babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,754
Huwezi kunifundisha jinsi ya kujadiliana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jifunze ku argue au kutoa hoja kwenye mijadala,
France na Niger wanauziana Uranium kwa makubaliano kati ya Serikali zao na wawekezaji, kama Niger hawanufaiki Hilo ni suala Subjective na completely out of this context.
Wewe umesema France wanategemea Uranium ya Russia, Mimi nimesema Niger na CAR wanaweza kuiiliplace Russia Dunia nzima, tetea hoja Yako kama ina Ukweli, usitoke nje ya mada kama tuko vijiwe vya kahawa.
Tatu hapa tunazungumzia Nchi moja kuivamia nchi nyingine ili ilazimishe Kufanya jambo inalotaka, Sasa Wewe from no where na with baseless grounds unasema Russia anachukiwa, why utathibitisha vipi Russia anachukiwa, wakati anayemchukia hajawahi hata kurusha jiwe, anafanya nae Biashara, Wana balozi nchi zote mbili?
Pro Russia please mkiwa mnatoa hoja jaribuni kujiandaa
Sahihi kabisa Mkuu,Wengi wana fact sio mihemuko! Mrusi hana baya ila wajinga wajinga ndio wanamuona jau
Dah huu mfano umekaa vizuri kweli.Maamuzi aliyofanya Putin ni sawa na Kaka wa familia kuamua kumnyoosha mdogo wake ambaye ameingia balehe na kujifanya much know😅!
Anaambiwa achana na magrupu ya kijinga komaa na shule analeta ujuaji mwisho wa siku anakula kipondo anaanza kusema we sio babaangu kwanini unipige?
Ila upuuzi anaotaka kufanya utakuja kumpa mzigo kakaake wa kumlisha akiwa mtu mzima
Yaani Watanzania ndio tunako feli kwa nini tunapenda ku compare ?yaani watu wasipotaja US sijui walichukuaa siku nyingi wapiwapi.Mbona US ni cha mtoto kwa URUSI ni kama mimi nianzishe kitu nianze kujilinganisha na mtu aliyeshindwa kufanya hiko kitu .Not in my life .Huwa nasimama mimi kama mimi.Urusi ni Urusi na US ni US .Sio rahisi, nadhani itachukua hata mwaka kukamilisha malengo yake. Hata USA kapambana na Taleban kwa miaka 20 ila mwisho wa siku Taleban bado wako madarakani
Sio rahisi, nadhani itachukua hata mwaka kukamilisha malengo yake. Hata USA kapambana na Taleban kwa miaka 20 ila mwisho wa siku Taleban bado wako madarakani
😂😂😂😂[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Hata kama umeniblack list lakini wewe bibi una kichaa wewe sio bure ....
Yaani mjinga kabisa ,akatupe kombora UK au US ndio tujue mbabe nani .Ukraine since Feb 24 yupo anafanya nini jinga kabisaAlisikika dada mmoja anayekaa buza palange akisema eti Putin ni mjinga
Kwani nyukilia sio silaha?Bila nyukilia Putin hawezi kuishinda ulaya na Marekani,sahauni
ila kaka amekuwa mjinga ananomoa familia ya kaka kwa kelele za majirani na marafiki wa mdogo wake .Mdogo akiumwa wao familia ndio wanapata shida.Akili za binadamu Malaika wenyewe wanashangaa tu.Dah huu mfano umekaa vizuri kweli.
Hapo nina mashaka...Na muulize utapelekaje ndege kwenye anga ambalo Macho( RADA )ya russia yanaona mipaka yote ya ukraine na kila kona unaanzaje kwa mfano...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah japo ukweli mchungu...Si wote tunakereka na comments zako. Wengine unatuchekesha na kutushangaza kwa ufahamu wako ulivyo mdogo.
Kwakweli tunamuhurumia mwanaume mwenzetu alielipa mahari kukuoa. Kwani mzigo anaoubeba kukuelewesha jambo ni mkubwa sana
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kwa jeshi la kawaida Urusi imeonyesha Ukraine ina njia ndefu hadi kuwa na nguvu.Kwani nyukilia sio silaha?
Ilitengenezwa ya Nini Sasa?
USa,UK,FR,Italy,na wenzao wote wanazo nyukilia.
Sasa wamezitunza za Nini?
Mda wa kutumia ukifika zitatumiaka TU.
Hata hivyo kwa Nini unaihusisha Urusi peke yake ukiishindanisha na USA +Europe?
Kwa Nini usiseme Urusi vs USA?
Au usiseme Urusi vs Europe.?
Ndo hapo ujue Sasa kuwa Russia Ina nguvu sana,USA peke yake haiwezi wala Europe peke Yao hawamuwezi.
Soviet error au ulimaanisha era!?Tanzania silaha tunazonunua Russia most of them ni Soviet error ambazo zinatosha kutulinda tu na Nchi kama Kenya, Malawi na Uganda,
Pili jeshi la Tanzania linatumia SMG kama Standard ya Silaha zake na Si AK-47, ukiona AK-47 kwa Askari wa Tanzania hiyo ni special case, pia Hizi Silaha tunanua China.
Ndege nyingi zilizopo kwenye Air force yetu ni msaada au zinatoka China, binafsi sijawahi kuona Russian planes kwenye Jeshi letu, kama umewahi kuziona unaweza kupiga picha...
Pili zile Helicopters za Jeshi unazozionaga zinatoka France, kama umewahi kuona zinatoka Russia ungeweka na reference.
Pia ingekuwa vizuri kama ungeelezea 90% imefikaje
Afanye hivyo Kama ana hiyo jeuri, maana Kama ni misaada ndio inazidi[emoji16]
I mean Soviet ERASoviet error au ulimaanisha era!?
Russia anacover 19% ya supply ya soko la silaha duniani. Aliye juu yake ni US tu 39%.
Urusi anauza silaha hadi NATO achilia mbali Tz.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Amenipiga ban mwanangu .......[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe umewekwa kwa "ignore list" na huyo Bi Mdashi.
Pamoja na "uzuzu" wake, lakini pia inaonesha ni muoga sana huyo bibi!