kutokujisalimisha, na nini matarajio yao??
Japo sijawahi kusikia RAID zilizowahi kufanywa na nchi za NATO/USA zikaweka historia vizazi hadi vizazi kama ile ya Wayahudi walipowaikoa wenzao kule Uganda kipindi cha Idi Amin ( 19 Min in Entebbe). Lakini huenda hawa jamaa wa NATO/US wanaangalia namna ya kuwaokoa hao jamaa kwa kufanya Raid iwapo njia zote zitashindikana na iwapo hao jamaa wakiangukia mikononi mwa Russia kutahatarisha maslahi yao Kiusalama.
Mwisho kabisa ninachokiona nadhani hao NATO/US ikishindikana njia zote za kuwaokoa basi WAPO RADHI WAFE TU KULIKO KUANGUKIA MIKONONI MWA RUSSIA
Mwengine ndo huyu, BRICS ni trading block na sio defense alliance, utasubiri maembe chini ya mnazi hapo. Urussi hana ushawishi wowote ndio maana mwaka 2022 anahangaika kutengeza alliances Markani alitengeneza 1949Hizo nchi zinakwenda kuunda ushirikz wa kijeshi kama ile wa NATO. Zitaungana na Russia, Bialorus, .... yale majimbo matatu yaliyojitenga kutoka Ukraine. Kuna uwezekano wa nchi za BRICS na Latin America kujiunga.
Shikiria Hapo hapo Putin🇷🇺🇺🇦 The Armed Forces of Ukraine and the National Battalions have suffered terrible losses in the Donbas these days, in the near future Telegram channels will be filled with photos of corpses and destroyed equipment...
The defeat of the Donbass grouping has begun, at the same time, another formation of the RF Armed Forces is advancing from Izyum, here the enemy also has heavy losses, after breaking through the defense, the forces of the Armed Forces of Ukraine in Donbass will find themselves between a rock and a hard place.
Leta picha ya hiyo ndege kama unao, hizo ni propaganda za kutokitisha tamaa wanajeshi ws Ukuraini ulio zingirwa kwenye miji mingi hawana supply route yoyote .........Kama wanamakende mawili walipue ndege ya Marekani.
[emoji298]️White House: US sent five planes with military aid to Ukraine, more weapon deliveries to come.
White House Press Secretary Jen Psaki said the flights arrived within the last few days and another half dozen planes carrying military equipment will arrive in the near future.
Hilo ni Zoba na Jinga la Kibera piga ChiniLeta picha ya hiyo ndege kama unao, hizo ni propaganda za kutokitisha tamaa wanajeshi ws Ukuraini ulio zingirwa kwenye miji mingi hawana supply route yoyote .........
Russia na kiboko ya USA.Hii imekaaje ase [emoji848][emoji1787] View attachment 2195227[emoji298]Russia and Vietnam have agreed to host joint military exercises.
Japan pamoja na kutwangwa na shoga mkuu bado ndio anaemlinda.Hujui geopolitics kijana la sivyo usingeweka Nchi zenye active military conflicts Katika defense pact. Huyo India juzi wanajeshi wake wameuliwa na wa China katika mpaka wa Himalayas. Huyo China ana ugomvi na urussi wa mipaka. Naona nianze kuitisha karo sasa
Hv telegram ni made in wap MKUU!!!??Mh! mB19 Mbona Ndogo mm nakutana na Video Telegram 75MB mpaka 105MB Ajabu ni 2.5mn
Bro nakubishia tena Kwa hoja Kwenye swala la Ujasusi Urussi imeachwa nyuma hasa kwenye hii ishu.amendwa kupachika kibara Ukrain licha ya hiyo nchi kuwa na Warussi wengi,Marekan anachua point Kwa sababu huu uvamizi Alisha Anza kuutangaza tangu mwezi wa kumi na mbili publicPutin ni mtu hatari sana linapokuja suala la Vita na ujasusi.
Kila phase ya operation ina general wake na kawapanga kutokana na akili zao za kutembeza kipigo, na hapo the great putin bado yupo kwa general wapili kati ya wanne, hao wawili naona kawaacha kwajili ya Vita, ikitokea USA na NATO wakatia timu kupambana na Urusi.
General wa kwanza kazi yake sasa hivi nikusimamia majeshi yaliyopo kwenye miji iliyo under full control of Russian army. Huyu mpya kazi yake nikuendelea kuwafurusha mashoga waliobakia Ukraine, halafu wa tatu na nne wamebak kama reserve kwajili ya ulinzi wa raia wa Russia na mipaka yake, pia kuendelea kusuka tactics za kivita endapo hii operation ikibadilika nakuwa Vita baada ya NATO kutia mguu vitani.
Kwa ambao bado hawajaelewa kuwa Russia [emoji635] siyo Lesotho [emoji1147] basi wasubiri kuona mwezi ujao pale mbabe wa dunia katika uwanja wa vita "Russia" atakapokuwa ana adhimisha siku yake ya ushindi A.k.A siku ya mashujaa Russia.
NAKAZIA: RUSSIA SIYO LESOTHO.
Mnaseje Ujasusi yupo vizuri wakat mpango umevuja miezi minne kabla?Putin ni mtu hatari sana linapokuja suala la Vita na ujasusi.
Kila phase ya operation ina general wake na kawapanga kutokana na akili zao za kutembeza kipigo, na hapo the great putin bado yupo kwa general wapili kati ya wanne, hao wawili naona kawaacha kwajili ya Vita, ikitokea USA na NATO wakatia timu kupambana na Urusi.
General wa kwanza kazi yake sasa hivi nikusimamia majeshi yaliyopo kwenye miji iliyo under full control of Russian army. Huyu mpya kazi yake nikuendelea kuwafurusha mashoga waliobakia Ukraine, halafu wa tatu na nne wamebak kama reserve kwajili ya ulinzi wa raia wa Russia na mipaka yake, pia kuendelea kusuka tactics za kivita endapo hii operation ikibadilika nakuwa Vita baada ya NATO kutia mguu vitani.
Kwa ambao bado hawajaelewa kuwa Russia [emoji635] siyo Lesotho [emoji1147] basi wasubiri kuona mwezi ujao pale mbabe wa dunia katika uwanja wa vita "Russia" atakapokuwa ana adhimisha siku yake ya ushindi A.k.A siku ya mashujaa Russia.
NAKAZIA: RUSSIA SIYO LESOTHO.
We jamaa. Basi kama unataka hivo .....sikio lako liwe open .....alafu zikidondoshwa hizo scraper usikimbie humu utulieKama wanamakende mawili walipue ndege ya Marekani.