Ni kwamba hujui au umeamua kujichomoa ubongo!?Sasa Russia unakwenda kununua nini mbali ya gesi na mafuta,nini cha maana kingine anacho au ni Vodka[emoji4]
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Hapa kuna button moja naomba ubonyeze ya Ignore list,fanya haraka usiwe unaona comment zangu,vinginevyo nitakukera kweli kweli,angalia usije rusha ngumi hadi kwa mke wako kisa comment zangu kuhusu Putin[emoji4]
GoodHa hahahaa! Mimi mmarekani tena! Mimi ni mwafrika niliyezAliwa Tanzania na naishi Tanzania tangu utotoni.
Mkuu, unajua tupo kwenye mtumbwi mmoja kwenye sakata hili la Russia ndani ya Ukraine, sema haujagundua tu.
FactWalisema ajari ila baadae CCTV footage zikaonesha blast ya kombora. It seems Ukraine walitumia old modified Tochka cruise missile kushambulia ndani ya kilomita zaidi ya 100 kwenye anga la Urusi. Siku hiyohiyo kuna moto mwingine uliwaka. Huu utakuwa ni moto wa tano kama sikosei, naamini kuna mchanganyiko wa mashambulizi na sabotage.
Concern yangu ni moto unaowaka Siberia ambapo nyika zinawaka moto na wazimaji ndio hao recruits walioenda Ukraine. Russia haina dedicated firefighters wengi ila hutumia jeshi la akiba, hata vifaa vya kuzima moto vingi hutokea jeshini. Siberia huwaka muda wowote ni kama nyanda za Australia
Mkuu hapo unajichosha tu mwenzakoNi kwamba hujui au umeamua kujichomoa ubongo!?
Zaidi ya gesi na mafuta vipo vingi bado vya kufata Russia
1. Vyakula - pengine bila ngano ya urusi ungekuwa ushakufa njaa hapa TZ au ungekuwa unataabika na malnutrition. Urusi ni moja ya mzalishaji mkubwa wa cereal crops i.e. wheat barley corn duniani Pia mafut
a ya alizeti
2. Silaha - % zaidi ya 50 ya silaha znazotumika kulinda nchi yako uko salama mpk unaingia jf zinatoka urusi. FYI Urusi anashika nafasi ya pili wa exportation ya silaha dunani. wanauza mpaka kwa member wa NATO ref. Turkey na Russian made s400.
3. Raw materials - hapa sasa ndio kuna utitiri wa vitu kuanzia chuma, nickel, cobalt, vanadium, platinum, aluminium, uranium, gold, manganese, copper, tungsten, zinc, lead, etc
4. Nitrogen based fertilisers kwa maendeleo ya kilimo duniani mbolea ya mrusi ni muhimu
5. Machinery and equipments (mechanical) unajua hata US wanategemea Urusi wapate mainjini ya kurushia maroketi yao
6. Etc.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hata Mimi nilipiga block, maana uzi unahitaji umakini unakuta yeye kajaza komenti za kipuuziAlikula Bloq tu watu waliona Kero na Msemo wake Wakwanza mie
Uongo!Pamoja na Ukraine pia wazilishaji wa ngano; madini mbalimbali. Na silaha, ila si za kisasa sana. Na vifaru vyenye hitilafu vya kumuundo (T72-T90 vyote vinabeba ramia katika chemba pamoja na wanajeshi, hivyo ni vifaa vya nyama choma...)
Lakini kweli, bidhaa nyingine kutoka tasnia ya kiwandani si nguvu yao...
Mr.Wakuu
nikisema wakuu namaanisha yale majembe au miamba kutoka THE MIGHTING RUSSIA FED..wanaume kamili ......mashoga kaeni pembeni ....i means pro nato
Kuna clip video ninayo hapa nimeichepusha sehem hivi
Muone jinsi wanajeshi wa marekani wanavyofanyiana aisee mpaka nimeogopa kuicheki mpaka mwisho ......
Nipeni ruksa niirushe humu au niwatupie huko PM private
Aisee ni hatari alafu kuna watu wanaishabikia hii mareka ni inayoruhusu ushoga mpaka kwa walinzi wa taifa lao
Na watakwambia uhuru wa mtu binafsi aisee
Mpaka nimehuzunika .......[emoji26][emoji26][emoji26]
Kuhusu production ya Hydrogen batteries R&D yake imeendelea sana kuliko miaka 5 iliyopita, in theory hydrogen energy can be extracted from Water, This was tried by Google Moonshot project na Baadhi ya US Carriers.Baba we hiyo production ya hydrogen kwa electrolysis hafu kutumiaka Kama energy Ni biashara kichaa hata huyo elon musk alikimbia huko mapema na kuwaacha Toyota wanahangaika kiukweli mzungu kahangaika kutakutumia mafuta kwa project mbili ambazo Ni artificial electrolysis na nuclear fusion lakini huo ugumu wanakutanao sio wa hapa. Ndio maana wamekuja kwenye jangwa la saraha kutafuta solar energy
Hizi unajua nchi kama France na UK Zaidi ya 60% ya Nishati ya umeme inatokana na Nuclear.Nani kakudanganya kuwa matumizi ya mafuta na gas ni Kwa matumizi ya kukupikia na kuendeshea magari?????
