Miji 42 ni sawa sawa na kutoka dar hadi mwanza, na hivo hiyo miji haifiki, manaake lengo lake la kuunda nchi huru ya Donesk limesha timia tayari, hilo eneo ni kubwa 600km ni eneo kubwa nikama kutoka dar hadi Manyoni.......Marekani yalalamika kuwa majeshi ya Russia yameteka jumla ya miji 42 mashariki ya Ukraine ndani ya wiki moja tu ya kuanza kwa phase hii ya pili ya operesheni maalumu ya kijeshi. Maafisa wa Ukraine wamekiri kupoteza umiliki wa miji hiyo 42...Naona Marekani na Zelensky wameamua kuanza kuongea ukweli wa kimachotokea field[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji56][emoji56]
Huu ni udhaifu mkubwa nchi kubwa kama Ukraine ambayo serikali yake imekuwa ikijitapa kushinda vita kwenye media. Pia ni fedheha kwa Marekani na washirika wake ambao wamekuwa wakiudanganya Ulimwengu kuwa Zelensky anashinda vita hivyo.
Kwa kweli kama 'kushinda vita' maana yake ni 'kupigwa mabomu, mizinga na makombora nchi nzima kila kukicha na kupoteza miji mingi namna hiyo (miji 42) ndani ya wiki moja tu'...basi bora huo ushindi aubebe Zelensky (Ukraine) na waUkraine wa Tandahimba.
View attachment 2197190
View attachment 2197189
Hahahahah ni sawa na Iringa kukatiwa supply ya makoti toka Dar es salaam!Baridi la kule hukwepi Gas hata dakika 4
Wanamueza sema hawakutaka vita ya 3 ya dunia. Wangeingia wote ingekuwa hasara kwa ulaya nzima na duniaMiji 42 ni sawa sawa na kutoka dar hadi mwanza, na hivo hiyo miji haifiki, manaake lengo lake la kuunda nchi huru ya Donesk limesha timia tayari, hilo eneo ni kubwa.......Marikani na Nato wameanza kutafuta public sympathy ya kusingizia kuua raia genocide nk, lakini mwenye lawana kubwa ni Zelensky ze comedy alijua vizuri kwamba itatokea kumshida Mrusi ila kwasbb alitaka kufurahisha USA akakubali kuingia vitani na matokeo ya vita ndo hayo, Ukraine will never be as before Russia sio mjinga, na hamna nchi ya kustopisha Mrusi EU na Nato wameexpose madhaifu yao kwamba hawamwezi Mrusi, walidhani Economic sanction ndo kiboko yake ila zime backfire lazima warudi kwenye drawing table wajipange upya wajue wana faili wapi.........
Na yule sniper hatari toka Canada sijui aliishia wapi....Mkatazeni huyo Mzee amewapiga balaa..zile story za kusema ohh majeneral 8 wamekufa saiv zimepotea kabisa....
Kama kwenye special oparation wameshindwa kumdhibiti sembuse kwenye vita halisiWanamueza sema hawakutaka vita ya 3 ya dunia. Wangeingia wote ingekuwa hasara kwa ulaya nzima na dunia
chief itapendeza sana hii op yako ikianza sasahivi before the likes of GANGA ZUMBA come out of the woodwork na mitweets yao,kwa mimi ninaetumia simu ndogo huyu GANGA ZUMBA huwa ananipa hard time kuscroll down pages humu akishajaza mitweets yake humu,simu yangu inakuwa inastak huwa ananiturn off sana...Mie pia nataka kuanzisha operation ndogo ya kuwaaibisha Neo Nazis wa JF humuπ mpaka kufikia May Mosi hamna kenge ambaye atakuwa analeta habari za kimbeya toka twitani!π
Na yule sniper hatari toka Canada sijui aliishia wapi....
ππππππ Nyie ma-ant Ameicans na ant-NATO mna maneno Sana..Mambo yanaweza kubadilika kwa comedian kugeuza kibaoπππ π π π π π ninatuma kikosi kazi chini ya generali wa kupuliza akazingire kiwanda hiko na asitoke mjusi hata mmojaπ
Hiyo move itafanya Russia kua na more reserve ya dollor kuliko nchi yoyote manaake sanction zote hazitakua na maana yoyoteThe European Commission allowed payment for Russian gas in rubles, said Deputy Chairman of the Security Council Dmitry Medvedev.
"We appreciate the consistency and integrity of our European partners. Especially considering that, according to the latest data from the International Monetary Fund, Europe will be able to do without our gas for no more than 6 months. But seriously, it won't even last a week," Medvedev said.
Hahahahaha duh...aise nimecheka Sana duh...hiyo ya Iringa kukatiwa makoti kutoka Dar ..is my statement of the dayπππππππππHahahahah ni sawa na Iringa kukatiwa supply ya makoti toka Dar es salaam!
Unafikiri watatoboa kwa muda gani bila mablangeti na makotiπ π π lazma waombe poo tu!!!
Ndio maana tunasema hawamuweziWanamueza sema hawakutaka vita ya 3 ya dunia. Wangeingia wote ingekuwa hasara kwa ulaya nzima na dunia
Aliuwawa nusu saa baada ya kuingia uwanjani na sniper wa urusiNa yule sniper hatari toka Canada sijui aliishia wapi....
wa kupuliza ,amri kutoka kwa kamanda Extrovert ,kikosi KJ82 Donetsk,kafanye Mambo mkuuππππ π π π π π ninatuma kikosi kazi chini ya generali wa kupuliza akazingire kiwanda hiko na asitoke mjusi hata mmojaπ
Vππππππ Nyie ma-ant Ameicans na ant-NATO mna maneno Sana..Mambo yanaweza kubadilika kwa comedian kugeuza kibaoππ
[emoji1][emoji1][emoji1] Roger that chief.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ninatuma kikosi kazi chini ya generali wa kupuliza akazingire kiwanda hiko na asitoke mjusi hata mmoja[emoji28]
Ghost wa Kiev spotted in Donbas [emoji23]Mwingine huyu hapa sijui nae amefia wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2197268