Nitajie ni lini Ukraine imetishia raia wa Urusi?..
Ukraine anataka uhuru wa kuchagua rafiki bila kupangiwa na mtu,maana ni nchi huru,labda useme hapa Ukraine sio nchi huru na utoe vigezo.
Marekani sio tu anaowapigia Russia kelele dunia yote inamuona mrusi ana sababu za hovyo kutaka kuivamia Ukraine,,strategic area zote kama eastern Ukraine na Crimea ambapo ni door to black sea fleet na baltics Russia ndio anazitawala,leo anataka ku bomb Kyev aue raia wasio na hatia in what grounds??
Kingine shida ni kujiunga NATO sio?,,Ronania,Lithuania,Wazirstan wote hawa walikuwa Soviet members na wamejiunga na NATO,mbona Russia hakuwavamia kwa kigezo hicho hico unachokiita kuhatarisha raia wake?...Tuache kushabikia mauaji kishabiki shabiki
Kuna watu pro Russia niliwasikia kwenye daladala wanasema Vlad ana bomu hilo akiliachia Dunia inageuka juu chini halafu yeye ana chombo chake na familia yake wanajifungia humo na kuibukia upande wa pili [emoji16][emoji16][emoji16]
Taifa la Ukraine ni miongoni mwa nchi zinazomiliki silaha za Nyuklia na makombora ya masafa marefu
Ni taifa kubwa tu la watu milioni 45 kulingana na takwimu za mwaka 2020
Jamaa wana silaha za kila aina lakini wanapigwa biti na mrusi wanaufyata
Kila mtu anaijua nguvu ya Putin na Urusi,lakini nachotaka kusema hapa ni kuwa, kama nchi nyingine tusiwe kama Ukraine
Hata kama ni Russia na manguvu yote ukraine alitakiwa akitishiwa kuvamiwa naye aonyeshe misuli ya umwamba
Taifa la watu milioni 45 sio taifa dogo wakuu ni taifa ambalo linaweza kuwa na uwezo wa kutunisha misuli kwa taifa hata lenye watu milioni 300
Sasa wapo milioni 45 wanakua waoga hivyo na wanaonyesha udhaifu mkubwa,jee wangekua milioni 3 au 4 jee?
Taifa la watu milioni 45 mkiamua kuwekeza kwenye jeshi na uwezo mkubwa mnauwezo wa kulitunishia misuli dola lolote hapa ulimwengu, milioni 45 inakutosha kuwa superpower nawe ukatunisha misuli
Na silaha za nyukilia wanazo lakini wamekua watu waoga hivyo?Vita ikitokea Ukraine wakijipanga wakipigana na Russia hata kama mrusi atashinda lakini wangemuachia russia makovu fulani au kumporomosha kiuchumi,kwamba vita viww virefu vya kufa na kupona.
Ukraine anapitwa hadi na nchi kama Israel ambayo ina idadi ndogo lakini wanatunishia misuli madola makubwa,kila kitu ni kujipanga,Israel sio wengi ni nchi ndogo lakini kijeshi wanajitahidi vipi hao ambao wapo milioni 45 na wamejionyesha dhaifu hivyo
Una makombora ya masafa marefu yanayofika Moscow halafu unatishiwa kuvamiwa?Kwanini usitamke wazi kabisa kwamba ukivamiwa utaishambulia Moscow kwa makombora ya masafa marefu?
Hii nchi ni ya ajabu sana. Mimi kwa hili nasimama na Urusi katika huu mgogoro lakini Ukraine wanafeli sana masilaha yote hayo lakini wameshindwa hata kupiga mkwara tena watavamiwa na hawatafanya kitu,hawa jamaa ni useless kabisa
Ukraine hawafai kuigwa
Moldova inaenda kupewa tamu tamu soon.🇲🇩🇺🇸The Minister of Defense of Moldova met with the US Senator, who is in Chisinau on a visit.
▪️Probably, Anatolie Nosatii and Steve Danes discussed how to save Moldova from war, how to start the process of disarmament and demilitarization in the interests of the Transnistrian settlement, how to increase security and ensure lasting peace.
No, of course not. Joke.
▪️We discussed the modernization of the National Army and the "strategic partnership". This is to fight more effectively, then.
Ukraine yupo katika wakati mgumu sana pengine wanajuta kuwa katika eneo la kimkakati.
