Taarifa imetoka kwa Viktor kovalenko afu wewe unakuja kuipamba intelijensia ya Ukraine hapa. Intelijensia ipi!? Kabla tu ya vita Ukraine hawakuwa na intelijensia yenye nguvu ndio waje wawe nayo sasa hivi washapigwa wakachakaa!?Pro RUssia mmesikia kuwa kuna generali alienda kwenye ukaguzi wa kijeshi msafara wake ukashambuliwa na Ukraine?
Intelejensia ya Ukraine ina taarifa nyingi sana, pengine kuna watu ndani ya jeshi la Russia wanavujisha taarifa muhimu
Endeleeni kuota mkija kuamka kherson ishaendaRussian chief of staff/mkuu wa majeshi wa Urusi akoswakoswa na KOMBORA huko Ukraine[emoji848]
[emoji779]️“An unusual event,” this is how the US described the arrival of the Chief of the General Staff of the Russian Federation Gerasimov to the front line.
Two senior officials confirmed to the NYT that he was indeed under Raisins. Ukraine found out about his arrival and hit the positions where Gerasimov was. However, they managed to evacuate him.
"Our working theory is he was there because the Russians admit they haven't solved all their problems," the White House says.
View attachment 2208306View attachment 2208306
vipi hawawaogopi nyie akina nyani ?Waoga kinoma kuna mmoja amesikia ambulance Kumbe inapeleka mgonjwa akatoka mbio! Ila tuna maisha ya wasiwasi kuzidi nyuma
B
Unatembelea town tu ukienda vijijini wana Ku dr Shikavipi hawawaogopi nyie akina nyani ?
Fyeka hao pimbi wote.General wa 10 wa Russia auwawa Ukraine 🤔
Disaster for Putin as TENTH Russian General 'killed'
A TENTH Russian General has been killed during fighting near the city of Izyum in the northeastern region of Kharkiv, according to the Ukrainian military.www.express.co.uk
wanakukata vidole ama unatekwa unafungiwa mahaliUnatembelea town tu ukienda vijijini wana Ku dr Shika
How can you sensibly be against Russia given this 👇background?You are very unreasonable and irrational!Vizuri mkuu, maswali mazuri.
Ila kabla ya yote, turudi mwanzo kabisa
Je Sheria ipi ina ruhusu nchi moja kuivamia nchi nyingine?
Je Russia ame obey international law/agreements ama ameviolate?
Pia soma hapa.[emoji116] Utajua kwanini mataifa mengi yanajielewa yako against russiaView attachment 2208552
Kyiv independent [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema mwamba kuna kitu hakipo sawa kwako, so unapenda kuona habari za Ukraine akipigwa tu et! Ndio utaiona sio habari ya kishabiki
Hujui kwamba hiyo ni vita lazma na mrusi apigwe na angekuwa hapigwi mpaka sasa vita ingekuwa imeisha.
View attachment 2208504
Am curious na jeshi kubwa na lapili kwa ubora duniani, kupoteza battalion moja ndani ya nchi ya wakulima kama ukraine sio kawaida. Kuna kitu probably Russia ali mess up.1. Putin alikiri kupoteza askari 1500.
2. Alikiri hivyo kipindi alishaonja joto la kyiv.
3. Kama alikuwa na askari 150,000 ukraine, askari 1,500 ni asilimia 1 tu ya kikosi chake. Hapa naomba nieleweke kuwa kadri alivyokuwa anasonga mbele, alikuwa anaongeza wengine ili kulinda alipokamata.
4. kitu gani kikapelekea atoke kyiv na kurudi nyuma? Ofkoz namba za vifo zilikuwa ni kubwa mno ndo maana haraka saaaana akarudi nyuma kuachia kyiv.
Hapo mimi ndo nakubali kuwa ni kweli Russia amefeli pakubwa, hiyo askari 1,500 hakuwa sahihi. Na naamini alisema hivi ili kutovunja moyo askari waliopo vitani pamoja na wananchi wake.
Huyo mkuu wa majeshi aliyelipuliwa ni wa jeshi gani!?Inavyoonekana NATO wana taarifa zote za walipo warusi Ukraine na wakuu wao. Wanaamua tu kuchakata mmoja baada ya mwingine.
Haiwezekanj msafara wa vigogo wa jeshi uwe exposed na kulipuliwa kama MTU anachoma siafi.
Hata Osama mwenyewe alikuwa mjanjamjanja. General Millar mtalebani ndio hawakumuona kabisa.
Hawa warusi wanafeli wapi.
Nimemuliza swali ambalo ni la kwanza kabisa, kabla ya kudiscuss chochote kile kuhusu hii vita. Na akijb basi hakutakuwa na haja ya kujibu maswali yakeHujajibu maswali
Swali zuri sanaWakuu wanajeshi wa Ukraine hawaishi au NATO wanaingia kijanja Ukraine.
Kwa vichapo mbalimbali tangu vita ianze. US NATO wanapataje ujasiri wa kutuma silaha wakati servicemen wa Ukraine wameshapukutishwa vibaya?