The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,835
- 3,266
Kichapo kina kolea hadi anatishia nyuklia.Warusi walijua watajipigia kiulaini tu, wanakutana na upinzani ambao hawakuutarajia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichapo kina kolea hadi anatishia nyuklia.Warusi walijua watajipigia kiulaini tu, wanakutana na upinzani ambao hawakuutarajia
Hao NATO wamepleka misaada ya kijeshi ikiwemo ndege za kivita,vifaru nakadhalika kuisaidia Ukraine amewafanya nini?Mzee sote tunaona. Hakuna upinzani wowote. Na lengo la Putin limetimia. Na amewaonya hao NATO atakayesogeza pua ataanza naye.
Hakuna Jimbo Urusi kabena huko Ukraine. Kuna majimbo ya ukraine yalikuwa chini ya waasi. Kama Ilivyokuwa kwa Libya. Hao waasi Ndio wanashirikiana na putinRussia yupo Ukraine kashachukua majimbo mawili, sasa anapambana Kiev unasema kapigwa? Mnamdanganya nani?
Mzee NATO wapo wapi!? Nawasikia tu wanaongea kwenye TV hakuna hata mmoja aliyesogeza pua.Pro Russia wenzako wote wamekula kona kwa kukubali ukweli na hali halisi iliyopo grounds, ila wewe waziri wa habari wa type ya Al-Sahaf wa Iraq unaleta ngonjera.
[emoji3][emoji3][emoji3]Put-in hana tofauti na ndugai
Mapendekezo yao yapo ivo ndugu usikaririUpande wa Ukraine? Ndio utopolo gani umeandika hapa?
Russia asha naza kutoa mlio. anatishia nyukliaWanauwezo
Hebu weka vigezo vinavyo kufanya uamini ya kwamba Urusi kashindwa.Naandika kwa herufi kubwa. KIUHALISIA PUTIN AMESHINDWA NA NI AIBU KUBWA SANA. RUSSIA SIO SUPER POWER KIHIIIIVYO KAMA ILIVYOAMINIKA. ILIKUWA TU OVERRATED. Hii vita imeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Russia.
Nimeshangaa sana kuona Russia hana sophisticated satellites kwa ajili ya Ku track vikundi vya adui zake, yaani amekuwa anatafuta adui kama vita vyetu vya kiAfirica vita vya kuviziana atakayekuwahi. Nimeshangaa eti amelalamika kuwa huenda USA anatumia Drone kuelekeza adui mipango ya vikosi vya Russia. Na kama ni kweli basi hiyo ni credit kubwa kwa USA
Mzee fuatilia taarifa za habari. Pesa alizo ahidi Biden $10b mpaka zipitishwe kwenye senate, wakija kupitisha tayari Ukraine itakuwa mikononi mwa Russia.Hao NATO wamepleka misaada ya kijeshi ikiwemo ndege za kivita,vifaru nakadhalika kuisaidia Ukraine amewafanya nini?
Marekani naye kapeleka misaada kibao na Biden amemwambia Putin kwmba ameshamchorea mstari mwekundu asithubutu kuuvuka.
Ndo maana mzee Putin kabaki kutishia sijui nuclear utadhani anazo peke yake dunia nzima wakati hata hapo Ukraine tu wanazo achilia mbali NATO na Marekani.
Alidhani ni kupiga na kuondoka, ila haamini alichokutana nacho, na hapo Ukraine anapigana na Urusi na Belarus.Leo Russia analia eti U.S anawasaidia Ukraine kwa sophisticated drones za majini ambazo zimeleta maafa kwa Wanamaji wa Russia.
Kama misaada wanayompa Ukraine inamkalisha Russia, sasa ya nini wao waingie fronts wakati Russia anachezea vitasa?Mzee NATO wapo wapi!? Nawasikia tu wanaongea kwenye TV hakuna hata mmoja aliyesogeza pua.
Hao NATO wamepleka misaada ya kijeshi ikiwemo ndege za kivita,vifaru nakadhalika kuisaidia Ukraine amewafanya nini?
Marekani naye kapeleka misaada kibao na Biden amemwambia Putin kwmba ameshamchorea mstari mwekundu asithubutu kuuvuka.
Ndo maana mzee Putin kabaki kutishia sijui nuclear utadhani anazo peke yake dunia nzima wakati hata hapo Ukraine tu wanazo achilia mbali NATO na Marekani.
Hajateka Mji Mkubwa wowote wa Ukraine mpaka leo hii siku ya 4.Hebu weka vigezo vinavyo kufanya uamini ya kwamba Urusi kashindwa.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Misaada ipi wametoa!? Hebu tupatie na reference.Kama misaada wanayompa Ukraine inamkakisha Russia, sasa ya nini wao waingie fronts wakati Russia anachezea vitasa?
