Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Katibu mkuu wa UMOJA WA MATAIFA Antonio guterrez ameomba mazungumzo ya ana kwa ana na putin ili kumaliza Hii Vita ya UKRAINE

View attachment 2194761
US kashikwa ndipo eeh mpaka anaomba mazungumzo
Itakua huko MAURIOPOL kuna watu wao wamaana wamedakwa maana sio kwahuku kuhangaika kwao
Ila RUSSIA anachapika sana yaani sema wanatuficha tuuuu!!!!
 
NATO wameshikwa pabaya tuliwaambia RUSSIA sio ZIMBABWE
ila hawawezi wakafanya huu upuuzi labda wakawaokoe kwamazungumzo hapa sawa !!!!!
 
Hizo nchi zinakwenda kuunda ushirikz wa kijeshi kama ile wa NATO. Zitaungana na Russia, Bialorus, .... yale majimbo matatu yaliyojitenga kutoka Ukraine. Kuna uwezekano wa nchi za BRICS na Latin America kujiunga.
Hakika,
Afu Belarus nilimsahau Apo [emoji4]
 
Kwakweli nami Nakazia,
URUSI sio LETHOTO[emoji16][emoji106]
 
Sawa
 
Usichokijua Ni kwamba mpaka sahv,

Dunia nzima China nchi mstari wa mbele kusimama na RUSSIA kwenye Hii Vita.

Na Jana kwenye Baraza la usalama la UN mwakilishi wa China kalaanj nchi zote zinazopeleka silaha Ukraine kua ndio zinachochea Vita.

Mwakilishi wa China kasema mipango ya Putin haiwez kuusimamishwa na vikwazo walivyoweka, zaidi zaid vinawaumiza raia wao wenyewe walioviweka.

Na wao China wamesema kamwe hawatafuata mkumbo wa kuiwekea vikwazo urusi, maana hawana maslahi yoyote na Hii Vita.

Sijajua Kama unafatiliaga habari za Mara kwa Mara, au umekalia kusoma vitabu vya historia mkuu[emoji4]
 
"The enemy can attack heavily. The main thing is to calmly assess the situation and launch a decisive counter-blow. Let him think to the last that everything is going according to his plan. Until it's late" (c) Moshe Dayan
 
Your browser is not able to display this video.


The premium destination for oil supplies is Asia, Transneft president Tokarev told Putin.

This is "before, oilmen had to rack their brains, think, "bow" to walk in order to get somewhere with their oil for export or for an enterprise."

Here it is - the reverse side of Western sanctions and restrictions.
 
Jambo Jena Sana,
Naona sasa na Wewe PRO-NATO Umeanza kukubali UKWELI Sasa kwamba Russia wameichukua mariupol [emoji16]
 
nafurahi sana kuona wanajeshi wa kirusi wakifa kwa namna yoyote ile btw huo ushauri wako ungemshauri yule mgonjwa wa akili kipara wa kremlini
 
Waambie waiingize moja kwa moja anga la Ukraine waione show ,

Au hujui ndege zote za misaada zinashushia Poland, Kisha kuingiza mizigo kimagendo .

Tunasubiri TU mizgo itue ghalani tuilipue[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…