Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Sijui unapata habari zako wapi? Nchi za EU wanaunga mkono Ukraine kwa hiari yao kabisa wakiona Urusi ya Putin ni hatari na tishio kwao. Hasa zile nchi ndogo zaidi kwenye Mashariki ya EU wanaelewa tishio (hali ya pekee ni Hungaria inayojaribu kutosimama upande ). Jumapili serikali ya Slovenia iliyoshiriki na Hungaria iliondolewa katika uchaguzi. Finland na Uswidi wanaelekea kwa hiari yao kujiunga na NATO, baada ya miaka mingi ya kutojiunga.
Ujerumani ilikataa miaka yote kuitikia madai ya Marekani (tangu Bush, Obama, Trump) kuongeza jeshi lake na kufunga bomba la gesi kutoka Urusi - imegeuka kabisa; ikaamua kuwekeza Euro bilioni 100 kwenye jeshi lake; ilibadilisha sheria yake na kutuma silaha Ukraine (Panzerfaust zake zilisaidia kuchoma vifaru vingi vya Urusi).
Wanajua kwamba vita inawaumiza, wananchi wao wanajua hata hivyo katika nchi za EU ni idadi kubwa ya wananchi wanaotaka serikali zao zisaidie Ukraine kwa kila namna.
Wengi wanaona aibu kwamba miaka 8 iliyopita wakati wa uvamizi wa kwanza wa Urusi katika Ukraine walichukua hatua dhaifu tu.
Wanamwona Putin kama mhuni na mwuaji anayeleta uharibifu.
duuh mbona inapanda hiviRuble kama rubleView attachment 2200563
duuh mbona inapanda hivi
kazi kweli kweliBado hawajaanza kulipa kwa ruble wakianza hali itakuaje?? Mungu ibariki Russia [emoji635]
Usiwe mvivu wa kusoma; au kama huelewi lugha sema wakusaidie.Kwamba UK nzima[emoji16], story za kwenye kahawa[emoji3]
Umerudi kwa kishindo mama tunakupenda usipotee tenaaa tu tutahudhunika sanaBado nakuuliza tena Tsh matokeo ya Urais France yametoka? Yule mama aliyekuwa anapigiwa chapuo hapa na Pro Russia kwasababu aliikandia NATO na akaahidi kuitoa France NATO na kushangiliwa sana hapa kwa ile kauli yuko Ikulu kwa sasa au Wafaransa wameamua kuendelea na Macron wao [emoji3]
Huyo hawezi kushinda kwa sababu ya sera zake za kibaguzi dhidi ya waafrika na waislam.Bado nakuuliza tena Tsh matokeo ya Urais France yametoka? Yule mama aliyekuwa anapigiwa chapuo hapa na Pro Russia kwasababu aliikandia NATO na akaahidi kuitoa France NATO na kushangiliwa sana hapa kwa ile kauli yuko Ikulu kwa sasa au Wafaransa wameamua kuendelea na Macron wao [emoji3]
Wanaunga Kwa hiauri yao!!? Una akili kimini.....Sijui unapata habari zako wapi? Nchi za EU wanaunga mkono Ukraine kwa hiari yao kabisa wakiona Urusi ya Putin ni hatari na tishio kwao. Hasa zile nchi ndogo zaidi kwenye Mashariki ya EU wanaelewa tishio (hali ya pekee ni Hungaria inayojaribu kutosimama upande ). Jumapili serikali ya Slovenia iliyoshiriki na Hungaria iliondolewa katika uchaguzi. Finland na Uswidi wanaelekea kwa hiari yao kujiunga na NATO, baada ya miaka mingi ya kutojiunga.
Ujerumani ilikataa miaka yote kuitikia madai ya Marekani (tangu Bush, Obama, Trump) kuongeza jeshi lake na kufunga bomba la gesi kutoka Urusi - imegeuka kabisa; ikaamua kuwekeza Euro bilioni 100 kwenye jeshi lake; ilibadilisha sheria yake na kutuma silaha Ukraine (Panzerfaust zake zilisaidia kuchoma vifaru vingi vya Urusi).
