basi wakubali kuwa wao ni wanafiki na mashoga.Maswali magumu yale, hakuna kichwa ya Pro-NATO yenye capability ya kujibu...
Waulize tu wamekufa majenerali wangapi waa kirusi majibu utapata chaaap...
NakaziaLeta Ya Ukweli MKUU ili Upinge uongo huu
Papa anatakiwa ajikite kwenye mambo ya kiroho, siasa awaachie wanasiasa.View attachment 2209580
The Pope is ready to travel to Moscow to meet with Putin to resolve the conflict in Ukraine.
[emoji779]️Pope Francis admitted that NATO is playing a negative role in the escalation of the Ukrainian crisis
Pope: “Orban, when I met him, told me that the Russians have a plan that everything will end on May 9th. I hope this is so that we also understand the speed of escalation these days. Because now it's not just Donbass, it's Crimea, it's Odessa, it robs Ukraine of the Black Sea port, that's all. I am pessimistic, but we must do everything possible to stop the war."
Category "Vatican gossip"[emoji1751]
RUSSIA anawapelekesha sana hawa wapuuzi wapuuziIla tuache ushabiki aisee,ushabiki tuweke pembeni,
Ukweli lazima tuseme.
Ukweli Russia amewavuruga pakubwa sana west.hebu fikiria wanaanza naipango Yao,akija Urusi na mpango wake ambao hawakuwa wakiutarajia anawavuruga vibaya sana.
Hebu fikiria Hapa
1-Kuna USA peke yake,huyu ana Nia ovu peke yake dhidi ya Urusi katika mzozo huu.
2-kuna EU kama EU umoja huu Sasa hivi Kila mmoja anaongea lake.
Wengine wanataka gesi kwa rubo na wengine hawataki gesi kwa rubo.
3- Kuna NATO hapa Kuna baridi Kali sana.umoja huu kazi yake sio uchumi,lkn sasa hivi wamejiingiza kwenye vikwazo vya uchumi badala ya vita.hiki ni kichekesho Cha Karne kwa lugha nyingine wamepoteza lengo lao na mwelekeo.wamechanganyikiwa
4- UN Hawa hapa ndio lilikuabeneo lake.
Lakini tayari hawajulukani wako wapi.
Mkuu wa UN ameoneahwa dharau ya mwaka,kaenda Moscow,katoka Moscow kaenda Kyiev huko kapelekewa salami ya kombora kutoka Moscow.
5- Kuna vi nchi vipambe vya USA na EU kama Japan na Australia na vingine vingi TU Kila siku vinasema Kila siku vinakuja na mambo tofauti mara vinaweka vikwazo mara vinaondoa .
Kwa kifupi Urusi kawavuruga sana.
Urusi sio Iraq,Libya, Zimbabwe, Afghanistan wala Syria.
Sio lazima akubali kwahiari MKUU yaani atakubali hata kwakulazimishwaHii vita ni ngumu kuisha maana Zele amekataa kabisa kutoa kipande chochote kwenye ardhi yake
Kuingiza siasa za CCM na CHADEMA Ni kutaka kuvuruga huu mjadala maana kwny Hii thread kuna wanachama wa CCM na CHADEMA ambao hua wanatukanana kishenzi kwny thread za huko kwny siasa lkn Sasa wamekutanishwa na URUSSI na wote wako pamoja.TL anaunga mkono uchafu huo.
Na kuwa na ndugu huko hakuhalalishi ujinga anaoufanya Zele. Mwisho atakuja kukubaliana na matakwa ya Russia baada ya nchi kugeuka magofu.
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Tatizo la Ukraine sasa hivi sijui wanajiona wao Ni wakina Nani 😄😄🇩🇪🇺🇦The Ambassador of Ukraine to Germany called Scholz an offended liverwurst because of his refusal to visit Kyiv
“Playing offended liverwurst is not very state-of-the-art. This is the most brutal war of annihilation since the Nazi attack on Ukraine, this is not a kindergarten,” the diplomat said.
Earlier, Scholz said that he would not go to Kyiv after the German President Steinmeier was denied a visit.
Diplomacy level 80😂
Tulitarajia kwamba kama unapinga basi kumbe uwe una ukweli unaouelewa lakini inaonekana huna chochote unachofahamu hapo ila ni ushabiki tu labda na msokoto. Very useless.We jamaa habari zako za kitapeli sijui unazitoa wapi na unapata faida gani mtu mzima kuwa unaongea mambo ya uongo uongo?
Kama alivyo alikwa US pale IRAQ na SYRIAAmealikwa na nani Ukraine.
Nenda ukamdhibitiHakika, Putin ni mtu muovu anayepaswa kudhibitiwa na dunia iliyostaarabika.
Sioni iliposema ukriane ametumia chemical ila milipuko ya kule ndo ya chemicalSubiri kwanza, unasema Ukraine wametumia chemical weapons sio?
Anawaacha wanakaa vikao 10 na kuweka vikwazo 500 halafu yeye ndo anakuja kukaa kimoja na kuweka kikwazo kimoja tu cha kutumia ruble, maamuzi ya vikao vyao 10 na vikwazo vyao 500 vinapoteana nakuonekana kama nonsense kwa urusi.RUSSIA anawapelekesha sana hawa wapuuzi wapuuzi
Yaani jamaa walijua wakimpiga vikwazo atakua failled state kama ZIMBABWE lakini wapi
Ndio waelewe hapa wa NATO yakwamba RUSSIA nidubwasha fulani hv lisilo lakawaida kuna mataifa zaidi ya 40 yameungana kwapamoja kupambana na RUSSIA kwenye angle mbali mbali KISIASA KIJESHI KIUCHUMI na KIPROPAGANDA lakini chakushangaza wooote wanakula pigo moja la KO wanapotea
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni PIMBI.Je, EU na US watabariki kwa mikono miwili hii annexation wanayotaka kufanya Polish...? Au wataiwekea vikwazo Poland..?
Ni rahis kama unaishi huku ila si vema kuoa warusi ni wapenda ngono sana ndo maana wengi walilia kufungwa na Instagram na pornhub Lakin siyo Uber wala benk 😂Kupata mke huko ni rahisi?
Nato na USA walitegea kuona strength na weakness ya jeshi la Russia baada ya kuexplore wamepeleka ndege za kivita1. Putin alikiri kupoteza askari 1500.
2. Alikiri hivyo kipindi alishaonja joto la kyiv.
3. Kama alikuwa na askari 150,000 ukraine, askari 1,500 ni asilimia 1 tu ya kikosi chake. Hapa naomba nieleweke kuwa kadri alivyokuwa anasonga mbele, alikuwa anaongeza wengine ili kulinda alipokamata.
4. kitu gani kikapelekea atoke kyiv na kurudi nyuma? Ofkoz namba za vifo zilikuwa ni kubwa mno ndo maana haraka saaaana akarudi nyuma kuachia kyiv.
Hapo mimi ndo nakubali kuwa ni kweli Russia amefeli pakubwa, hiyo askari 1,500 hakuwa sahihi. Na naamini alisema hivi ili kutovunja moyo askari waliopo vitani pamoja na wananchi wake.