NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Hawa wengi walinyimwa visa za kwenda marekani kwahio wanatoa uchungu ila wanaipenda sana USA na EU. Mimi ndo maana sina kinyongo nao, wako JF inayofadhiliwa na EU, wamevaa mitumba ya marekani, Choo chao cha USAID, Bajeti ya nchi yao imejazwa na misaada ya hao hao. Kwa ufupi hawa sio haters ni fans in denial.
Okey, URUSI imeishinda NATO, Warusi uchumi wao unapaa na Ukraine imebaki magofu. Sasa wale tunaobishana humu nini kinafuata? Hahahaha.Hiyo habari mbaya sana kwa waMarekani wa Tandahimba na waUkraine wa Kantalamba...Walikuwa wakitokwa na povu kali hapa JF kuwa ati EU wana ubavu wa kususia gesi ya Russia...
Sasa badala ya kususia, EU wamefyata mikia yao na kukubali hadi kulipia gesi kwa pesa ya Russia, Ruble...
Naona Ruble inazidi kupanda thamani tu, leo 1USD =77 Ruble, toka kwenye 1USD =139 Ruble ilipokuwa imeshuka zaidi mwezi uliopita.
View attachment 2197371View attachment 2197370
Chakula walipata tenaWanajeshi wa Urusi wameanzanza kupora matrekta na combine Harvesters vijijni Ukraine na kuvipeleka kwao Urusi walipoulizwa wanavijiji kuwa wamejuaje viko urusi ? wakasema vimefungwa GPS location vinaonyesha Viko Urusi baada ya kuporwa
Source :CNN ikiwahoji wanachi viiijini Ukraine
Africa kujitambua bado Sana mkuu tumejaa unafikiii tuuUmu unafiki umejaa alfu siku CCM wakiwaibia kura mnaomba hao hao marekani wawasaidie.
Ivi mtu anaweza kunitajia kiongozi ata mmoja wa Russian mwenye hasiri ya Afrika au mweusi
Wafrika kwa unafiki ndio mana atuenderei.
ivi putin anatofauti gani na mwenda zake .
alfu ukiwakuta kwenye nyuzi Za Siasa wanavyo bwabwaja kujifanya wanaijua Demokrasia
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mbna kama umepanic MKUU[emoji23][emoji23][emoji16]Okey, URUSI imeishinda NATO, Warusi uchumi wao unapaa na Ukraine imebaki magofu. Sasa wale tunaobishana humu nini kinafuata? Hahahaha.
Sijapanik. Nimewaza tu what is Next, Warusi wameshinda, NATO imeshindwa, Ukraine majivu. Sasa kwangu mm na wewe nini kinafuata?😀Mbna kama umepanic MKUU[emoji23][emoji23][emoji16]
Kinachofuata[emoji23][emoji23][emoji23] ni shangwe tuu mkuu .....SUPER POWER RUSSIAN ....NATO is LOOSER...hivi NYAMIZI umempeleka wapi simuoni humu kabisaa [emoji3][emoji3][emoji3]Sijapanik. Nimewaza tu what is Next, Warusi wameshinda, NATO imeshindwa, Ukraine majivu. Sasa kwangu mm na wewe nini kinafuata?[emoji3]
Mwanzo hukuwaza hiki eeeehSijapanik. Nimewaza tu what is Next, Warusi wameshinda, NATO imeshindwa, Ukraine majivu. Sasa kwangu mm na wewe nini kinafuata?[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]....Na ukuta unashikishwa jina lenyewe coco wewe mvulana kweli?? Manake hilo jina ni la kike maaanniinnerrrr
An' yet Russia is still liberating towns and citiesThe big news upfront is 72 towed 155mm howitzers as well as prime movers. This is on top of the 18 in the last batch. View attachment 2197376View attachment 2197377
Sasa si watoke huko kama wao ni wanaume kweli [emoji23][emoji23][emoji23]......wamegeuka kuwa panya au fukoPhotos from Mariupol. The men are alive and in good spirits.
