Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Safi siounapanda vyeo mpaka major jeneral halafu mchaka mchaka wa vitani huujui hiloni bure tu kuitwa mwanajeshi.mwanajeshi heshima ni kwenda vitani.
 
​
Urusi inafanya uchunguzi kujua kama ni kweli Jeshi la Anga la Uingereza (SAS) lipo Nchini Ukraine na linashiriki katika vita baina ya nchi hiyo na Urusi.

Inaelezwa kuwa kuna wanajeshi 20 wa SAS waliopelekwa Ukraine kwa ajili ya kazi maalum ambao Urusi imesema wapelelezi wake kujua ukweli.

Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Uingereza alipoulizwa alisema: "Hatuwezi kuzungumzia kuhusu SAS."

Inadaiwa kuwa SAS walienda Ukraine mwanzoni mwa mwaka huu kutoa mafunzo kwa majeshi ya taifa hilo kuhusu matumizi ya silaha za kisasa.

Source: Aljazeera.
 
Huyu inabidi akamatwe akiwa hai kabisa kabisa.
 
Watu wamewahi kupambana na USSR ya Stalin itakuwa Russia.
 
Huu ujinga wa kwamba kuna taifa baba, mama, mtoto, mjomba na shangazi huwa mnajifunza wapi ??
Hata Sudan ya Kaskazini sio baba wa Sudan Kusini.
THERE IS A THIN LINE BTN BE A STUPID OR BE A BRAVE.

UNATAKA KUPIGANA NA BABA YAKO AKIKUPIGA UNAENDA LALAMIKA KWA MAJIRANI WAKUSAIDIE NNI.
 
Mara ya mwisho nimeingia hapa kijiweni Urusi ilikuwa imeshashinda, Rubble inatumika Ulaya kununua gesi, Ukraine ni majivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…