Hahaha.Bwana Tsh ...naona unamzodoa bibie NYAMIZI
.......[emoji3][emoji3][emoji3]unachosema ni kweli kabisa western allies wanajua kutumia media na media kwao ni silaha kubwa na mwanzoni iliwatoa kidedea ila kwa sasa imefeli .....ukweli mbele daima [emoji23][emoji23]
Inasikitisha Sana. Warusi wangapi walikufa?Jana usiku Russia imekula vichwa zaidi ya 500 vya wanajeshi wa Ukraine...
View attachment 2201200
View attachment 2201195
Mkuu acha uongo Urusi hana shida na EU countries,yeye adui wake wa kudumu ni USA.anacho Fanya USA ni propaganda kuonesha kuwa Urusi ana ugomvi na Nchi hizo ili kuzitumia Nchi hizo kama mwanvuli.
[emoji23][emoji23]alafu wanajiona wana MA GREAT THINKERS kweli kweli kumbe usikute ni mizigo kwa waume zao shiit....Kuna wadada flan hivi hum huwa nawatizama kisha najaribu waza kua we ndio mume then mkeo ambae ndio wategemea kua mwalim wa kwanza kwa wanao ana mindset ka hizo...
Aseeee hicho kizazi ka sio bom la hiroshima basi ni Satan 2...
Vita hii bado sana tumeshaanza mwezi wa tatu huu,huo ni uhalisia na si vinginevyo.An illusion...pole Sana Ndugu yangu
Nilichogundua kuna watu wengi sana huwa hawakuelewi kabisa Mkuu,huwa wanaparamia kujibu comment zako[emoji3][emoji3]Hahaha.
Hatuwezi kusema imefeli mpaka Urusi atakapokamilisha jambo lake. Huenda kinachoendelea sasa ndicho wao wanachotaka.
Huwa nasikiliza Urusi anaongea nini ili nifahamu status ya wanachokifanya sababu ni ngumu kidogo kuwaelewa US, na kwa sasa nachosikia kutoka kwa URUSI ni tishio kutokea ww3 na matumizi ya nuclear.
Wiki mbili ziliyopita waliyokuwa wanayasema yalikuwa na viashiria vyote vya kumaliza hili jambo na kushinda, ila wiki hii naona wanazungumzia ww3 na kukumbushia nuclear. Hii ina tafsiri tofauti na last week.
Sawa Ndugu yangu...Vita hii bado sana tumeshaanza mwezi wa tatu huu,huo ni uhalisia na si vinginevyo.
Ni akina Nani hao?!?!😂😁Kuna wadada flan hivi hum huwa nawatizama kisha najaribu waza kua we ndio mume then mkeo ambae ndio wategemea kua mwalim wa kwanza kwa wanao ana mindset ka hizo...
Aseeee hicho kizazi ka sio bom la hiroshima basi ni Satan 2...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hujakosea... ni PUNGUANI haswa tena WANAFIKI kiwango cha "Stealth"... ngumu sana kuwaelewesha...Baada ya kumalizika kwa vita baridi Urusi ilionesha nia ya dhati kumaliza uadui lakini Marekani na washirika walikataa.
Ilifikia hatua Urusi iliomba kuwa mwachama wa Nato ili wawe kitu kimoja kitu ambacho kingemaliza uadui kati ya pande hizo ,lakini Marekani alikataa maana alijua Ulaya ikipatana na Urusi basi soko lake la silaha litakuwa limekufa rasimi maana ana tegemea kuitumia Urusi kuitisha Ulaya ili wanunue silaha zake.
Na hii michezo ana ifanya sana huko mashariki ya kati na kwenye rasi ya Korea.
Mm nikimuona mtu fulani anapinga siasa za kujitanua za Urusi wakati huo akiunga mkono siasa za kujitanua za Marekani huwa namuona kama punguani na mnafiki.