Aidha wachague vita wachakae,ama wakubali kuwa watumwa wa russia.
Ukraine Wakichagua vita basi ujue nchi itakuwa uwanja wa mapambano na tutaona miamba yote duniani ikionyesha war technology zake.
Ukraine ni sehemu ya Soviet Union ipi? USSR ilishakufa, that's the reality!
😅 😅 😅 😅 😅Kuna watu pro Russia niliwasikia kwenye daladala wanasema Vlad ana bomu hilo akiliachia Dunia inageuka juu chini halafu yeye ana chombo chake na familia yake wanajifungia humo na kuibukia upande wa pili [emoji16][emoji16][emoji16]
Another One,Taifa la Ukraine ni miongoni mwa nchi zinazomiliki silaha za Nyuklia na makombora ya masafa marefu
Ni taifa kubwa tu la watu milioni 45 kulingana na takwimu za mwaka 2020
Jamaa wana silaha za kila aina lakini wanapigwa biti na mrusi wanaufyata
Kila mtu anaijua nguvu ya Putin na Urusi,lakini nachotaka kusema hapa ni kuwa, kama nchi nyingine tusiwe kama Ukraine
Hata kama ni Russia na manguvu yote ukraine alitakiwa akitishiwa kuvamiwa naye aonyeshe misuli ya umwamba
Taifa la watu milioni 45 sio taifa dogo wakuu ni taifa ambalo linaweza kuwa na uwezo wa kutunisha misuli kwa taifa hata lenye watu milioni 300
Sasa wapo milioni 45 wanakua waoga hivyo na wanaonyesha udhaifu mkubwa,jee wangekua milioni 3 au 4 jee?
Taifa la watu milioni 45 mkiamua kuwekeza kwenye jeshi na uwezo mkubwa mnauwezo wa kulitunishia misuli dola lolote hapa ulimwengu, milioni 45 inakutosha kuwa superpower nawe ukatunisha misuli
Na silaha za nyukilia wanazo lakini wamekua watu waoga hivyo?Vita ikitokea Ukraine wakijipanga wakipigana na Russia hata kama mrusi atashinda lakini wangemuachia russia makovu fulani au kumporomosha kiuchumi,kwamba vita viww virefu vya kufa na kupona.
Ukraine anapitwa hadi na nchi kama Israel ambayo ina idadi ndogo lakini wanatunishia misuli madola makubwa,kila kitu ni kujipanga,Israel sio wengi ni nchi ndogo lakini kijeshi wanajitahidi vipi hao ambao wapo milioni 45 na wamejionyesha dhaifu hivyo
Una makombora ya masafa marefu yanayofika Moscow halafu unatishiwa kuvamiwa?Kwanini usitamke wazi kabisa kwamba ukivamiwa utaishambulia Moscow kwa makombora ya masafa marefu?
Hii nchi ni ya ajabu sana. Mimi kwa hili nasimama na Urusi katika huu mgogoro lakini Ukraine wanafeli sana masilaha yote hayo lakini wameshindwa hata kupiga mkwara tena watavamiwa na hawatafanya kitu,hawa jamaa ni useless kabisa
Ukraine hawafai kuigwa
labda kwenye vita ya nuke. Ila kwenye vita ya kawaida ndani ya mwezi tu urusi anaiteka ulaya
Moscow huwezi piga Bomu lolote, wana intercept za maana sana pale. Umefikiria kama mtu usiyepita shule au kufuatilia mambo ya kivita.
Kumuita mtu zwazwa kisa mmetofautiana mawazo huwo ndio uzwazwa wa kiwango kikubwa.Hiyo kambi ya Urusi ina washabiki, fanatics, vilaza na wajinga sijapata kuona dunia hii.
Playbook yao ni story za kuchangamsha genge za vijiweni, takwimu zisizo na sources,conspiracies, whatboutism, ushoga na umburula mwingine mwingi.
Sasa wanaweza kujilinda wao kwa kutumia silaha za NATO na USAJamhuri ya watu wa Luhansk na Donesk (LPR na DPR) Wanashukuru mno generous donation waliyopata kutoka US na NATO.... 🤗
Hivi wadau mshawah pata walau picha kutoka upande wa hawa Nazi za vifaa vya kirusi walivovikamata kama hawa DPR na LPR wafanyavyo?
View attachment 2208259
View attachment 2208260
View attachment 2208261
View attachment 2208262