Labda uniambie Yale maviwanda Yao yataanza kutumia maji kama chanzo cha nishati kidogo ningekuelewa
Kwani Sasa hivi Urusi ni Taifa la kijamaa??!We mtaalamu kabisa! Kumbe hao mabepari wanawekeza katika utafiti na matumizi ya hidrojenai kwa sababu ni kichaa? Jinsi ilivyi kawaida kwa mabepari? Kumbe wewe mtoto wa mafanikio ya ujamaa endelea tu kupiga hesabu. (Ila usisahau_ 1+1=2, si ujamaa)
Alisikika dada mmoja anayekaa buza palange akisema eti Putin ni mjingaShida Putin hajaamini 72hrs imechukua more than 60days hajaweza ku achieve chochote ikiwepo kuindoa serikali madarakani.Sasa anataka sehemu ya nchi which you can not get it by war kuna sheria za kimataifa za kugawa nchi sio kwa vita na mashinikizo.Yaani sikujua Putin mjinga hivyo kwa kweli mpaka nime mdharau kabisa bogus
But huwezi linganisha 600 na 80, ukasema Wana trade vitu vidogo vidogo... China has fewer to buy ni Russia than in USA, pia hii inaonesha USA Kuna mazingira mazuri ya Kufanya Biashara kuliko Russia.Russia population n 145
USA population n 330
Kama let say n biashara ya mikate china ndio supply wap patakua ndio soko lake kuu maana mwisho wa siku watu wanatafuta faida.
Hivyo basii kutokua trading partner wao haimaanishi kuwa Russia n wachovu.
OkHizo video usitume Kwa yeyote ni Kwa maslahi mapana ya kulinda jamii, Huyo anaetaka itabidi aangaliwe Kwa mtazamo tofauti ikibidi
Russia wanachofanya akina tofauti na Mtoto anayejisahihisha
Unaijua Norway? Au UK??Mkuu kubali kataa Nchi za ulaya hazina mbadala katika gas na mafuta,na sababu kubwa ni kutokana na hizo Nchi kutokuwa na hizo raslimali.Huko middle east unapo pazungumzia mzalishaji mkubwa ni Iran, & Said Arabia na upande wa gas ni Qatar na Venezuela upande wa America kaskazin.
Najua unafahamu fika kinachoendelea kati ya Said Arabia na hizo Nchi za EU,na pia unatambua Nchi zilizobaki na allies wa Russia.
Matumizi ya hydrogen kama mbadala wa Nishati -implementation yake sio rahisi kihivyo.
Hayo ni matendo machafu sana mkuu, bila kujali yamefanywa na nani.Sawa mkuu nimekuelewa ndo maana sijaituuma kwa mtu kwanza maana hata mimi mwenyewe nimeogopa aisee
Ila wale makamanda wa US wanatia aibu sana aisee mijitu mibaunsa ina nyanyua vyuma vifua vikubwa alafu eti inafanya uchafu mkuu wa namna ile aisee ni aibu hii.....[emoji1786][emoji22][emoji27][emoji27]
Ushoga ni chukizo machoni kwangu boss. Hata kuuongolea kwa muda mrefu sipendezwi. Tuachane nao tu boss, tujikite kwenye uvamizi wa yule mtu.Mkuu kati ya wengi wanaochangia humu we ni kati ya wachache wanaochangia ki-hekima,naomba nikuulize kidogo.
Wewe kama wewe unaweza kujenga urafiki na mtu shoga?
Yaani uishabikie Simba ukiitwa mshabiki wa Simba uchukie!!!Dudes don't be stupid,
kupishana mawazo na watu humu msiwaite wenzenu mashoga. And huwezi kutaka watu wakuone smart kwa kuwaita watu mashoga
Unaanzaje kuforce mtu awe na mtazamo Kama wako! I think ilitakiwa mtoe facts za kwanini mnataka watu waamini nyie mko sahihi na wenyewe wako wrong!
Hii pekee inatosha kuona uwezo wenu wa akili
Huwezi kuamini uchawi Kama hukuwahi kushiriki uchawi