Mkuu kwani pale USA kuna states ngapi hazikuwa kwenye muungano wa USA??.vipi likatokea Taifa likaanza propaganda kwa kushirikiana na hizo states ambazo nazo zilichukuliwa kimabavu ili kuunda USA??.Kaka ulijaribu kupinga hoja yangu kwamba mataifa ya Ulaya wana sababu zao kushikamana na Ukraine. Maana yana historia na Urusi inayotangulia kuundwa kwa NATO na Marekani kuonekana huko Ulaya. Kama historia yako inaanza kwenye vita baridi (au kwenye hatua za nchi za Ulaya Mashariki-Kati kujiunga na NATO), historia ya mataifa ya Ulaya na Urusi ni ndefu zaidi. Finland, Poland na nchi za Baltiki zinajua jinsi zilivyovamiwa na kufanywa kuwa koloni za moja kwa moja tangu karne ya 18 na 19.
Poland (1939, 1945) Chekoslovakia (1946, 1968) na wengine wanajua jinsi walivyolazimishwa kupokea ukomunisti wa Urusi na kuwa nusu koloni hadi 1990.
NATO yenyewe haikuundwa kama umoja wa kushambulia Urusi, iliundwa kama jibu la upanuzi wa himaya ya Urusi baada ya 1945 na uvamizi wa nchi za mashariki.
Wakati wa kuporomoka kwa himaya ya ukoloni ya Urusi (=Umoja wa Kisyoveti) mnamo 1990 hakuna aliyetaka kupanusha NATO.
Lakini mataifa yaliyoondoka katika ukoloni wake walipanga foleni kwa hiari yao kujiunga.
Ukipenda kujionyesha kama mtu anayejua historia na mandharinyume, si vibaya ukujaribu kunyosha elimu yako kidogo, sivyo?
Maarifa hayo yote yameingia katika maazimio na mabadiliko yaliyotokea sasa katika Ujerumani, Uswidi na Finland, ambazo zilikuwa imara sana dhidi ya madai ya Marekani hadi Machi 2022, walipoona Putin haaminiki .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa mchonganish huyu...Ni akina Nani hao?!?![emoji23][emoji16]
Watu wa design hii hawahitaji "facts" wala majibu ya hekima. Ni spana za "kitaalamu" tu, mpaka ateme ndoano.Kwani wewe ulitakaje? Sometimes you have to argue sensibly...achana na ubishi wa Simba na Yanga kwamba ile ilikuwa ni penalti na mwingine anasema haikuwa penalti...jifunze how to respect other people's opinions and views...
Mkuu ujue wewe unaingea vitu rahisi sana,emu jaribu kufikiria Jimbo la California ambalo lilichukuliwa kimabavu ili kuunda USA Leo hii hilo Jimbo liamue kujitenga kama Nchi-halafu badaye liungane na Urusi kuunda umoja wa kujihami dhidi ya USA.Asante, ila naona tofauti ambayo si ndogo.
Kwanza sijapinga upanuzi wa himaya ya Urusi (kuna faida gani kupinga historia??) lakini ninasema: maarifa ya mataifa ya Ulaya na Urusi inatosha kuona kwamba wanaona Urusi kama tishio, na wana sababu nzuri.
Pili nilidokeza hali halisi kwamba Urusi ilipanusha himaya yake kwa njia ya vita na uvamizi wa kijeshi.
Tatu ninaona upanuzi wa NATO haikutokea kwa njia ya uvamizi wala vita bali kwa njia ya maazimio ya nchi zilizopata uhuru zikaamua vile kwa hiari yao.
Je unakubali nchi ina haki ya kuamua ushirikiano wake ya wengine au la? Je DRC ilikuwa na haki kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki? Je Sudan Kusini ilikuwa na haki hiyo??
Mataifa ya Ulaya pamoja Urusi yalikubaliana mwaka 1975 kila nchi ina haki kuchagua siasa yake. (Helsinki Accords)
Punguza hasira bibieHebu slow down,naona unanijia kwa kasi kama kifaru aliyekoswa na risasi ya wawindaji haramu.Ninakuja ninapojisikia,kucomment hapa siyo full time job,au huna kazi za kufanya ndiyo maana unaweza hata kumfatilia kila mtu hapa na ukajua yupo au hayupo[emoji19][emoji19]