Wakati Putin mwenyewe ka admit kuwa US is probably the only super power?Sijui taarifu yako ya 'superpower' ni ipi lakini Russia ni super Power, really super power!!!. Kwa vigezo vyote na vipimo vyote hakuna namna utamtoa Urusi kwenye usuper power. Hata kwa chuki uliyonayo dhidi yake haitoshi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ukitaka kujua kinachoendelea huko field mskilize RAIS wa UKRAINE anavyolia lia ndio utapata mwanga!!!Ni ngumu kujua kinachoendelea kwenye hii Vita kwa kuwa kila mleta mada analeta kwa kuegemea upande anaopendelea
Wewe ni too weak huwezi discussion. Umejaa jazba. Huna uwezo.Binafsi nimeamua kuwa msomaji,badala mtu athibitishe yeye anaishia kuleta mlolongo wa vyombo vya habari vingine.
Hapa kuna trend ya watu wenye mlengo wa Putin kuita kila habari inayotoka kwa BBC,DW and the likes kuwa ni "propaganda za west" lakini watu hao hao wanataka tuamini kile kinachoreportiwa na RT kwa asilimia 100.Kwa muktadha huo basi kumbe na BBC huwa wanareport habari sahihi kabisa na wanaminya zisizo sahihi kwa mujibu wa comment yako.Sitegemei tena nikute unaita habari kutoka BBC kuwa ni propaganda tena .Kuegemea upande wa serikali haimaanishi ya kwamba wana ripoti uongo bali wanalipoti habari ambazo ni kweli lakini zenye manufaa kwa wamiliki wao na kuzifinya zile ambazo ni kweli lakini si nzuri kwa maslahi ya wamiliki wake.
Hata TBC hawawezi kujitungia habari au uongo ili kuifurahisha serikali ,bali huwa wanachuja habari za kweli wana chukua zile ambazo ni chanya kwa wamiliki wao na zile ambazo ni hasi kwa wamiliki wao wanajifanya hawazioni.
Na hii ni kwa vyombo vyote vya habari dunia nzima.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo, unataka tuanze kutazama na kusoma mtandao wa Swahili, Global, Ayo, Michuzi, Mjengwa, Bukkede, Citizen, Omukasese, Al Nuur, Cheewa, CNN, NBS, SkyNews, the Sun na kadhalika ili tupate habari za uhakika kutoka Ukraine???Hata TBC1 wana huo utaratibu wa kujadiliana na kukosoa katika mitandao yao.Hakuna ukweli wowote kwenye state controlled media na hasa za kikomunist utaupata ulio against Serikali zao.
Nyamizi hakuna mtu aliyekuambia uamini news za RT. Hebu tuambie ni nani kasema hivyo.Hapa kuna trend ya watu wenye mlengo wa Putin kuita kila habari inayotoka kwa BBC,DW and the likes kuwa ni "propaganda za west" lakini watu hao hao wanataka tuamini kile kinachoreportiwa na RT kwa asilimia 100.Kwa muktadha huo basi kumbe na BBC huwa wanareport habari sahihi kabisa na wanaminya zisizo sahihi kwa mujibu wa comment yako.Sitegemei tena nikute unaita habari kutoka BBC kuwa ni propaganda tena .
Huwezi kwa sababu huna uwezo.Hapana mimi siku hizi nimejifunza kutoka kwako,nikiona tunabishana tu bila logic tena namwacha yeye awe mshindi.Nionee huruma au unataka nikeshe nabishana mkuu kwa vitu ambavyo viko wazi [emoji3][emoji3]
😀. Unaona isiwe tabu, Yaishe.Hapana mimi siku hizi nimejifunza kutoka kwako,nikiona tunabishana tu bila logic tena namwacha yeye awe mshindi.Nionee huruma au unataka nikeshe nabishana mkuu kwa vitu ambavyo viko wazi [emoji3][emoji3]
Hiyo umejishauri mwenyewe MkuuKwa hiyo, unataka tuanze kutazama na kusoma mtandao wa Swahili, Global, Ayo, Michuzi, Mjengwa, Bukkede, Citizen, Omukasese, Al Nuur, Cheewa, CNN, NBS, SkyNews, the Sun na kadhalika ili tupate habari za uhakika kutoka Ukraine???
Upo serious kabisa kabisa kutushauri sisi hivi?
[emoji3][emoji3][emoji3]. Unaona isiwe tabu, Yaishe.
Kwani ikiwa 2016 ina maana ya kuwa ni uongo sasa? Kwa hiyo unakubali kuwa mwaka 2016 US alikuwa the only super power? Kimebadilika nini tangu 2016 kumuondoa hapo?Dah!! Unaleta news ya 2016 miaka sita iliyopita. Si mchezo
Putin: Russia respects U.S. as world's "only superpower"
JUNE 17, 2016 / 4:28 PM / CBS/AP
[emoji122][emoji122][emoji122]Huwezi kwa sababu huna uwezo.
Ha ha ha aaaa!! Sasa nini lilikuwa kusudio la bandiko lako hilo, Mkuu.Hiyo umejishauri mwenyewe Mkuu
Ni mjadala ulio wazi,unachukua kile unachoona kinafaa,kisichofaa unakiacha [emoji3][emoji3]Ha ha ha aaaa!! Sasa nini lilikuwa kusudio la bandiko lako hilo, Mkuu.
Vita ni mbaya sana. Mwenyezi Mungu wakumbuke watu wanaoteseka kwenye vita hiviBaada ya ubishi wa muda mrefu leo raisi Zelensky amekubali kwamba hali ya ya masmapigano maeneo ya mashariki imekuwa tete upande wao. Kwa kauli yake amesema kwa sasa wanapigania roho zao,
Hapo jana msemaji wa kituo kimoja cha habari cha Urusi aliainisha muda ambao kombora la nyuklia kutoka Urusi linaweza kuzifikia nchi kadhaa za Ulaya hasa UK na kwamba ni sekunde 106 tu chini ya dakika mbili.Tishio hili huenda limepunguza kasi ya mataifa hayo kumchochea Zelensky kuendelea na vita.
View attachment 2205770
Kwani wao hawana izo nuc weapons? Au hawana uwezo wa kuzifikisha hapo urusi?kituo kimoja cha habari cha Urusi aliainisha muda ambao kombora la nyuklia kutoka Urusi linaweza kuzifikia nchi kadhaa za Ulaya hasa UK na kwamba ni sekunde 106 tu chini ya dakika mbili.Tishio hili huenda limepunguza kasi ya mataifa hayo kumchochea Zelensky kuendelea na vita.