Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waziri wa ulinzi wa Uingereza amesema itakubalika kwa vikosi vya Ukraine kutumia silaha za Magharibi kushambulia maeneo ya kijeshi yanayolengwa katika ardhi ya Urusi.
 
sikuwepo enzi za mussolin,Hitler n.k
Ila naona Putin anapoelekea ni huko
Kama wasipomthibiti.
Siipendi marekani na washirika wake ila kwenye Vita hii nawaunga mkono100
Nchi za magharibi na hasa USA ni waoga Sana....wanaogopa Vita vya nyuklia ambapo kutakuwa hakuna mshindi isipokuwa the death of capitalism as the world's leading economic system and hence the death of the New World Order (NWO)
 
Asante kwa jibu, angalau mtu mmoja anayetafuta habari kabla ya kumwaga maneno matupu!
Sawa mfano wa Poland ni kweli kuna historia ndefu ambako karne kadhaa zilizopita Poland katika umoja na lithuania ilikuwa na nguvu kushinda Urusi. Ila bila shaka unajua mwisho wa karne ya 17 Urusi, Austria na hatimaye Prussia waliungana kugawana Poland-Lithuania kati yao. Tangu 1795 Poland ilikwisha, ikafufushwa kwa mapatano ya kimataifa kama nchi chini ya Urusi baada ya 1815 lakini kumezwa na Urusi kabisa baadaye.
Ili majadiliano kuhusu ukoloni yawe na maana napendekeza tuyapakane kwa muda kuanzia karne ya 19.
Hapa tuliona jinsi gani mataifa ya Ulaya baada ya mapinduzi ya kiwandani (ambako Urusi ilichelewa kushiriki lakini ikafuata) yalikuwa na uwezo kushinda mataifa yote mengine ya Asia na Afrika kutokana na faida za kitekinolojia - hasa tekinolojia za silaha na usafiri-, faida za kiutamaduni -mpangilio wa kitaalamu wa uchumi na jeshi, na faida za kiuchumi yaani uzalishaji wa bidhaa viwandani.
Hapo Urusi iliweza kupanusha mamlaka yake juu ya jamii na madola ya Waislamu wa Asia ya Kati na Mashariki ya Mbali; ukoloni huu ulikuwa kama mchaganyiko wa ukoloni wa Marekani (iliyovamia mataifa na makabila ya Maindio yaliyokazaa jirani na kuwamaliza kabisa, jinsi ilivyotokea Siberia upande wa Urusi) na ukoloni wa Uingereza (uliovamia maeneo ya ng'ambo ya bahari, ukiacha Ueire na Uskoti, lakini mahali pengi jamii za wenyeji ziliendelea kuwa na uwezo fulani, jinsi ilivyotokea Asia ya Kati na Kaukazi upande wa Urusi).

Kutokana na mandharinyuma hiyo naita utawala wa Urusi juu ya mataifa mengi "ukoloni".
 
Bado unaendelea kulinganisha mambo ambayo si sawa. Ukraine haikujitenga na Urusi katika karne hii. Nchi hizi zilitengana (kwa makubaliano, Putin anayalilia leo) miaka 100 iliyopita (kabla Tanganyika kutengana na Uingereza).
Unaweza kuleta mfano wako wa Kalifornia kama Chechnya au Tartarstan wanataka kujitenga na Urusi ambako ni sehemu za kikatiba.
 

Huo muda Russia anakua amelala tu? Akili kama hzi halali Tz kuwa na vijana wa hovyo wasiokuwa na ubongo wa kufikiria
 
Mpaka hii vita kuisha basi USA atakuwa katimiza kile anacho kiamini, kwani wanaamini urusi atapoteza nguvu ya kijeshi kwa asilimia kubwa.

Kama ni mtego basi Putin kajaa maana Ukraine imemfanya atumie nguvu ambayo hakutegemea ataitumia,

Then kawa exposed, ni easy kumpiga mtu kwa kufatilia mapigano yake yaliopita.

#[emoji897][emoji897][emoji897]
 

Tuambie nguvu aliyotumia Putin pale ukraine ni ipi??
 
Marekani haiwezi Russia kivita ataishia kulia lia na kupiga kelele ila hauwezi mziki wa Russia yeye size zake ni iran, iraq, libya nk nk.
Urusi ipi imeshindwa hata na Ukraine from 72hrs to 64days old bado anapiga piga vibomu Ukraine. Finland na Sweeden wameshajiunga NATO urusi bado inarusha vibomu tu na operation mbuzi
 
Sawasawa
Sawasawa, asante kwa taarifa! je hakuna Mrusi aliyeuawa? Kuna faida gani kutoa hapa taarifa za aina hiyo???
 
Lak
Just In...

Poland wamekatiwa Gas uko wanalalama hawajapewa taarifa [emoji23]
Lakini Warusi watu wazuri!! Wamesubiri hadi baridi imekwisha, sasa wapoland hawahitaji tena gesi ya heating hadi Oktoba. Kweli ni utu mkubwa kuwapa muda watafute vyanzo vipya hadi wakati ule.
( na Wajerumani walisema wameshapata vyanzo mpya vya mafuta -gesi bado 100%- mwisho wa Mei! Kweli kukata mapato ya Urusi kunaendelea taratibu. Napenda utaratibu!!!!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…