Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Skiza mjuba, silaha Ukraine amepokea ila hawezi kubali kwa sababu zinazojulikana. Hizo silaha ni nzito nzito na itakua vizuri urussi asijue ni zipi.Sasa ulileta iyo taarifa ya uwongo Hapa ili iweje?
Au ulikua umelewa mkuu[emoji16]
Jamaa alitaka kujiua,
Serikali imemsaliti[emoji26]
Lete chanzo,Kumekucha, Putin amzuia msichana wake kusafiri ng'ambo akihofia kwamba amepanga kutoroka kabisa.
[EMOJI1787] [EMOJI1787]
Vladimir Putin has blocked his elder daughter from travelling abroad amid fears she did not intend to return to Russia, according to reports from Moscow.
Scientist Dr Maria Vorontsova wanted to fly to a “friendly” country for a tropical beach vacation to mark her 37th birthday next week, it has been claimed.
She planned the romantic getaway with Yevgeny Nagorny, 33, her partner since the breakup of her marriage, according to the General SVR Telegram channel which claims to have inside knowledge from the Kremlin
“Putin responded with a categorical refusal, strengthening the security protection of Maria,” said the report on the Russian outlet.
“According to our information, the president’s eldest daughter did not plan to return to Russia.”
India na China wote wako upande wa Russia
1. Baada ya katazo la kununua gesi na mafuta kwa rubo, India ndiyo nchi ya kwanza duniani kununua mafuta kwa urusi. Na Putin kwa ubabe katangaza India ndo marafiki wa kweli
2. Mpaka sahivi Hakuna sanction yoyote kutoka China kuhusu urusi, majiran zake China wote wameelekea upande wa NATO.
Yeye kakomaa na msimamo wake ule ule
Ndo maana nakwambia Wewe sujui hii vita inaenda vipi,
Au vyanzo vyako vya habar sio vya kuaminika
Au hufatiliagi Hii Vita Mara kwa Mara mkuu[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari mnuno huoHa ha ha ...[emoji16][emoji106]View attachment 2195489
Mikwara mbuzi.View attachment 2195541
Tutawapa chakula Cha akili wafikirie vizuri wanaojaribu kutishia Urusi .... Kibabeeee sanaaaaa
Kama Warsaw PactHizo nchi zinakwenda kuunda ushirikz wa kijeshi kama ile wa NATO. Zitaungana na Russia, Bialorus, .... yale majimbo matatu yaliyojitenga kutoka Ukraine. Kuna uwezekano wa nchi za BRICS na Latin America kujiunga.
Shukran MKUUAliyetengeneza telegram ni m russia lakini imesajiliwa falme za kiarabu.
Punguza uongo watu wamejificha kwenye handaki huo uwezo wa kupigana wanautoa wapi?Mzee ngoma bado mbichi Mariupol, Azov battalion bado wanapeleka moto. Putin amekataa ombi la Chechens la kulipua azovstal steel plant. Hii ni ishara Chechens/ urussi wamelemewa na battalion ya watu 500 peke yake kwa mwezi mzima
President Vladimir Putin called off plans for the Russian military to storm the sprawling Azovstal steel plant in the Ukrainian port city of Mariupol and said on Thursday he wanted Ukrainian forces there to be hermetically sealed in instead.
Wasoviet watavuna ngano nyingi na mazao mengine yaliyoachwa na Nguchiro wa Ukraine. [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]Donetsk region, unknown shit arrived and fell.