Wanajua kwamba vita inawaumiza, wananchi wao wanajua hata hivyo katika nchi za EU ni idadi kubwa ya wananchi wanaotaka serikali zao zisaidie Ukraine kwa kila namna.
Wengi wanaona aibu kwamba miaka 8 iliyopita wakati wa uvamizi wa kwanza wa Urusi katika Ukraine walichukua hatua dhaifu tu.
Wanamwona Putin kama mhuni na mwuaji anayeleta uharibifu.
Nambie kwa nini NATO walikuwa haraka kuja Libya, tena France ndiye alikuwa mbele na zile ndege zake kuja kummaliza Gaddafi, je waasi wa Libya walikuwa kwenye umoja wao?Sijui unapata habari zako wapi? Nchi za EU wanaunga mkono Ukraine kwa hiari yao kabisa wakiona Urusi ya Putin ni hatari na tishio kwao. Hasa zile nchi ndogo zaidi kwenye Mashariki ya EU wanaelewa tishio (hali ya pekee ni Hungaria inayojaribu kutosimama upande ). Jumapili serikali ya Slovenia iliyoshiriki na Hungaria iliondolewa katika uchaguzi. Finland na Uswidi wanaelekea kwa hiari yao kujiunga na NATO, baada ya miaka mingi ya kutojiunga.
Ujerumani ilikataa miaka yote kuitikia madai ya Marekani (tangu Bush, Obama, Trump) kuongeza jeshi lake na kufunga bomba la gesi kutoka Urusi - imegeuka kabisa; ikaamua kuwekeza Euro bilioni 100 kwenye jeshi lake; ilibadilisha sheria yake na kutuma silaha Ukraine (Panzerfaust zake zilisaidia kuchoma vifaru vingi vya Urusi).
Wanajua kwamba vita inawaumiza, wananchi wao wanajua hata hivyo katika nchi za EU ni idadi kubwa ya wananchi wanaotaka serikali zao zisaidie Ukraine kwa kila namna.
Wengi wanaona aibu kwamba miaka 8 iliyopita wakati wa uvamizi wa kwanza wa Urusi katika Ukraine walichukua hatua dhaifu tu.
Wanamwona Putin kama mhuni na mwuaji anayeleta uharibifu.
Unaliona hilo dushelelee hapo down [emoji3][emoji3][emoji3]Bado nakuuliza tena Tsh matokeo ya Urais France yametoka? Yule mama aliyekuwa anapigiwa chapuo hapa na Pro Russia kwasababu aliikandia NATO na akaahidi kuitoa France NATO na kushangiliwa sana hapa kwa ile kauli yuko Ikulu kwa sasa au Wafaransa wameamua kuendelea na Macron wao [emoji3]
Hayo malengo mliweka ukoo wenu auJamani kwa mtazamo wangu nikiwa Kama mchambuzi wa kujitegemea wa hii Vita toka Siku ya kwanza inaanza,toka malengo ya Siku tatu iwe imeisha na Sasa tunaelekea mwezi wa tatu,itoshe tu kusema Russia Mambo yamemwendea ndivyo sivyo,niwape pole wanarussia wote mliokuwa na mapenzi mema na Putin,mlijitolea kumsifu kwa mapambio Ila kawaangusha naona Sasa mmebaki kusifu missile na mabomu mengine ya mchongo....Poleni warusi wote wa nangurukuru
Mkuu kabla ya kuijadili Urusi,jifunze japo kuandikaKuchunguza jambo nikupata uwakika baada ya hofu (wasiwasi ) kukujaa nafsini
Hofu ni uwoga
Maana unashangaa adui wako anapataje nguvu wakati unajua Ana nguvu ya kukupiga
