Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ni mashoga tu
 
Nani kakudanganya kuwa matumizi ya mafuta na gas ni Kwa matumizi ya kukupikia na kuendeshea magari?????

Labda uniambie Yale maviwanda Yao yataanza kutumia maji kama chanzo cha nishati kidogo ningekuelewa
Kaka huelewi tofauti kati ya maji na hidrojeni? Chanzo cha nishati hakimo katika maji maana unahitaji nishati kutenganisha H na O yaani hidrojeni na oksijeni. Nishati hii inatumiwa kwa njia mbalimbali (mfano katika refineries); njia inayopanuliwa sasa ni hidrolisisi inayopasua H2O (ambayo ni nafasi ambako hidrojeni inapatikana kote) kuwa H na O. Wakati wa kuunganisha tena H na O nishati inaachishwa na tokeo lake si moshi au gesi bali maji tena. Hapa kuna nafasi kutumia umemeupepo ambayo sasa mara nyingi inazidi nafasi ya kuitumia katika mitandao ya sasa; (tatizo kuu la umemeupepo ni unacheza sana; wakati mwingine hautosahi kwa mahitaji na wakati mwingine unazalisha umeme nyingi mno; elektrolisisi ya hidrojeni ni njia ya kuhifadhi nishati hiyo)

Ona matumizi yanayoendelea tangu miaka katika vyombo vy ausafiri:
Murray Hill, New Jersey, U.S., 10 April 2012 – Linde's newest hydrogen fueling station has officially begun operating at AC Transit's Emeryville, California, municipal bus operating division, fueling 12 fuel cell buses and up to 20 passenger cars a day.
Linde North America is a member of The Linde Group, a leader in the design, construction and operation of the most efficient and reliable hydrogen vehicle fueling systems. AC Transit is the transit bus operator for 13 cities in the East Bay Area, including Emeryville, Oakland and Berkeley, and also operates trans-bay service to San Francisco. https://www.lindegaz.com.tr/tr/news_and_media/press_releases/news_120410.htm

Ona utafiti unaoendelea:
Research by Mitsubishi Heavy Industries’ Primetals Technologies found that approximately 70% of current global steel production capacity (i.e. the share currently based on coke and coal) is suitable for a switch to hydrogen power. Producing a tonne of steel requires around 55kg of hydrogen. To successfully decarbonise the industry based on current production figures, this translates into needing 72Mt of annual green hydrogen capacity, with 500GW of electrolyser capacity.
 
Hashindi...amewastua EU.. miaka michache ijayo gas yake italipia haya yote.
 
Hapa kuna button moja naomba ubonyeze ya Ignore list,fanya haraka usiwe unaona comment zangu,vinginevyo nitakukera kweli kweli,angalia usije rusha ngumi hadi kwa mke wako kisa comment zangu kuhusu Putin[emoji4]
 
Baba we hiyo production ya hydrogen kwa electrolysis hafu kutumiaka Kama energy Ni biashara kichaa hata huyo elon musk alikimbia huko mapema na kuwaacha Toyota wanahangaika kiukweli mzungu kahangaika kutakutumia mafuta kwa project mbili ambazo Ni artificial electrolysis na nuclear fusion lakini huo ugumu wanakutanao sio wa hapa. Ndio maana wamekuja kwenye jangwa la saraha kutafuta solar energy
 
Unadhani hao wengine wanaoenda hutua viwanja gani? Hujui C17 inatua hata kwenye rough terrain?
Hivi unadhani Marekani ni wapumbavu mpaka wapeleke silaha kwa ndege ndani ya Ukraine?
Kusafirisha silaha kwa ndege kwenye anga ya nchi yenye vita ni kurisk mno maana ni rahisi kuharibiwa maana hiyo ndege ikiangusha hakuna kitacho salimika.

Ila ukitumia njia ya reli na barabara hata ikitokea ambushi kuna silaha zitasalimika hazitaharibiwa zote.
Marekani hawezi thubutu kupereka ndege ndani ya Ukraine.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
bibingi

Naona kwenye post yako namba 34,727 unashawishiwa kuweka video ya ushoga humu
Sawa mkuu nimekuelewa ndo maana sijaituuma kwa mtu kwanza maana hata mimi mwenyewe nimeogopa aisee

Ila wale makamanda wa US wanatia aibu sana aisee mijitu mibaunsa ina nyanyua vyuma vifua vikubwa alafu eti inafanya uchafu mkuu wa namna ile aisee ni aibu hii.....[emoji1786][emoji22][emoji27][emoji27]
 
japo wengi mnachukulia kama masihara ila hili jambo linaweza kua baya zaidi na kupelekea vita ya 3 ya dunia[emoji24][emoji26][emoji22][emoji24][emoji24]

wewe upo upande upi kati ya NATO na SOCIALIST na kwanini..............?????,
Kuna uzi tayari kwa ajili ya hiyo issue

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kati ya wengi wanaochangia humu we ni kati ya wachache wanaochangia ki-hekima,naomba nikuulize kidogo.

Wewe kama wewe unaweza kujenga urafiki na mtu shoga?
 
Hawa jamaa akili zao wanazijua wenyewe aisee yaani ni watu wa ajabu mno mno imagine eti kwa vile mtu anapishana nao kimaWazo wanamuita shoga
 
Mkuu kati ya wengi wanaochangia humu we ni kati ya wachache wanaochangia ki-hekima,naomba nikuulize kidogo.

Wewe kama wewe unaweza kujenga urafiki na mtu shoga?
Huyo mwamba mimi nnamkubali kwa sababu ya hekima na busara hakurupuki kujibu ovyo hovyo kama wale pro nato wengine
wanakurupukaga utafkir Wana wahii chooni ....

Ila angekuwa anakuja kichwa kichwa na yeye angekuwa anakula SPANA za kichwa [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] mkuu Tsh ..
 
We mtaalamu kabisa! Kumbe hao mabepari wanawekeza katika utafiti na matumizi ya hidrojenai kwa sababu ni kichaa? Jinsi ilivyi kawaida kwa mabepari? Kumbe wewe mtoto wa mafanikio ya ujamaa endelea tu kupiga hesabu. (Ila usisahau_ 1+1=2, si ujamaa)
 
Na muulize utapelekaje ndege kwenye anga ambalo Macho( RADA )ya russia yanaona mipaka yote ya ukraine na kila kona unaanzaje kwa mfano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…