Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii Post ya kushushia maji kabisa [emoji23] View attachment 2207311
Ukweli ni kwamba Safari hii west wameshikww Kila Kona,Putin kawakamata kwelikweli.

1 - wamemuwekea vikwazo lkn vikwazo vinawapiga wao wenyewe.
2 - Silaha zinateketezwa ama kutekwa kabla hazijafanya kazi.
3 - wamezuia assets za Urusi zenye thamani ya $300 b yeye kashika zenye thamani ya $ 500 b.
4 - walimbana asitumie $ Sasa kawalazimisha watumie rubo.
5- waliweza kuingilia pale Iraq ilipoivamia Kuwait,na pale Yugoslavia ilipowapiga wkosovo.
Wameshindwa kuingilia kwa kibaraka wao Ukraine.
Safari hii NATO wamekutana na kidume,kisiki Cha mpingo,chumba Cha pua.
 
Putin anaelekea ukingoni...
 
Uko sahihi kwa 100%
Naunga mkono andiko hili murua kabisa.
Safari hii west wameingia kwenye 18.
Dunia inaenda kushuhudia mabadiliko makubwa sana.
 
Mimi hua napenda sana habari hii.

As a result, the Russian Armed Forces destroyed a hangar with weapons and ammunition received from the United States and European countries
 
LoL! maneno ya dharau kabisa haya,yaani USA kapanga chumba na west wengine nao wapangani.
Aisee Urusi sio Sudan kisini.
 
Na jomba kwenye point yako ya tano niongezee kidogo...

US foreign policy is either interventionist or isolationist when it has nothing to gain... Ukiangalia kwa Russia, US na kundi lake hawawez kuingia kivita directly kwasabab wanajua watakayepigana nae yukoje...

Hawatoambulia kitu ka walivyofanya kwenye mataifa dhaifu mengineyo waliyowah kuinterven huko nyuma. Kwa Russia watakachoambulia ni kujiharibu wao wenyewe zaidi ya hivi wanavojiharibu sasa...

Itaishia kua hivi hivi kwa kauli mbiu kubwa ya No Action Talk Only... ni kutuma silaha zinaharibiwa. Wanayehisi wanamdhoofisha anazidi ushawishi na support zaidi kupitia madudu wanayoyafanya...

Zile enzi za flan chagua upande [emoji23] zimeishaaaaaaa..
 
Ulivyoanza kujibh sijajishughulisha kuendelea
Ahsante na kwaheri MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtupatie UPDATES za nani amefanya nini na wapi. Hizi za huyu ana hela mara huyu sio sio mambo ya vita.

Marioupol wameondoka raia? Au bado na je nani ana screen kuwa huyu ni raia?. Urusi wataingizwa cha kike mercenaries wataondolewa na evidence nyingi.

Wangetoka watoto, wazee na wanawake tu
 
Kwa hio unahisi hayo mawazo ya kuingizwa Cha kike wewe unaweza kua nayo lkn warussi wakawa hawajajua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…