Vladimir Putin alicheza karate ili kutaka kupambana na nani? Anafikiri dunia ya SASA ni yahana ishu anajua 100% kuwa UK na US wanaisaidia Ukraine tokea kabla vita havijaanza na marekani wakipeleka shehena za silaha waziwazi wakati wao wanajikusanya kule mpakani tena marekani wakitoa mafunzo ndani ya Ukraine na anajua dhati ile Meli yako iliripuliwa ni jeshi la UK lakini Putini anasomeka na kufahamika kwamba ni mtu wa ndaro tu otherwise ni moga kuliko mdudu yoyote
Mie huwa nafikiri lami za virakaviraka ziko bongo tu kumbe hadi Uropa?1. Bucha 3rd April
2. Bucha 24th April
Ukraine sio Syria.
View attachment 2199765View attachment 2199766
Sawa mkuu maana jukwaan tulibaki wenyewe....wacha wajae kwanza afu wakisha nasa mtegoni tu kipigo huku tumebeba FACTS mkono wa kushoto....Daaa bora waje mkuu tuliwamiss ila hawatapata muda wa kuweka hata Tako zao chini kwa tukio litakalo fata
Achana Naye tu huyoMbona hao ni wanajeshi wa Ukraine walio uawa huko maliopol au hujui sare zao?
Jamani NYAMIZI LOL [emoji3][emoji3][emoji3]Tsh kazi tulishamaliza Ukraine au bado tule kwanza Idd,kisha tusubirie na X-Mass ya 2022 ndiyo tumalize kazi [emoji4]
Wahuni washajua mtu kafa
Mrusi hajifunziMzee Ukraine bado anazo battery za S- 300 system kwa upande wa high altitude. Ukija low altitude anazo Man portable Aerial Defense system (MANPADs) kama Starstreak pamoja na Bayraktar drones. Hizi ndege za Urussi ziliangushwa ndani ya siku moja.View attachment 2200036
Kawasaidie wavaa pedo wenzako syria, iraq, yemenBro putin piga kenge wote ni ombi lakini
Mkuu kumekucha bwana [emoji3][emoji3][emoji3].......Hahahaha
Kwa hiyo kwa hii articles ulio ileta hapa ......unataka kusemaje mkuu.....kuna kitu unaficha .....Moto mkubwa hifadhi za mafuta Urusi.
Huge Fire at a Russian Oil Base in Bryansk
World » RUSSIA | April 25, 2022, Monday // 11:44
Send to Kindle
A fire broke out on the territory of the Bryansk oil depot, the causes of which are currently unknown and are allegedly not directly related to the war in Ukraine, news agencies in Russia and Ukraine reported at the same time. According to Bryansk residents on Telegram, at least two fires are burning.
"High-ranking fire rescue teams have been sent to the scene. Upon arrival, it was established that the fire was on the territory of an oil base," the Ministry of Emergency Situations of the Russian Federation said in an official statement. And from there they do not give a possible reason for the fire incident. TASS quotes the press service of the Bryansk region leadership and claims that oil tanks are burning. From the morning there is an evacuation of residents from buildings close to the epicenter of the fire.
On social media, eyewitnesses in the area of the fires say they heard two loud explosions. This happened at 2 o'clock in the morning Moscow time, since then the first photos on social networks.
Russian media write that the Druzhba oil depot, which is part of the Druzhba oil pipeline complex, which supplies Russian oil to Europe, is on fire.
The Bryansk fire is the fourth fire in a short time since fires at Russia's industrial and development infrastructure sites in Tver, Korolyov and Kineshma last week.
There are more than 30 active hotspots in Bryansk at the moment, according to NASA's live monitoring.
[emoji23][emoji23] muueMkuu usijichekeshe kama Malaya kaona pesa kwa bwana wake mimi hayo ni maoni yangu sipo upande wowote urusi wala ukrain sipendi vita alafu mkuu mtu anaposema fulani anasidiwa na fulani ili wanichangie wanipige maana yake na yeye anatafuta huruma kwa marafiki zake wamsaidie kama Adui yake anavyosaidiwa .wapigane vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23]....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu Russia yupo katika nafasi ambayo anaweza kuiteka EU kiushawishi.
US anapiga propaganda lakini ukweli unajieleza wenyewe, uhusiano mzuri na Russia kwa nchi za Ulaya inapelekea hata uchumi wao kuwa mzuri.
Ukraine's air force says it shot down Russian Su-34.Mrusi hajifunzi