LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mzee sote tunaona. Hakuna upinzani wowote. Na lengo la Putin limetimia. Na amewaonya hao NATO atakayesogeza pua ataanza naye.
Hao NATO wamepleka misaada ya kijeshi ikiwemo ndege za kivita,vifaru nakadhalika kuisaidia Ukraine amewafanya nini?

Marekani naye kapeleka misaada kibao na Biden amemwambia Putin kwmba ameshamchorea mstari mwekundu asithubutu kuuvuka.

Ndo maana mzee Putin kabaki kutishia sijui nuclear utadhani anazo peke yake dunia nzima wakati hata hapo Ukraine tu wanazo achilia mbali NATO na Marekani.
 
Pro Russia wenzako wote wamekula kona kwa kukubali ukweli na hali halisi iliyopo grounds, ila wewe waziri wa habari wa type ya Al-Sahaf wa Iraq unaleta ngonjera.
Mzee NATO wapo wapi!? Nawasikia tu wanaongea kwenye TV hakuna hata mmoja aliyesogeza pua.
 
Hebu weka vigezo vinavyo kufanya uamini ya kwamba Urusi kashindwa.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Mzee fuatilia taarifa za habari. Pesa alizo ahidi Biden $10b mpaka zipitishwe kwenye senate, wakija kupitisha tayari Ukraine itakuwa mikononi mwa Russia.
 

Weka hayo maelezo ya Biden eti kamchorea mstari mwekundu mbona hajapeleka pua yake wakati rais wa Ukraine analia lia
 
Busara busara busara mkuu ukiwa mkubwa lzm uongozwe na busara
 
Bro unaweza kuweka sabu za msingi za Russia kuivamia Ukraine?
 
Povu kama lote Warusi wa Mama Samia
 

Kuna na hawa ndugu hapa kwa kweli wamechoka kweli kweli:



Hiiiiii bagosha!
 
Ukiachana na mashambulizi ya ndege na mizinga, Urusi ni alshab waliochangamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…