Busara busara busara mkuu ukiwa mkubwa lzm uongozwe na busaraBado una ushabiki maandazi vita ipo katika ardhi ya ukrein hivyo muathirika mkubwa ni Ukrein sio Russia mbona USA +NATO na ubabe wao wote wameshindwa hata kutuma Askari hata mmoja kumsaidia ukrein hivi vitu bila objective ni ngumu kuona hata ukweli ulio wazi
Bro unaweza kuweka sabu za msingi za Russia kuivamia Ukraine?Marekani na NATO kwa ujumla wamemwingiza choo cha kike Rais wa Ukraine. Hakuna anayetia mguu kumsaidia zaidi ya kupiga makelele!
?engo la NATO ilikuwa ni:
1. Kutafuta sababu ili kuiwekea vikwazo vya kiuchumi URUSI. Lengo ni kuipunguza kasi ya maendeleo.
2. kufanyia majaribio silaha zao dhidi ya silaha za urusi.
Ukweli kwamba silaha zao za ulinzi wa anga zimeshindwa kuulinda uwanja wa Ndege uliopo Kiev lakini ukatekwa siku ya kwanza ya uvamizi, hapo ujue maji yamezidi unga!
Unachosha akili unamchukia mtu usiyemjua wa yeye hakujui na hajui kama una unaishi Yombo..Natamani kusikia habari kama hizi tu namchukia sana putini
Povu kama lote Warusi wa Mama SamiaVICHWA MAJI HUMU NI ASILIMIA 99%
Unashindwa kujua kuwa Russia Hatakiwi kutumia Full force, Wanajeshi haswa kwa sababu wakati wa vita unaweza kupata strong resistance kutoka kwa support anayopewa adui yako.
Pili kumbuka utazalisha maadui wapya, Nyumbani unakuachaje? Pia kwenye vita kuna vitu tunaita chambo, lazima utangulize watu wakusogeza Gurudumu kabla ya kutuma Strong one.
Hakupanga kuichakaza Ukraine kwa roho mbaya, Angeua watu wasio na hatia, Watu kutoka nchi mbalimbali wapo bado kule.
So Ukraine anatumia hiyo advantage ku promote kwamba amempiga M Russia in fact m Russia ni kama hajapigana tu
Wengi mliojaa humu kwa mfano mdogo tu, Mkienda sehemu za starehe mnatumia mpaka reserve kuwafurahisha marafiki na watu utakaokua nao siku hiyo, ukisahau kwamba kesho Familia itahitaji hizo pesa iweze kusonga.
The same Russia hajatumia Nguvu ya Vita Ya First Degree wakati Ukraine katumia First Degree na kachanganya na citizens na msaada juu.
#BUNCH OF BOZOS
Mkuu silaha za Czech Republic sidhani kama zimefika wala kutumika. Hata za Poland zimetolewa jana zitakuwa zimeanza kutumika leo, Urusi wakitoa taarifa hawatoi evidence. At least Ukrainians wanaonesha video clips na picha sometimes.
Ikitokea any International community kama Red Cross ndio tutapata angalau picha ya nani ana casualties nyingi. Russia anaonesha weakness moja kubwa ni supplies na logistics. Akienda frontline harudi nyuma kwahiyo maiti na majeruhi wako uko uko. Hata resupply ya ammunition na chakula hana, wala hatengenezi corridors au pockets kwamba atakuwa anazileta hapo. Hajasecure supply lines maroli ya jeshi yakipita mitaani yanapigwa ambush na raia. Russia vita wameingia juzi ila washaanza kuwa exhausted na walijipanga miezi kibao. Nasema hivi kwa kuwa nalinganisha advancement ya juzi, jana na leo naona washachoka wakati Ukraine ndio wanazidi kupata nguvu. Sijui kama niko sahihi
NB: Wale wanaosema kuhusu Ghost of Kyiv na kills zake dhidi ya Russian Airforce sijathibitisha popote kwahiyo mpaka sasa nauita ni uzushi. Jikinge dhidi ya fake news na propaganda
Ukiachana na mashambulizi ya ndege na mizinga, Urusi ni alshab waliochangamka.Naandika kwa herufi kubwa. KIUHALISIA PUTIN AMESHINDWA NA NI AIBU KUBWA SANA. RUSSIA SIO SUPER POWER KIHIIIIVYO KAMA ILIVYOAMINIKA. ILIKUWA TU OVERRATED. Hii vita imeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Russia.
Nimeshangaa sana kuona Russia hana sophisticated satellites kwa ajili ya Ku track vikundi vya adui zake, yaani amekuwa anatafuta adui kama vita vyetu vya kiAfirica vita vya kuviziana atakayekuwahi. Nimeshangaa eti amelalamika kuwa huenda USA anatumia Drone kuelekeza adui mipango ya vikosi vya Russia. Na kama ni kweli basi hiyo ni credit kubwa kwa USA