Mbitiyapi01
Member
- Apr 25, 2022
- 78
- 251
Niliishi kidogo Manchester University mama akiwa anasoma pale akiwa diplomat wa Presidential Privatisational Parastatal chini ya Kigoda.. l. Nikasoma Pia Urusi... Na mdogo wangu bado yupo huko... Namalizia SAUT 2009 .. nikaenda tena Urusi....Kuna watu hawaijui kabisa Urusi ..... nkarudi na kuajriwa na jamhuri 2010. Naijua Urusi kuliko wanavyodhani... Wale watu ...Wana utaifa huku mnaita uzalendo... Wale wana UTAIFA.Inasikitisha sana ase [emoji847]
Naomba nisaidie hapa,
Ikiwa mwazo alikuwa ili alipe deni kwa dola ilimbidi abadili Ruble kuwa dola.
Kama alikuwa akinunua dola moja kwa ruble 120. Leo ananunua dola moja kwa ruble 70. Wakati gani wenye uafadhali kwake?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Wewe mambo ya uchumi wapi na wapi!?For example, if the government needs to pay $2 million every month in interest on its current debt, if it devalues its currency, the nominal interest payments are lowered. For example, if the currency is devalued by half, their interest payment in real dollars is only $1 million
Teh u right Mr...Niliishi kidogo Manchester University mama akiwa anasoma pale akiwa diplomat wa Presidential Privatisational Parastatal chini ya Kigoda.. l. Nikasoma Pia Urusi... Na mdogo wangu bado yupo huko... Namalizia SAUT 2009 .. nikaenda tena Urusi....Kuna watu hawaijui kabisa Urusi ..... nkarudi na kuajriwa na jamhuri 2010. Naijua Urusi kuliko wanavyodhani... Wale watu ...Wana utaifa huku mnaita uzalendo... Wale wana UTAIFA.
Soon Urusi atakipata anachokitafuta.Tutarusha tu Putin jinga kabisa mbinu za kivita za zamani .Yaani Ukraine inamtoa jasho jingi je angepigana na nchi yenye nato sasa hivi angekuwa anajinyea tu.Putin nolimwaminia amenuangusha kwa kweliKwa nini msianze nyie kutupa kombora Urusi kumsaidia mshirika wenu Ukraine??
Ukiwaeleza hawakusikiiKwa vile hujui biashara unadhani umeongea point kumbe umejilipua mwenyewe, soma umuhimu wa devaluation-
Currency devaluations can be used by countries to achieve economic policy. Having a weaker currency relative to the rest of the world can help boost exports, shrink trade deficits and reduce the cost of interest payments on its outstanding government debts.
Kupanda thamani kwa ruble vis a vis dollar kuna favour wale wanaomdai urussi.
🤣🤣🤣🤣🤣Wanadai makaratasi yao (dollar) sasa atawapaje kitu cha thamani Rubo NATO hawashiki n sawa na shetani umpe bible au quran ashike.Naomba nisaidie hapa,
Ikiwa mwazo alikuwa ili alipe deni kwa dola ilimbidi abadili Ruble kuwa dola.
Kama alikuwa akinunua dola moja kwa ruble 120. Leo ananunua dola moja kwa ruble 70. Wakati gani wenye uafadhali kwake?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Ukraine mnaichukulia poa sana. Sababu ya comedian?. Ile bado ni Soviet na inelegant zoote. Hii vita toka 2014 inapiganwa.Soon Urusi atakipata anachokitafuta.Tutarusha tu Putin jinga kabisa mbinu za kivita za zamani .Yaani Ukraine inamtoa jasho jingi je angepigana na nchi yenye nato sasa hivi angekuwa anajinyea tu.Putin nolimwaminia amenuangusha kwa kweli
Ukiwaeleza hawakusikii
[emoji23][emoji23][emoji23] yani hayo Mataifa Putin kasha ya dharau sana anawachora tu wanavyokatiza kwenye anga zake na dira bila chupi tena Poland USA na UK ndio wamevaa shanga nene kama tairi ya ToyoHivi mkuu,umewahi kumpeleka demu ghetto,alipofika,ukamwambia vua nguo,akasema sitaki,ulipomvua akakusaidia kuvua yy mwenyewe,huku anasema staki,alafu ukimvua pichu anasema kwa mahaba 'mi staki jomoniii' huku anakulegezea macho!?[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani ndo mataifa ya magharibi yanachofanya mbele ya Urusi.
Al JazeeraMedia gani hii[emoji28]
Naomba utuambie ni bidhaa gani zinazotengenezwa Urusi na kuuzwa kwenye soko la dunia (ambazo hazitegemei vipuli vya US - EU).
Naomba utuambie ni bidhaa gani zinazotengenezwa Urusi na kuuzwa kwenye soko la dunia (ambazo hazitegemei vipuli vya US - EU).
Je unajua kampuni kubwa ya magari Urusi ni ipi? Unajua ni mali ya nani na ni nani walioleta tekinolojia huko?
Kamaz ndo kampuni kubwa ya magari.niambie sasa ni ya nani? Kama sio serikali ya UrusiJe unajua kampuni kubwa ya magari Urusi ni ipi? Unajua ni mali ya nani na ni nani walioleta tekinolojia huko?
Mbona wanatumia engines kutoka Switzerland?Kamaz truck
Mbona wanatumia engines kutoka Switzerland?
News and press releases - Liebherr
Stay up to date with Liebherr: news and press releases on the latest topics. Discover all the information and updates on the Liebherr Group.www.liebherr.com