Hakuna zaidi ya mikwara kwa jinsi ninavoifahamu marekan kwa uchache ni mpenda sifa angeshaivamia RUSSIA ilaView attachment 2203756
Muda wowote toka sasa atahutubia taifa la Ukraine namna bora ya kuzitwanga na Mrusi
Nadhani lengo la vita litakuwa mule kwenye mahandaki. Wasije wakawa wana mimashine yao ya kuchimba migodi wanachimba chini kwa chini tukasikia wameshatoka wapo Kiev?
Mkuu huyo anaelewa yote. Ila anawakejeli pro NATO kwani huwa wanapenda kusikia kuwa NATO iko juuUmeandika pumba kama Russia sio kitu kwanini NATO(USA)wanaexpand kuelekea mipaka ya urusi?urusi ni taifa kubwa Sana wamarekani wanataka kutawala dunia Kwa Raha lakini Russia nchi kubwa inazuia wamarekani kufanya hivyo na warusi wanauwezo kijeshi wa kuipiga wamarekani.
Kwani kiongozi unasubir zikifika zifanyiwe Parade? Mbona Javelin na NLAW mnazionaa. Zitaonekana pale ambapo wenyewe wataamua kuzionesha
Msamehe anaweza kuwa ni trans gender anawatetea wenzake.Na kweli we ni popo akili yako imekaa up's and down .......some time muwe mnapitia coments tu inatosha wacheni kujiabisha humu
WARUSI wa humu wakikusikia hutalala.
Nimesoma Mkuu,nimeokota mawili matatu japokuwa bado tatizo liko pale pale kila mtu anacomment akiwa biased kutegemea na upande anaouamini katika hii vita.Dah....An excellent piece of analysis...thanks .
Pengine Ndugu Nyamizi anapaswa kusoma andiko hili na wengine wa Aina yake...
Marekani hataki patulie ili amuumize Urusi kiuchumi, maana atapigana daily anatumia mapesa mengi sanaHii Vita bado ni ndefu sana. Na nachoona mbele itakua na athari mbaya kabisa kuwahi kutokea. Ifike kipinde wafanye mchakato wa amani tu.
Sasa Russia unakwenda kununua nini mbali ya gesi na mafuta,nini cha maana kingine anacho au ni Vodka[emoji4]Na sasa Russia wanataka wageni wakienda kununua vitu kwao watumie pesa ya Russia, la sivyo auwezi nunua kitu kwao.
Putin anawachelewesha sana hawa jamaa.Nadhani lengo la vita litakuwa mule kwenye mahandaki. Wasije wakawa wana mimashine yao ya kuchimba migodi wanachimba chini kwa chini tukasikia wameshatoka wapo Kiev?
US anapeleka vifaa kwa Ndege yake ya C17 Globe trotter, maana reli zimeharibiwa, sasa Urusi alipue ndege tuone kama hakija waka.Kwa maneno haya huyu jamaa hafai kuwa kiongozi wa Taifa kubwa kama Urusi - Dunia lazima ihakikishe Madikteta kama hawa wanakuwa fixed haraka kabla hajaleta majanga kwa Dunia.. angalia maneno kama haya ya kutishia watu kisa tu ana nuclear weapons.
Sasa US inamsaidia vifaa Ukraine, haya kapige sasa pale Pentagon kama wewe kidume.
Any country trying to intervene in the Ukraine war will face a "lightning-fast" response, Russian President Vladimir Putin has warned.
"We have all the tools no-one can boast of... we will use them if necessary", he said, in what is seen as a reference to ballistic missiles and nuclear arms.
Ukraine's allies have stepped up the supply of weapons, with the US vowing to make sure Ukraine defeats Russia.
Vita ni pesa, Urusi hajawahi pigana vita kubwa kama hii.Urusi yenye uchumi kama California yoka lini ikawa kubwa. Si kesho tu itaishiwa kila kiyu kwa vikwazo
Labda alitaka iwepo parade ya silaha kama vile N.Korea.Anasahau hayo mambo yako Nchi za kikomunist peke yakeKwani kiongozi unasubir zikifika zifanyiwe Parade? Mbona Javelin na NLAW mnazionaa. Zitaonekana pale ambapo wenyewe wataamua kuzionesha
Pamoja na Ukraine pia wazilishaji wa ngano; madini mbalimbali. Na silaha, ila si za kisasa sana. Na vifaru vyenye hitilafu vya kumuundo (T72-T90 vyote vinabeba ramia katika chemba pamoja na wanajeshi, hivyo ni vifaa vya nyama choma...)Sasa Russia unakwenda kununua nini mbali ya gesi na mafuta,nini cha maana kingine anacho au ni Vodka[emoji4]
Hiyo ndege Inaenda kutua uwanja upi huko Ukraine?US anapeleka vifaa kwa Ndege yake ya C17 Globe trotter, maana reli zimeharibiwa, sasa Urusi alipue ndege tuone kama hakija waka.
Putin anapenda tishia
Wanapeleka Poland na Romania, karibu na mpakani. Wanajeshi wa NATO hadi sasa hawakuingia Ukraine.Hiyo ndege Inaenda kutua uwanja upi huko Ukraine?
Ila yule Joe Biden na kauli yake,Kwa maneno haya huyu jamaa hafai kuwa kiongozi wa Taifa kubwa kama Urusi - Dunia lazima ihakikishe Madikteta kama hawa wanakuwa fixed haraka kabla hajaleta majanga kwa Dunia.. angalia maneno kama haya ya kutishia watu kisa tu ana nuclear weapons.
Sasa US inamsaidia vifaa Ukraine, haya kapige sasa pale Pentagon kama wewe kidume.
Any country trying to intervene in the Ukraine war will face a "lightning-fast" response, Russian President Vladimir Putin has warned.
"We have all the tools no-one can boast of... we will use them if necessary", he said, in what is seen as a reference to ballistic missiles and nuclear arms.
Ukraine's allies have stepped up the supply of weapons, with the US vowing to make sure Ukraine defeats Russia.
uliyosema ni kweli, wanaoipinga urusi ama hawajui historia ya vita baridi na nini kilifikiwa baada ya ussr kuvunjika.Wanaoitetea urusi katika mzozo huu wako vizuri sana kwa hoja compared to watetezi wa NATO/Ukraine/USA.
Sissmi haya kishabiki,fatilia majaduliano utajua
udongo wanao chimba watakula auuHiki kitu ninawaza pia