Alafu mkuu hipo hivi sisi watu tumetofautiana upeo wa kifikra (akili ) ndio maana unaambiwa kuna wachambuzi . Mjomba acha ushabiki urusi akishanda ukrain akishinda hakuna faida yeyote tukayopata . Mfano Uganda aje tena kuja kuchukua kagera au Malawi atake ziwa Nyasa lote au msumbiji achukue mtwara au Kenya achukue moshi yote na Arusha serikali yako itakubari au muungano uvunjwe tutakubri
Vita sio nzuri , Putin alikua na wazo la haloose chochote kalianzisha.Kwa ufupi hakuna vita nchi anaepigana peke yake lazima nchi rafiki wa saidie kimya kimya Kosa la Putin washauri wake walimshauri Vibaya kwamba hii vita itakuwa rahisi inawezekana pia na hata wale makamanda vibaraka wake kutoka jeshi la ukrein ambao mwanzoni mwa vita jesh la urusi walikuwa wanasonga mbele wale nao wameshitukiwa kwamba ni vibaraka wa urusi hivyo wote wametolewa inawezekana jeshi lote la ukrain liko chini ya NATO na marekani ndio maana sasa raisi wa ukrain alilii kama mwanzo anatamba hivyo tusishangae urusi kulialia kwa sababu wale vibaraka wake wa wakumpa taharifa wapi tupige na wapi tusipige hawapo hivyo hii vita ni ngumu kwa nchi zote mbili .mungu ibariki ukrain 🇺🇦 mungu ibariki urusi🇷🇺 Mungu ibariki dunia🌏
Kwa hiyo wanajeshi 20 wa SAS wanawatoa jasho? 😂Urusi inafanya uchunguzi kujua kama ni kweli Jeshi la Anga la Uingereza (SAS) lipo Nchini Ukraine na linashiriki katika vita baina ya nchi hiyo na Urusi.
Inaelezwa kuwa kuna wanajeshi 20 wa SAS waliopelekwa Ukraine kwa ajili ya kazi maalum ambao Urusi imesema wapelelezi wake kujua ukweli.
Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Uingereza alipoulizwa alisema: "Hatuwezi kuzungumzia kuhusu SAS."
Inadaiwa kuwa SAS walienda Ukraine mwanzoni mwa mwaka huu kutoa mafunzo kwa majeshi ya taifa hilo kuhusu matumizi ya silaha za kisasa.
Source: Aljazeera.
🤣 🤣 🤣 Ila jamii forums ina watu wajingaRussia is claiming that within days all remaining railways and airports connecting West Ukraine to the East will be destroyed by missile strikes. This would effectively cut off further NATO shipments of hardware and ammunition etc to e.g. Donbass.
Afu tuone watapitishia wapi takataka zao.
Yaani humu ndani most of Pro Putin ni watu wasiokuwa na Rational thinking... Yaani hadi matokeo ya Urais wa Ufaransa walikuwa nayo, Wanajua mipango ya Putin ambayo UK na USA hawajui 🤣🤣🤣Bado nakuuliza tena Tsh matokeo ya Urais France yametoka? Yule mama aliyekuwa anapigiwa chapuo hapa na Pro Russia kwasababu aliikandia NATO na akaahidi kuitoa France NATO na kushangiliwa sana hapa kwa ile kauli yuko Ikulu kwa sasa au Wafaransa wameamua kuendelea na Macron wao [emoji3]
Sorry ndugu, umesoma hadi hatua gani?Finland wamesha ghair muda hao sweeden ndo bado wana kipele ila watatulia tu. Hzo ni porojo tu hakuna watakachofanya jomba. Tulieni putin awatie nyembe
Sijui unachanganya mambo na majina? Mwenye ubaguzi mkali dhidi ya Waafrika na Waislamu ni Marine Le Pen, mpinzani wa Macron na rafiki wa Putin . . . . .Huyo hawezi kushinda kwa sababu ya sera zake za kibaguzi dhidi ya waafrika na waislam.