Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nani kakudanganya kuwa matumizi ya mafuta na gas ni Kwa matumizi ya kukupikia na kuendeshea magari?????

Labda uniambie Yale maviwanda Yao yataanza kutumia maji kama chanzo cha nishati kidogo ningekuelewa
 
Hizi sio tetesi za chini chini, yapo Mataifa yaliyo kubali kulipa kwa Rubles
Mfano Hungary, Slovakia, Austria.
Hivyo usibishe ukweli ulio wazi.
 
"We are immune to sanctions"-Lavrov.
 
Yani man ukiona hio clip aisee huwezi icheki mpaka mwisho ni aibu afu ni mijamaa mbavu midume ina kulana ishiiii [emoji848][emoji848]
hivi kumbe wanajeshi wa marekani wana ujinga huo ...na upuuzi kama huo [emoji849][emoji849]
..sasa akisimama kwenye batle na russia si watagongwa mapema sana aisee nawaombea warusia mungu awalinde na kuwatia nguvu aisee...dah[emoji26][emoji26][emoji26]
 
In total, since the beginning of the special operation, 142 aircraft, 111 helicopters, 621 drones, 277 air defense systems, 2629 tanks, 302 MLRS, 1154 field artillery guns and mortars have been destroyed.

NAONA NDEGE VITA ZA UKRENE ZINAISHA

ukrene ipo na 225 aircrafts.
Tayari zimeliwa 142 zimebaki 83
 
Hii operation ni ngumu sizani km US walikutana na operation km hii lkn hii operation ikiisha na urusi kufanikisha lengo kwa 100% bc urusi litakuja kuwa taifa lenye nguvu barani ulaya na Dunia kiujumla maana kuzishinda nchi 40 ambazo zinachangia silaha na wapiganaji pia
 
Mkuu kubali kataa Nchi za ulaya hazina mbadala katika gas na mafuta,na sababu kubwa ni kutokana na hizo Nchi kutokuwa na hizo raslimali.Huko middle east unapo pazungumzia mzalishaji mkubwa ni Iran, & Said Arabia na upande wa gas ni Qatar na Venezuela upande wa America kaskazin.

Najua unafahamu fika kinachoendelea kati ya Said Arabia na hizo Nchi za EU,na pia unatambua Nchi zilizobaki na allies wa Russia.

Matumizi ya hydrogen kama mbadala wa Nishati -implementation yake sio rahisi kihivyo.
 
Aisee una mahaba mpaka huoni mbele anyway nakupa miezi mingine miwili aLfu nitarudi kwenye hii comment yako
 
bibingi

Naona kwenye post yako namba 34,727 unashawishiwa kuweka video ya ushoga humu.

Ukiweka hapa video ya ushoga, kuna mtu ataitoa hapa na kuiweka kwenye simu yake, kuna mwingine ataitoa hapa na kuituma kwenye whatsapp, taratibu inawafikia mpaka vijana wadogo ambao akili hazijapevuka huko mashuleni kupitia wewe.

Unakuwa muhamasishaji wa Ushoga bila kujua maana huna udhibiti wa namna hiyo video itakavyotumika, wewe umeitumia kulaani ila huko iendako kupitia wewe inaweza kuhamasisha. Mambo ya Ushoga yaachwe huko huko anayeyataka atumie nguvu kuyatafuta.

Hata hivyo, kuna uhusiano gani kati tabia chafu isiyompendeza MUNGU ya ushoga na maamuzi ya Puttin kuivamia Ukraine?

Mimi namchukulia mtu anayetaja sana ushoga na kuusambaza kama yupo kwenye kazi maalum ya kuhakikisha tabia inasambaa.

Hapa nchini wapo watu hadharani wanapinga ila gizani ni wasababishi wakubwa wa mashoga kuwepo maana kama kila mtu angepinga mashoga wangekosa watu wa kuwaingilia na wasingekuwepo.
 
Wewe hata ukiambiwa ushikwe kalio utakubali
Sio wewe ambae una mshangaa Ukraine ambae anapigania nchi yake..!

We jambazi akija kwenye familia yako inaonekana akitaka Hilo kalio unaweza kutoa mbele ya familia.. Kama ambavyo mnataka Ukraine afanye

Huyo mnae msema ni comedy ndie mwanaume ambae hayuko tayali kuongozwa na kupangiwa.

#warusi wa buza mna akili kama za putin. Ndio maana umekimbilia kutusi
 
Dudes don't be stupid,

kupishana mawazo na watu humu msiwaite wenzenu mashoga. And huwezi kutaka watu wakuone smart kwa kuwaita watu mashoga

Unaanzaje kuforce mtu awe na mtazamo Kama wako! I think ilitakiwa mtoe facts za kwanini mnataka watu waamini nyie mko sahihi na wenyewe wako wrong!
Hii pekee inatosha kuona uwezo wenu wa akili

Huwezi kuamini uchawi Kama hukuwahi kushiriki uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…