Glory to #Ukraine [emoji1255][emoji1307] View attachment 2197354View attachment 2197356
Why don't you wonder a country losing a fighter jet to a country without a helicopter?How do Russian explain this🤣🤣🤣
View attachment 2197383
SITA Ukraine Ina viwanda vingi vya silaha,Tena silaha Kali kuliko Iraq,Acha kujitoa akili , vipi hizo silaha za kujilinda anazo pewa Ukraine je angekuwa anapewa Iraq hali ingekuwaje kwenye uwanja wa vita Marekani angeweza kumaliza vita ndani ya muda huo ulio taja?
Si Marekani na vibaraka wake wangeishia kukimbia kama walivyo kimbia Uvitenam baada ya kutandikwa na silaha ambazo Vietnam alikuwa anapewa na Usoviet?
Kulinganisha vita ya Iraq na ya sasa Ukraine ni ukosefu wa akili maana havina mlinganyo wowote.
Iraq kipindi anavamiwa alikuwa dhaifu mno maana kwanza alikuwa ameshapigana vita nyingi nguvu ya jeshi lake ilikwa imepungua mno.
Pili alikuwa na vikwazo vya kiuchumi na silaha wakati Ukraine hana vikwazo vyovyote kati ya hivyo na alikuwa na uwezo wa kununua silaha yeyote anayo itaka.
Tatu Iraq kieneo ni ndogo ukilinganisha na Ukraine kitu kilicho toa faida kwa Marekani kupigana kwenye eneo dogo ,wakati Ukraine ina eneo kubwa kitu kinacho irazimisha Urusi ipigane kwenye eneo kubwa na kwa wakati mmoja.
Nne Iraq eneo lake kubwa ni jangwa kwa hiyo na ina miji mchache na midogo kwa maana hiyo mapigano mengi yalikuwa kwenye sehumu ya wazi jambo ambalo liliipa faida ya Marekani kuvishambulia kirahisi vikosi vya Iraq kutoka angani, wakati Ukraine ina utitiri wa miji kitu kinacho fanya vita ya ardhini kuwa ngumu kutokana na kwamba wanajeshi wa Ukraine wanaweza kujikinga kirahisi na mashambulizi kwa kujificha kwenye majengo na kufanya ambush za kudhutukiza.
Tano Irak alipigana na zaidi ya mataifa zaidi ya 20 tena yenye nguvu kubwa wakati yeye akiwa peke yake bila msaada wowote,wakati Ukraine anapigana vita na taifa moja huku yeye akipokea silaha kutoka mataifa 30.
Sasa unawezaje kulinganisha vita hii mbili kama sio upungufu wa akili?
Hahaha. Shangwe lingependeza kama pangekuwa na direct impact inayotuhusu moja kwa moja.Kinachofuata[emoji23][emoji23][emoji23] ni shangwe tuu mkuu .....SUPER POWER RUSSIAN ....NATO is LOOSER...hivi NYAMIZI umempeleka wapi simuoni humu kabisaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Counterintelligence wa Urusi wako makini sana,inawezekana wako ndani kabisa ya NATO,jeshi la Ukraine na Serikali ya Zelensky.The US and NATO are preparing provocations to accuse the Russian military of using chemical, biological or nuclear weapons in Ukraine.
What else did the head of the Russian troops of the RKhBZ Igor Kirillov say:
- the first US scenario is a "staged incident under a false flag." A provocation is possible at the Zaporozhye NPP. So, on April 21, a convoy of 10 vehicles with dangerous goods was stopped at a checkpoint;
- Kyiv can strike at the storage of radioactive waste in Kamensky, Dnepropetrovsk region. The Ministry of Defense has a document confirming the critical state of the storages and the misappropriation of funds sent there by the EU;
- the second option - "the most covert use of weapons of mass destruction in small volumes." The scenario was considered at the Azovstal enterprise, but it was thwarted by the cancellation of the storming of the plant by the RF Armed Forces;
- the third - "open use of weapons of mass destruction on the battlefield." It is considered for Slavyansk and Kramatorsk, turned into fortress cities;
- The probability of staging is confirmed by the supply of poisonous antidotes to Ukraine. In 2022 alone, more than 220 thousand ampoules were brought from the USA;
— provocations are needed, among other things, to put pressure on India and China and force them to impose sanctions against Russia;
- On April 21, a container with ampoules was dropped from a drone on the position of Russian troops, which was supposed to cause an explosion, the contents are now being analyzed.View attachment 2197478