Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna watu wao ndio wenda wazimu halaf wanamuona PUT IN ndio mwenda wazimu ila natamani MKUU T14 Armata aje atoe neno kwenye hiki kinachoendelea maana awali nilimuona kama ana waprove failure RUSSIA
Hii ishu huko KREMLIN watu walitulia sana nawakachakata maamuzi sahihi kweli kweli
Ila najiuliza tu kwamba huu unaweza ukawa mwanzo wa mwisho dollar$ kilimwengu !!!??
 
Pro nato hawawezi kuja hapa watatumia alfabeti gani wakati RUSSIA wanatumia zote wameamua kutumia ishara...😂😂😂🙌🙌🙌 Na huo mfumo marekani wanaufanyia kazi ili uku mtandaoni tuweze kuwasiliana.
Sasa ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ wamezichukua unategemea nn🤣🤣🤣🤣....
 
Kivita miji inamaanisha kurudisha nyuma maadui kwa kilomita kadhaa hata Kama Ni mbili. Eneo hata dogs ambalo lilikua chini ya maadui likikombolewa huo Ni mji kivita
 
Photos from Mariupol. The men are alive and in good spirits.

Glory to #Ukraine 🇺🇦✊🏻
 
Hii koment imemaliza kila kitu
Ila bado watakuja watu watakwambia UCHUMI wa RUSSIA sawa na jimbo moja pale US
Kuna baadhi ya mambo ukiyasikia kutoka kwa watu unajiuliza hawa wazima kweli ama wamekurupuka kuongea
Yaani wanaiita RUSSIA iliotolewa G7 Kisiasa baada ya kupita na CRIMEA kwamba ni maskini
Ukija tena huku unajiuliza kama RUSSIA angekaa akaamua kupiga ban energy zake zinazoelekea huko EU walau kwa miezi kama walomuekea yeye EU itakua katika hali gani kuanzia KISIASA KIUCHUMI na KIJAMII
Kuna watu hapa kina T14 Armata tulikua tukiwaambia kwamba RUSSIA ndio kaushikilia UUCHUMI wa EU wanakataa ila nashangaa mtu kama huyo anakataaje jambo lawazi kama hilo
Kuna watu walikua wanasema kwamba RUSSIA akatae kuwauzia nishati hao EU wanasahau kwamba yeye si aloanza VIKWAZO ila akiamua kueka EU haitakaa iwe sawa tena na taasisi nyingi kubwa kama EU na NATO lazima zitavunjika yani nilazima
Mwisho:-wale wanaodhania kwamba FINI na SWED watajiunga na NATO nawapa pole sana!!!!
 
⚡️UK to reopen embassy in Kyiv.

British Prime Minister Boris Johnson made the announcement at a press conference on April 22.

The embassy is set to open next week after having relocated to Ukraine’s western city of Lviv before Russia’s full-scale invasion.
 
Ukweli nikwamba kupigana na RUSSIA ningumu sana
Na NATO wanalijua hili yaani jamaa shida hawaimbwi na MEDIA ndio mana ila kupitia hii OP tumeiona nguvu ya RUSSIA kwenye angle mingi kuanzia KISIASA KIUCHUMI huko KIJESHI ndio kabisaaaa
 
Sema medvedev anakauli zakishujaa sana huyu mwamba
Ukimfatilia huyu hata PUT IN anangojea mbali sanaa
Kwasasa RUSSIA yenye vikwazo zaidi ya 7000+ RAIA wake wanaishi kwausalama na amani zaidi ya US na EU wote
 
Ni kawaida braza, tajiri wa kweli hana kelele... ila masikini mwenye vijipesa kidg ana kelele na show off nyingi. Nishati ni uti wa mgongo wa mataifa ya ulaya, pale ulaya wanategemea zaidi ya asilimia 40 ya nishati toka urusi. Nchi kama Germany ambayo ndio kinara wa uchumi pale EU anategemea 55% ya nishati ya Russia. Nord stream 2 ingekamilika walikua wanategemea zaidi ya 80% hicho ndicho US kilimchanganya. Ushawishi wake Eu ungepungua mno... ila ndio hivyo
 
Ukweli nikwamba kupigana na RUSSIA ningumu sana
Na NATO wanalijua hili yaani jamaa shida hawaimbwi na MEDIA ndio mana ila kupitia hii OP tumeiona nguvu ya RUSSIA kwenye angle mingi kuanzia KISIASA KIUCHUMI huko KIJESHI ndio kabisaaaa
Ukraine peke yake imewatoa kinyesi. Wakati marekani inapigana na Iraq, mwezi mmoja kazi imeisha. Wakati huo Iraq ilikua dola kubwa yenye uwezo wa kuvamia jirani zake kina Kuwait na Iran. Hizi losses marekani hajapata tangia ww2
 
Kabisa
Ila ushawishi wa US utaondoka tu kupitia hii OP nisuala la muda tuuu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…