Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Umeandika pumba kama Russia sio kitu kwanini NATO(USA)wanaexpand kuelekea mipaka ya urusi?urusi ni taifa kubwa Sana wamarekani wanataka kutawala dunia Kwa Raha lakini Russia nchi kubwa inazuia wamarekani kufanya hivyo na warusi wanauwezo kijeshi wa kuipiga wamarekani.
Azovstal plant in Mariupol effect.Washington is exploring the possibility of including Russia in its list of "countries sponsoring terrorism" against the backdrop of events in Ukraine - US Secretary of State Blinken.View attachment 2203141
Mikataba yote inataja bei kwa $€. Urusi ilitaka malipo yafike kwenye akaunti ya benki ya Kirusi, maana hapo wanapokea pesa kwa uhakika. Kabla ya vita malipo mengi yaliingia kwenye akaunti za GAZPROM katika nchi za EU, na hapo asili mojawapo ya pesa za Urusi zinazoshikwa sasa kutokana na vikwazo vilivyoanzishwa tangu vita kuanza.
EU walisamehe benki chache za Urusi katika mfumo wa vikwazo kwa sababu walijua wanahitaji njia ya kulipa gesi / mafuta.
Urusi imefaulu kwa sasa kuhifadhi thamani ya rubel kwa
a) kulazimisha makampuni yake kuuza $€ kwa benki kuu
b) kusimamisha biashara huru ya $€ ndani ya Urusi
c) kuzuia wawekezaji wa nje walionunua hisia za makampuni ndani ya Urusi kuuza na kupeleka pesa nje
Hebu weka hapa nakala ya mikataba hiyo mkuu hata mmoja tu
Fuatilia threads zilizotangulia, acha kukurupuka. Umewasoma waliondika/wanaonishana wana mlengo gani?. Soma thread zilizotangulia ila utengeneze base ya kujenga hoza zako.Umeandika pumba kama Russia sio kitu kwanini NATO(USA)wanaexpand kuelekea mipaka ya urusi?urusi ni taifa kubwa Sana wamarekani wanataka kutawala dunia Kwa Raha lakini Russia nchi kubwa inazuia wamarekani kufanya hivyo na warusi wanauwezo kijeshi wa kuipiga wamarekani.
Nadhani lengo la vita litakuwa mule kwenye mahandaki. Wasije wakawa wana mimashine yao ya kuchimba migodi wanachimba chini kwa chini tukasikia wameshatoka wapo Kiev?Azovstal plant in Mariupol effect.
Wasijali nitaongea na Putin mamluki wao waliozingirwa kwenye kiwanda awafungulie humanitarian corridor wakiwa wamevaa kiraia.
Atafaidikaje huku Nchi zitaanza kufanya purchase kwa currency zao??Hii vita ni ya kiuchumi zaidi,na naona kabisa US atafaidika sana.
Chanzo mbadala cha gas na mafuta watotoa wapi?Kwa mbinu huo na kwa muda. Kadri hao wa Eu wanafaulu kupata vyanzo mbadala mapato ya Urusi yatashuka. Ni mwanzo tu.
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] sawa mkuu ilaAcha kushabikia vifo vya watu mwamba
HakunaPlease Putin have mercy[emoji28][emoji28]
Atatolea tumboni wake huyo jamaa anaejiita mwanankiwiChanzo mbadala cha gas na mafuta watotoa wapi?
Zitabakia hukohuko chinichini...........Za chini ya Carpet nyingine hii...
[emoji635][emoji779]According to the SVR (Russian foreign intelligence agency), Poland is preparing the annexation of western Ukraine under the guise of "historical reunification."
Options for the entry of Polish troops into Western Ukraine were openly discussed in Europe back in March, when the United States made it clear that they would not openly participate in such an operation, but would not mind if Poland with a "group of countries" occupied Western Ukraine.
Mkuu yeye anadhani mafuta na gesi kuwa nayo ni sawana kufuga samakiChanzo mbadala cha gas na mafuta watotoa wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2203578
Kuandika tu kuna mshinda asa sijui ataweza vipi kumdhibiti mwamba PUTINAdhibitiwe kivovote,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiki kitu ninawaza piaNadhani lengo la vita litakuwa mule kwenye mahandaki. Wasije wakawa wana mimashine yao ya kuchimba migodi wanachimba chini kwa chini tukasikia wameshatoka wapo Kiev?