NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Kawaida yake Poland.The Prime Minister of Poland believes that Russia is coping well with the sanctions of the West, so Warsaw is trying to develop new sanctions packages.
“So far we see that Russia, unfortunately, is coping well with sanctions. In this regard, Poland is trying to organize the process of designing the next sanctions packages,” he said at a briefing.View attachment 2202513
Tangu mwanzo mipasho ni hii hii na watu wala hawajali,ndiyo kwanza wanapeleka shehena za silaha kama kawaidaTumemzoea na mipasho yake
Poland inataka kuwakomoa other EU members ambao wamekubali kununua Gas kwa Rubles.The Polish prime minister said that Warsaw would ask the European Commission to impose duties on gas and oil imports from Russia in the amount of 25-35%.
View attachment 2202542
Hapa tutakesha, Mkuu, maana nitakuuliza, wakati huo KGB lilikuwa jeshi la kijasusi ama jeshi la wazi lenye mavazi yake rasmi, na vyuo, ama kambi rasmi za mafunzo ya KGB yalikuwa yanajulikana waziwazi na kirahisi kwa raia wa kawaida kiasi kwamba ilikuwa ni rahisi kwako kutambua kuwa sasa Putin kaanza mafunzo huko KGB! Maswali ni mengi Mkuu.
Nadhani tuendelee kufuatilia kinachoendelea Ukraine maana ndilo lengo la uzi huu hasa.
===
Bwana Tafakari yetu ukisema Putin aliingia KGB akiwa high school natumai unajua kwamba unazungumzia mtoto wa chini ya miaka 18.Putin aliingia KGB kabla ya kuanza chuo toka akiwa High school. Historia ya Mwl.Nyerere tu huijui kiundani wakati ipo wazi kabisa ndo uijue ya Putin Kiundani?
Ukiachana na siasa Putin ni jasusi aliyefikia level ya Kanali ndani ya KGB hivyo taarifa nyingi za Putin na maisha yake yanaweza visijulikane kiundani kwa hiyo tujue tu 1975 alikuja Tanzania.
Kmmq mwanangu umenchekesha balaa aisee daaah ila wabaongo siwawezi mimiOgopa mtu anayelia huku anapigana akikushika suruali haachii hata urushe makofi na ngumu na vichwa haachii hadi ahakikishe umedondoka chini akungat'e na meno sehemu za uume kama mwanaume na kuukatilia mbali kwa meno
Putin analo
Kaka kama huna habari jinsi gani gesi inavyotumiwa na jinsi gani soko la gesi linavyofanya kazi, labda utafakari kidogo kabla ya kutukana??Yaan wana akiba ya kutumia Mwaka na bado kila siku wanaagiza?? Mzee acha fix za kitoto.